Maana ya udini tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maana ya udini tanzania

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Averos, Dec 18, 2010.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. Averos

  Averos JF-Expert Member

  #1
  Dec 18, 2010
  Joined: Aug 6, 2010
  Messages: 648
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 45
  Udini unaweza kutafsiriwa tofatuti Tanzania
  Kwa Waisalamu: Udini Ni ile hali ya Serikali kuewapendelea wakristo katika nyanja za Uongozi, Huduma za kijamii, na Fursa za kiuchumi, ilihali ikiwakandamiza waislamu.
  Kwa Wakristo: Udini Ni ile hali ya waislamu kutaka kujikomboa na kuleta usawa katika nyanja za Siasa (Uongozi), huduma za kijamii na Uchumi.

  source: Maalim Ali Basaleh.
   
 2. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #2
  Dec 18, 2010
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,791
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  ni sahihi kabisa maelezo yako!
   
 3. The Dreamer

  The Dreamer JF-Expert Member

  #3
  Dec 18, 2010
  Joined: Feb 2, 2009
  Messages: 1,280
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Definition nyingine bwana! Sasa nani anawatala waislam mpaka uwepo ukombozi. Udini kwa wakristo ni hali ya waislam kutaka kulazimisha kuingiza alama za dini yao katika katiba. Ile NEMBO ya TANESCO mliichora mwezi sasa naona na bendera ya taifa mtaifanya hivyo baada ya kuingiza OIC na Kadhi kwenye katiba
   
 4. Shinto

  Shinto JF-Expert Member

  #4
  Dec 18, 2010
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 1,781
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  o
  <br />
  <br />
  Nasikitishwa sana post zako AVEROS ni za kichochezi, kishabiki na zilizokosa ukomavu wa kisomi. Kuna thread hapo ya CCT ulitukana kitoto sana. Muna iharibu hii Forum. Kama watu kama nyie ndo mnataka kutukomboa, afadhali waliopo waendelee!
   
 5. Averos

  Averos JF-Expert Member

  #5
  Dec 18, 2010
  Joined: Aug 6, 2010
  Messages: 648
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 45
  Are you sure?, hapa nilichofanya ni kunukuu maneno ya mtu sijaweka maneno yangu!, au kunukuu ni kosa?
   
 6. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #6
  Dec 18, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,766
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  kunukuu ni kosa inamaana unakubaliana naye unless ungeweka msimamo wako! Zaidi ya hapo unakubaliana naye!
   
 7. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #7
  Dec 18, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,766
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  je huu ndo anaoongelea mtani wangu dr,dr,dr,dr,dr??? Au yeye anaongelea udini upi!???
   
 8. b

  bitimkongwe JF-Expert Member

  #8
  Dec 18, 2010
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 3,034
  Likes Received: 211
  Trophy Points: 160
  UDINI UDINi UDIni UDini Udini udiniiiiiiiiiiiiiiiiii

  Hebu tafuteni topics nyengine za discussion au ibadilisheni rasmi iwe DINIFORUM
   
 9. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #9
  Dec 18, 2010
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180

  Definition za udini kamwulize JK na Makamba
   
 10. K

  KALAMAZOO JF-Expert Member

  #10
  Dec 18, 2010
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 265
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Watu wanajadili UDINI bila kujua udini ni nini. Sasa Maalim katuweka sawa
  Jana tu wakristu wengi walikuwa wanapinga kuwa hakuna udini,leo CCT wanaibuka na kuwa udini upo ila ulianza enzi za mzee ruksa.Which is which?
   
 11. Shinto

  Shinto JF-Expert Member

  #11
  Dec 18, 2010
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 1,781
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  <br />
  <br />
  Averos, nime-refer kwemye post zako za nyuma, angalia hiyo ya CCT na UDINI jinsi ulivyotimia lugha isiyo ya kistaarabu pamoja na wakina Jerusalaam, Quinine na Crusaders wengine. Mbaya zaidi mnatoka hapo muna dai katiba mpya na kuchangia post nyingi za CDM. For neutral minded person sio ngumu kwake kujua misimsmo yenu ya kisiasa na kidini. Kumbuka mbowe kwenye mdahalo alilumbusha hakuna kundi linaweza kushinda peke yake, sio CDM sio dini yeyote we need each other. Amini nawaambia waislamu wanaichukia CCM, ila kwa haya matusi tunawalazimisha wakipende. Let us not demonize one another, united we stand!
   
 12. n

  nyanungu magena Member

  #12
  Dec 18, 2010
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 68
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 15
  huna jipya nenda ukasomeshwe dini na baba yako usituletee mambo kishamba kuhusu dini na siasa,hauna topic nenda kaolewe na ccm ndo wanatumia dini kama mtaji wa kuuwa cuf na si cdm.
   
 13. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #13
  Dec 18, 2010
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,598
  Likes Received: 3,890
  Trophy Points: 280
 14. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #14
  Dec 18, 2010
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Kwani kuna nchi, hata yenye waislamu zaidi ya 99%, ambayo kuna waislamu wamejikomboa na hawalalamiki? Kulalamika kwa Waislamu ni sunna jamani msishangae!
   
 15. tanga kwetu

  tanga kwetu JF-Expert Member

  #15
  Dec 18, 2010
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 2,165
  Likes Received: 1,125
  Trophy Points: 280
  Kwani kuna nchi, hata yenye waislamu zaidi ya 99%, ambayo kuna waislamu wamejikomboa na hawalalamiki? Kulalamika kwa Waislamu ni sunna jamani msishangae! .....nimeipenda hii from Buchanan
   
 16. n

  ngwendu JF-Expert Member

  #16
  Dec 18, 2010
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 1,967
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Well said
   
 17. n

  ngwendu JF-Expert Member

  #17
  Dec 18, 2010
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 1,967
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  kinyesi.
   
 18. The Planner

  The Planner JF-Expert Member

  #18
  Dec 18, 2010
  Joined: Dec 1, 2010
  Messages: 350
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Kutoka katika hizi definitions mbili wewe yako ni ipi?
   
 19. L

  LAT JF-Expert Member

  #19
  Dec 18, 2010
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  Ali Basaleh akisema wewe ni kichaa utamnukuu..... au utaenda mirembe kupimwa kwanza ndio utueleze kwamba una kichaa....
   
 20. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #20
  Dec 18, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...