Mjengwa, simulizi la mauaji ya Dk.Klerruu limeishia wapi?

kipipili

JF-Expert Member
Jul 29, 2009
1,590
183
Ndugu Maggid,
Ulikuwa unatuletea kisa cha mauaji ya mkuu wa mkoa wa Iringa miaka ya sabini Dk.Klerruu mara ghafla jiii, vipi umeambiwa inahatarisha usalama wa nchi?. Kama vipi endelea basi.
 
Historia yetu imekaa kwa mashaka mashaka na mambo mengi hayaandikwi. Sijui kwanini, ila kama tunataka kutawala yajayo lazima tuwe na ufahamu mkubwa na yaliyopita. Vinginevyo tunapoteza muda na mambo ya haraka haraka yasiyo na long term impact. Mfano mzuri ni jinsi historia ya mapinduzi ya Zanzibar isivyoeleweka.
 
Kumbe ni wengi tulikuwa tunafuatilia hichi kisa
Naona kimekata ghafla
Lazima atakuwa kapigwa stop na wazee flani maana duh!
Nijuavyo mtuhumiwa alihukumiwa kifo na alinyongwa

Tupe basi na kile cha Muhindi aliye muua mkewe kwa kulisukumia gari bondeni
Naye alihukumiwa kifo na kunyongwa
Alifanya hivyo ili alipwe na insurance hela kubwa:A S-alert1:
 
Back
Top Bottom