Kaa la Moto
JF-Expert Member
- Apr 24, 2008
- 7,903
- 1,053
Jamani Moderators, Shikamooni,
Kwa kweli pamoja na suala la katiba kuwa na jukwaa lake lakini bado kuna thread nyigi sana zimeanzishwa hapa na zinafanana sana. Hivi kweli haziwezi kuungwa pamoja?
Hapa sasa pamekuwa na dampo la threads zenye post moja tu na moja inafanana na zingine na zimeachwa kujaza hapa mpaka inakosesha raha ya kusoma.
Unaweza/mnaweza kuziunganisha jamani? Kwa mfano unakuta zile za Pinda ziko tele hapa au za kombani ziko tele au za katiba iudweje ziko kibao kwa nini msiziunge?
Hamjui kwamba kuna watu badala ya kuongeza post kwenye thread wao wanatengeneza thread mpya akidhani hapo ndio anachangia post kwenye thread? Na hii ni kwa kuwa wengi hapa ni wapya na hawajajua vizuri wafanyeje! Tafadhali tusaidie.