CCM shines at elections of mayors
By DAILY NEWS Reporters, 17th December 2010 @ 11:33, Total Comments: 0, Hits: 73
WHILE the Ruling Party Chama cha Mapinduzi (CCM) has won most mayoral seats in...
Wandugu,
Kama ilivyo ada yangu kuyapitia magazeti ya bongo, nimekutana na hii habari ya Mhe. Nyalandu, Waziri wa Viwanda, Biashara na Masoko akimpongeza ndugu John Nduguru mfanyabiashara wa KiTz...
Kama mchezo wa karata vile. Nadra mchezo kukamilika kabla ya mizunguko kadhaa. Safari yao ni katiba mpya na tume huru ya uchaguzi. mkakati wao wa kwanza ukawa kutokukubali ushindi wa JK, halafu...
Ndugu zangu nimeona na haya maono tusiyapuuze! Ila tuyafanyie kazi sivyo tutavuna tutakacho kipanda sasa WAPO WAZALENDO WALIOTUONYESHA NJIA LAKINI VIONGOZI WETU WA WAKATI HUO HAWAKUYAWEKEA...
Idd Azan amethibitisha namna CCM imajaa wabunge vihiyo.
Majira, Gazeti Huru la Kila Siku, inaripoti kuwa katika maeneo fulani Jijini Dar Es Salaam Mbunge wa Kinindoni, Idd Azan alikutana na...
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Jaji kiongozi Ndg. Fakhih Jundu jumla ya Tshs 2bn zitatumika kwa ajili ya kusikiliza kesi 43 za kupinga matokeo ya ubunge katika uchaguzi mkuu.
Hizi ni pesa...
Wana jf nimesikitishwa na kitendo cha mwanasheria tena wakili mpya kabisa aliyeapishwa jana tarehe 17/12/2010 na jaji mkuu anashindwa kutoa maoni yake kuhusu uhitaji wa katiba mpya!!! Alipoulizwa...
CUF kuweka mambo hadharani leo Friday, 17 December 2010 09:19 Na Waandishi Wetu, jijini
CHAMA Cha Wananchi (CUF) leo kinatarajia kuweka mambo hadharani katika viwanja vya Temeke mwisho ambapo pia...
Kwa muda mrefu sasa kumekuwa na hoja toka miongoni mwa watanzania kwamba kutokana na mabadiliko mengi ya msingi yaliyotokea toka mwaka 1977 Katiba ya sasa ilipotungwa hadi leo kuna haja ya kuwa na...
Kuna kundi dogo la akina makamba ambalo linafaidika na katiba iliyopo ndio kikwazo kwa uamuzi ambao kikwete ameshaukubali wa kuunda katiba mpya; anataka akumbukwe walau kwa hilo maana peoples...
A Free and fair election that we ought to struggle for: A response to Mwanakijiji.
Dear Mwanakijiji,
I read your article, that requested CHADEMA to unconditional apologize for their...
Wanajamvi
Kuna tatizo kubwa serikali yetu kuingia mikataba inayolinda maslai ya watanzania
Baada ya kunagalia documentary moja ya kipindi cha wanyama pori walioko zoo moja huko ulaya...
Katika hatua ya kushangaza kabisa, Mkurugenzi wa Manispaa ya Kigoma Ujiji ameahirisha uchaguzi wa Meya. Katika Halmashauri hii CHADEMA ina madiwani wengi zaidi ya CCM na nafasi ya Meya na Naibu...
Hivi kweli tunatimiza miaka 50 tangu tupate uhuru hatuna umeme. hii ni aibu kubwa kwa taifa.
Nijuavyo Tanzania inaruhusu haya mambo ya Independent Power Production ndio maana tulikuwa na jamaa...
Kuwa kuna mgawanyiko mkubwa kati ya madiwani wenye asili ya mji huu na wasio na asili na mji huu kiasi cha kwamba shutma mbali mbali zinatuptwa kuanzia za rushwa mpaka hizo za toka kwa wenye...
Katiba haiwezi kubadilishwa ikiwa mhusika mmoja hayupo,ni lazima wadau wote wawepo ili mabadiliko ya Katiba yafanywe ,tunafahamu fika kuwa katiba iliyopo haifai kwa vigezo vingi tu kimoja ni hicho...
Yasema wakati wa NEC kuvunjwa umefika
Yataja dosari zilizojitokeza Uchaguzi Mkuu
Yaonya wanasiasa kuchanganya ahadi na haki
Yakosoa CCM kuingiza Kadhi kwenye Ilani
Na John Daniel...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.