Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Jumuiya ya Wanataaluma Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDASA) imeandaa Kongamano la Pili la Katiba litakalofanyika katika ukumbi wa Nkrumah Chuo Kikuu cha Dar es Salaam siku ya Jumamosi, tarehe 02...
1 Reactions
490 Replies
35K Views
WAKONGO wa Kinshasa na kwengineko wanaujua wimbo huu; ”Papaa Mobutu ee, lokuta monene, oy'akanisaka, MPR ekokufaha, wayahaa, Tata Marechal, tikala libela, tata Mobutuee, tikala libela...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Bassaleh:hamuwezi vunja Muungano - mzalendo.net - blip.tv
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wana JF, nimemsikia jioni hii BBC Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Bw. Nape kuhusu kujivua gamba. Ila kwa matamshi anayoyatoa ya kumchafua Ndg. Edward Lowasa siyo ya kiungwana wala kianaume, kwa...
0 Reactions
31 Replies
3K Views
Salaam! Kwa muda mrefu nimekuwa nikifuatilia mwenendo wa jumuia za wanachuo na hasa Chuo Kikuu Dar. Makongamano, mihadhara, vigoda vya kitaaluma na kadhalika kujadili na kuchambua mambo mbalimbali...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ni huko Gongolamboto. Slaa alikuwa mmoja ya waombolezaji. Makongolo na wafuasi wake pia walikuwapo. Lakini baada ya Makongolo na watu wake kuondoka, huku nyuma (msibani) zikarindima risasi...
0 Reactions
57 Replies
7K Views
Katika Kikao cha Bunge lililopita nilishangazwa kumsikia Mbunge Henry Shekifu akiwasifia bila aibu polisi kwa kuua na kujeruhi katika maandamano huko Arusha, kwa kusema waliovijaribu vyombo vya...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
haya ni machale yangu binafsi yanayonicheza kuwa huyu mama anajipanga,..ndio home sweet home lakini hivi vitrip vyake lately sio bure halafu ****** body language yake pembeni ni kama...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Hodi hapa barazani, salaam! Hoja ya haja, Kwakua wakati wa uteuzi wa spika walitumia kigezo cha jinsia ili kuwaengua baadhi ya watu (Samuel Sitta mathalani) kutoka kwenye kinyang’anyiro cha...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Imeandikwa na Frank Leonard, Iringa; Tarehe: 29th April 2011 KIKAO cha Baraza la Madiwani wa Manispaa ya Iringa jana kiligeuzwa kwa muda kuwa uwanja wa kurushiana maneno baada ya Mbunge wa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
They are talking about 47 yrs of the Union.
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Kesho tunatarajia hukumu ya kwanza ya kesi za EPA katika Mahakama ya Kisutu. Hukumu hiyo itakayosomwa na mahakimu watatu ambao ni Saul Kinemela, Focus Bambikya and Elvin Mugata itakuwa dhidi ya...
0 Reactions
29 Replies
4K Views
Habari zenu wakuu JF Siku moja nilikuwa nasoma makala moja kwenye Internet iliyoandikwa FOOLISHNESS OF AFRICAN SLAVES. naomba niwashirikishe kwenye kisa hicho ili hapa GREAT THINKERS muweze...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Ziko sifa kadhaa ndogondogo za kumfanya mtu aweze kuchaguliwa na wananchi kuwa Rais wao. Lakini kubwa sana zenye ushawishi kwa watu kuweza kumchagua mtu ni hizi hapa; 1. Historia ya utumishi...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Nashangaa, kwani ni Jeshi la Polisi walitumia risasi za moto?? Kuna Risasi za mpira, hata Uganda zipo. Jeshi la Polisi lishitakiwe.. Jeshi la polisi Tanzania hawajui kuhusu rubber bullets
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Askofu Godfrey Mdimi Mhogolo wa Dayosis of Central Tanganyika Mkoani Dodoma,amemjia juu Katibu Mkuu wa Chadema na chama chake kuwa wana wachezea Watanzania kwa kujijengea umaarufu rahisi(cheap...
5 Reactions
226 Replies
24K Views
Katika kile kinachoonekana kuwa sasa wanatangaza vita, gazeti la Mtanzania linalomilikiwa na Rostam Aziz na kusimamiwa na Hussein Bashe limemchimba JK kwa kuandika leo kwamba Kikwete naye fisadi...
10 Reactions
202 Replies
21K Views
... WAZIRI wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta, na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais (Muungano) Samia Suluhu Hassan, wamenusurika kipigo baada ya kutokea vurugu kwenye...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Hv sijui tunaelekea wapi Tanzania,DSM haina RC kwa muda sasa hii sio kusema wenye sifa hawapo bali propaganda zinaendelea,Kuna kitu nyuma ya pazia kina eleza kuwa kuna yule aliyekosa jimbo Arusha...
1 Reactions
32 Replies
3K Views
Raisi hawazi kuweka maendeleo kwa kuchagua wakuu wa mkoa ambao wanahama kila siku na wengi wao hawajui mazingara ya mkoa wanaoongoza. Kikubwa na kibaya zaidi ni kwamba kama mkuu wa mkoa akifanya...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Back
Top Bottom