Wenyeviti 19 CCM, wanataaluma wapangwa
Lowassa aomba na kukutana na Kikwete Pasaka
Kardinali Pengo naye anena
Mwandishi Wetu
HATUA ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kutaka kujitenga na viongozi...
Damas Kanyabwoya
28 April 2011
It is clear that Tanzania currently passes through very difficult economic times due to a range of factors including high energy and food prices, expensive and...
Leo gazeti la mwanahalisi limechapisha makala yenye kichwa cha " mkapa kutinga kortini"
Makala hii ya kubenea imeeleza jinsi mkapa na jakaya walivyoshiliki katika ununuzi wa nyumba ya ubarozi...
Hakika hakuna utakalonieleza kuhusu Dr Slaa na urais ambao alipewa na Watanzania tarehe 31st Oct 2010.Kumbuka hakika nilizunguka Tanzania yetu hii kipindi chote cha Kampeni nikaona maajabu...
http://youtu.be/Xep2W2hjHnw
Tani 50 za chakula cha msaada kutoka serikalini zimechukuliwa na viongozi badala ya kuwagawia watu wasio na uwezo kama ilivyopangwa na serikali,
hii ni kesi ya...
Wakati najadiliana na FJM kwenye thread nyingine nimejikuta nikijiuliza je Mbunge anawajibika vipi kwa wapiga kura wake? Ni uwajibikaji wa aina gani pale ambapo Mbunge anawajibishwa kwa...
Hii habari inathibitisha kuwa ni kweli baadhi ya viongozi wa CHADEMA, CUF, Tanzania Daima na magazeti mengine wako mfukoni mwa mafisadi... Tanzania kweli safari bado ndefu kufikia uhuru...
Katibu wa Bunge, Dk. Thomas Kashililah, amejitosa ulingoni kujibu mapigo ya wakosoaji wa utendaji wa Spika wa Bunge, Anne Makinda, wanaodai kwamba kazi hiyo imemuelemea.
Kujitokeza kwa Dk...
Mei mosi ni siku ambayo wafanyakazi wote nchini wanaungana na wenzao wengine duniani kuazimisha siku yao ya Kimataifa na mimi nikiwa mmoja wa wanaothamini mchngo wao katika jamii napenda kuchukua...
Kinachowashangaza watanzania na wenye kuitakia mema nchi hii ( sio CDM ) ni pale ambapo CDM kususia sherehe zote za kitaifa japokuwa hupewa mualiko rasmi. Hivi hizi sherehe zote za kitaifa hazina...
LEO Watanzania tunaadhimisha miaka 47 ya Muungano kati ya Tanganyika na Zanzibar. Mwaka 1964 waasisi wa Muungano huo, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere na Abeid Amani Karume, walikaa pamoja na...
Wakati wa Kenya wanamuondosha kwa furaha Rais mstaafu Daniel arap Moi na kudhani ndio kikwazo cha maisha yao. vumbi la machafuko liliikumba baada mpinzani wake ambae ni rais wa sasa Kuvuruga amani...
CHAMA cha UPDP kimefanya mabadiliko ya uongozi kwa kumwondoa aliyekuwa Katibu Mkuu wa chama hicho Abdallah Ally.
Mwenyekiti wa chama hicho, Fahmi Dovutwa, alisema mabadiliko hayo yalifanyika...
Waafrika habarini za saizi tena kwa mara nyingine tena twamshukuru mungu mwenyezi mjaza neema ndogondogo na kubwa nene na nyembamba fupi na ndefu kwa uhai wake kukupa nafasi tena kuwepo jamvini...
Katibu wa bunge bwana Kashillillah aliita waandishi wa habari kuelezea minyukano iliyojitokeza katika mkutano wa 3 wa bunge hili la 10, aliuleza umma kwamba kilichosababisha ni ugeni wa wabunge na...
NI saa 12 asubuhi, mlango wa chumba changu unagongwa: Kaka Zitto, kaka Zitto, ndivyo mama yangu Bi Shida huita wanawe wote wa kiume.
Naamka, mama ananiambia: Shelembi ametutoka. Ni kama...
Maneno haya yametamkwa na ndugu Shitambala.........
...Anaongeza: Hicho chama nilikuwa naendesha kama kampuni binafsi. Kwani nilikuwa natoa fedha yangu mfukoni, na hawawezi kunikwamisha...
Hakika Chama kimepoteza watu muhimu ambao waliweza kuleta changamoto ndani na nje ya Chama.Binafsi nikiwa si MwanaCDM lakini nilivutiwa sana na viongozi hawa.Hawa ilikuwa ni tunu ya Taifa kwa...
"......kama baadhi ya watu wanavyohoji chimbuko la Muungano wa Tanganyika na Zanzibar kati ya Julius Nyerere na Abeid Karume ndivyo leo watu wanavyotaka kujua ni makubaliano gani yaliyofikiwa kati...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.