Rostam, Bashe watangaza vita na JK, wamuita naye fisadi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rostam, Bashe watangaza vita na JK, wamuita naye fisadi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Tina, Apr 13, 2011.

 1. Tina

  Tina JF-Expert Member

  #1
  Apr 13, 2011
  Joined: Jul 9, 2007
  Messages: 571
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 45
  Katika kile kinachoonekana kuwa sasa wanatangaza vita, gazeti la Mtanzania linalomilikiwa na Rostam Aziz na kusimamiwa na Hussein Bashe limemchimba JK kwa kuandika leo kwamba Kikwete naye fisadi wakinukuu List of Shame iliyotolewa na Chadema Mwembe Yanga, huku wakinukuu tuhuma zotte ambazo zilielekezwa kwa JK na huku wakijifanya kuwarushia mpira Nape na Chiligati kuwa walisema mafisadi wote CCM wajiuzulu akiwamo JK.

  JK, Mukama, Chiligati na Nape walizungumza wakirejea vikao vya CCM na si LIST of Shame na kama walitambua hilo wangesema mapema si baada ya kufukuzwa.

  Katika vikao vya CCM List of Shame ya Chadema haijajadiliwa bali walijadili Richmond, Dowans, Kagoda na Rada na waliwataja kwa majina Lowassa, Rostam na Chenge. Hii ni sawa na mwizi kukamatwa na kusema "tuliiba na mwenzangu mbona hakamatwi?" Maana yake anakiri kuwa ni mwizi.
   
 2. Wakumwitu

  Wakumwitu JF-Expert Member

  #2
  Apr 13, 2011
  Joined: Jan 22, 2011
  Messages: 373
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Acha wafu wazikane wenyewe. Siye macho yetu tuu.
   
 3. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #3
  Apr 13, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280

  Chinua Achebe: "Things Fall Apart"
   
 4. M

  Marytina JF-Expert Member

  #4
  Apr 13, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,035
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  wewe subiri LOWASSA hataondoka na akiondolewa lazima aweke uozo wa JK on Richmond hadharani.

  Nimependa pale MM Mwanakijiji aliposema Lowassa asijiuzuli kwani CCM hawana la kumfanya
   
 5. kinepi_nepi

  kinepi_nepi JF-Expert Member

  #5
  Apr 13, 2011
  Joined: Aug 16, 2007
  Messages: 870
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  wametuibia kura zetu wakizani watakaa kwa amani zambi ya wizi itawatafuna mpaka kaburini
   
 6. BornTown

  BornTown JF-Expert Member

  #6
  Apr 13, 2011
  Joined: May 7, 2008
  Messages: 1,716
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Vita ya Panzi......
   
 7. L

  Lilombe JF-Expert Member

  #7
  Apr 13, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 242
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Bado tutasikia mengi, EL, RA na Chenge hawatakubali kufa peke yao lazima wakibomoe CCM kwa vile ndoto za URAIS 2015 zimeyeyuka mbaya zaidi akina Prof Mwandosya, Dr. Mwakiyembe, Six wanatamba
   
 8. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #8
  Apr 13, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  :yield::A S-coffee::A S-coffee::A S-coffee: kazi imeanza
   
 9. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #9
  Apr 13, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Mkuu imenikumbusha mbali
   
 10. O

  OgwaluMapesa JF-Expert Member

  #10
  Apr 13, 2011
  Joined: May 24, 2008
  Messages: 10,948
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  List of shame remains! Kilichobakia ni kuitanua Nape hakumung'unya maneno wala Chiligati wali refer list ya Mwembeyanga sasa kosa liko wapi?
   
 11. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #11
  Apr 13, 2011
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Hilo ndilo suala la msingi kabisa.....Wamelikoroga tuwaachie walinywe wenyewe!!

  Ila huu ndo wakati muafaka wa wale wanaotamani kuona nchi yetu inatoka mikononi mwa watu wachafu kuchukua hatua mara moja! CCM sasa ni sawa na timu iliyosambaratika na hapa ndipo pa kuifunga magoli ya chap chap na kujichukulia ushindi wa cheee.
   
 12. kwempa

  kwempa Member

  #12
  Apr 13, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 73
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Chinua Achebe, No Longer at Ease!!!!!:A S-key:
   
 13. LordJustice1

  LordJustice1 JF-Expert Member

  #13
  Apr 13, 2011
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,264
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Muda si mrefu Mwakyembe atafungua "Pandora Box" ili tujue yale mambo yaliyoachwa wakati wa Sakata la Richmond "ili kutoiumbua Serikali!"
   
 14. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #14
  Apr 13, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,585
  Likes Received: 5,770
  Trophy Points: 280
  umeoooonaaaa eeeh mpwa hiyo aituhusu
   
 15. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #15
  Apr 13, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,402
  Likes Received: 738
  Trophy Points: 280
  wafa maji hawa
   
 16. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #16
  Apr 13, 2011
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180
  Sasa we dada ulitaka wazingatie mafisadi waliotajwa kwenye vikao vya CCM ili iweje? Vikao vya CCM vipi viliwahi kuweka hadharani majina ya mafisadi?
  CCM inataka kujisafisha mbele ya wananchi, kutokana na uchafu iliyochafuka pale Mwembeyanga, ambapo na Kikwete alikuwa sehemu ya uchafu huo. So hakuna njia ya mkato... Mnataka kutakasika? then anzeni na hilo kubwa kabisa...
   
 17. Najijua

  Najijua JF-Expert Member

  #17
  Apr 13, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 1,029
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Daima mfa maji haishi kutapatapa hivyo nao wanatafuta nani wa kufa nao, hiyo list of shame si walishawahi kuikana na kutishia kwenda mahakamani?walifanya mikutano mingi na waandishi wa habari leo wankiileta tena ina maana wanakubali hizo shutuma dhidi yao ambayo awali waliikana?

  Namsikitikia Kikwete na utawala wake kwa kuwa kwenye system ya utawala wake wafuasi wengi wa Lowassa na Rostam, akiwatosa hakika mambo mengi hayatofanikiwa kwa kuwa watendaji wake wengi ni watu wa kulipa fadhila kwa hao tunaowaita mafisadi
   
 18. fredmlay

  fredmlay JF-Expert Member

  #18
  Apr 13, 2011
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 1,855
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Huu ni muda muafaka kwa wanamageuzi kujipanga na sio kushabikia yanayoendelea ndani ya ccm bali kutumia udhaifu huo kuwasha moto zaidi, wananchi watazidi kuona pumba zipi na ngano ipi..
   
 19. k

  kibajaj Senior Member

  #19
  Apr 13, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 106
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hawawezi kuwafukuza hata kwa dawa.Hivi wakiwafukuza anategemea hela za campaign 2015 ccm watatoa wapi? Na JK anaogopa kuwa lowasa na rostam wakifutiwa uanachama dili lao ufisadi walioufanya ujulikana.
   
 20. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #20
  Apr 13, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  kuna jambo linakuja,subira huvuta heri,yetu macho na masikio
  tukumbe kuwa mla kuku wa mwenzake miguu humgeukia
   
Loading...