Nikiwa nimefunzwa na kufuzu shule ya msingi na kukubuhu hasa katika maswala ya nahau na methali, napenda kuwakumbusha baadhi. Kwanza wahenga walisema "ukitembea na mwizi na wewe utakuwa mwizi"...
Parliament of Tanzania
Nashauri Wana JF Tutembelee website hiyo tutoe maoni najua wengi tumeusoma vizuri ( link: http://www.parliament.go.tz/bunge/constution.php)
Event: Tafakuri ya kina ya Azimio la Arusha na nafasi yake kwenye mjadala wa Katiba
Date: 30/04/2011
Place: Nkrumah Hall a.k.a Nkrumah all
Main Speaker: Prof Shivji
Time: From 9: 30 AM to 2 PM...
Thursday, 28 April 2011 21:04 Elizabeth Suleyman
UMOJA wa vyama vya Upinzani Mkoa wa Dodoma, umemwandikia barua Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu( Sera, Uratibu na Bunge), William Lukuvi...
Na Rehema Mohamed
MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam imewataka walalamikaji katika kesi ya kupinga uchaguzi iliyofunguliwa na Mwenyekiti wa chama cha NCCR-Mageuzi, Bw. James Mbatia na wenzake...
Nawasalim wana JF
Naomba tuweke kando ushabiki wa vyama tusaidiane kwenye hili la CUF:
Mwenyekiti LIPUMBA kwa sasa achana na mbio za uraisi andaa sura mpya kwa uhai wa chama.
LIPUMBA msomi...
MKUTANO mkuu wa kuwachagua viongozi wa ngazi za juu wa Baraza la Vijana wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (BAVICHA) unatarajia kufanyika mwishoni mwa Aprili, mwaka huu.
BAVICHA haina uongozi...
When you want to express your feelings to a community,you have to careful of the political jagons and prundents which can lead you wrong way from the intent you intended to present..:A S-key:
Na Dunstan Bahai
VYAMA vya Wananchi (CUF) na Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) vimesema vina historia ya kuuchukia ufisadi na kwamba havina sababu ya kutumiwa na mtu au kiongozi yoyote katika...
KATIKA historia ya uchaguzi wa vyama vingi mkoani Kigoma, Oktoba mwaka jana NCCR-Mageuzi imeandika historia kwa kutumia mtaji wa wanachama wa Chama cha
Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kuibuka...
Siku itafika ambapo UKWELI atashinda! UKWELI huyu ana NGUVU kwani ni MUNGU na ni sauti ya MASIKINI wa Tanzania.Hakuna Fisadi yeyote atakayesimama! Sasa wamefumbwa macho wasione..na masikio...
Jana ilikuwa ni siku ya majonzi makubwa kwa wana Shinyanga na wana CDM kwa ujamla,kwa kuondokewa na KAMANDA Shelembi ukweli usiopingika itabaki kuwa ni historia ambayo itakuwa ni vigumu...
Sasa Hivi Gazeti La Rai Linafanya Uchambuzi wake kwa Chama Tawala; Very Interesting Article.
Makala na Uchambuzi, Rai
Na Prudence Karugendo
WALIOKUWA marais wa Tunisia na Misri, Ben Ali na...
I think the Malawi connection is Zanzibar is the disputed "zanzibariness" of Sheikh Abeid Aman Karume, the first President of Zanzibar (1964-1972) and father of Dr. Aman Abeid Aman Karume (the 6th...
Wanaongelea Siasa na ajenda ya ustawi wa maisha ya wananchi.
Kafulila ameshusha takwimu za uchumi na umaskini wa tz kuonesh kwamba tz ni tajiri sana na wananchi wanahoji umaskini unatoka wapi...
kuna mijadala inayoendelea juu ya suala hilo na wananchi wa maeneo husika wamekuwa hawajui juu ya hatma ya suala hilo, kuna wengine wanasema itakuwa Bariadi wengine makao makuu ya mkoa huo yapo...
Huu ni ufisadi pia: Baada ya kuteuliwa kuwa Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar,Balozi Seif Iddi, ameendelea kuwa Mbunge wa Jimbo la Kitope, Zanzibar na sasa amekua akitumia gharama za serikali...
Jimbo la Siha lina changamoto nyingi ikiwemo Miundombinu,Afya,Elimu na uwajibikaji wa watendaji wa Serikali.Mbunge wa Siha Mh.Agrey Mwandri amekuwa Mbunge kwa miaka Kumi sasa na japo kuwa kofia ya...
Bamuturaki Musinguzi
Source; GhanaNation.COM
Nairobi The course of the 47-year existence of the United Republic of Tanzania has been anything but smooth.
From Zanzibar Nationalism, the...
Nimeshtushwa na naendelea kushangazwa jisi Nape Nnauye na John Chiligati wnavyoendelea kuibomoa CCM kufuatia hatua yao ya kuzunguka mikoani kujinadi kuwa wanajivua gamba, nashindwa kuelewa kwnini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.