Mhoja
Reaction score
2

Profile posts Latest activity Postings About

 • Ahsante sana kaka Deo. Tuko pamoja katika kutoa mchango kwa wanaNzega na waTanzania wenzetu. kwa hakika jitihada za nguvu na za maksudi zinahitajika sana, haswa kwa sisi vijana watoto wa Tanzania.

  Nakushukuru kwa ufuatiliaji wako wa mambo yanayoendelea kwetu Nzega.
  Nakutakia kila la heri. Mungu azidi kukupa Uhai na Nguvu za kupambana na dunia ya sasa katika kuleta mabadiliko kwenye maisha yako, ya ndugu zetu na Taifa kwa ujumla.

  Wakatabahu,
  HK.
  Deo mambo vipi? za masiku? Natumaini umzima na unaendelea na kazi kama kawa...wabheja sana kwa meseji yako

  Tuko pamoja,
  HK. Shimba Ng'hosha.
 • Loading…
 • Loading…
 • Loading…
Top