Mauaji Arusha, Jeshi la Polisi walitumia Risasi za moto | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mauaji Arusha, Jeshi la Polisi walitumia Risasi za moto

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MPadmire, Apr 29, 2011.

 1. M

  MPadmire JF-Expert Member

  #1
  Apr 29, 2011
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 2,628
  Likes Received: 903
  Trophy Points: 280
  Nashangaa, kwani ni Jeshi la Polisi walitumia risasi za moto??

  Kuna Risasi za mpira, hata Uganda zipo.

  Jeshi la Polisi lishitakiwe..

  Jeshi la polisi Tanzania hawajui kuhusu rubber bullets
   
 2. Azimio Jipya

  Azimio Jipya JF-Expert Member

  #2
  Apr 29, 2011
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 3,370
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Mkuu une refaa ishu ipi ... kuna ishu mpya huko arusha imetokea?
   
 3. MchunguZI

  MchunguZI JF-Expert Member

  #3
  Apr 29, 2011
  Joined: Jun 14, 2008
  Messages: 3,623
  Likes Received: 590
  Trophy Points: 280
  Bwana weee!
  Mwandishi. Hebu jaribuni kuandika kwa kukumbuka kwamba kuna mtu mwingine atasoma message yako bila kufahamu unafikiria nini. Hii itasaidia kupunguza muda wa mahangaiko kutafuta maana ya meseji yako.
   
 4. M

  MPadmire JF-Expert Member

  #4
  Apr 29, 2011
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 2,628
  Likes Received: 903
  Trophy Points: 280
  Mauaji yaliyotokea wakati wa maandamano halali ya chadema
   
 5. itnojec

  itnojec JF-Expert Member

  #5
  Apr 29, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 2,191
  Likes Received: 223
  Trophy Points: 160
  i hate this kind of reporters, eleweka basi na utoe taarifa kamili.
   
Loading...