Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

ndugu zangu nataka tujadili kwa wazi thread hii hivi ni kweli nchi yetu itajengwa na chadema pekee? naomba tuongee ukweli tuache siasa za kishabiki haziwezi kutufikisha popote sisi watanzania wa...
0 Reactions
25 Replies
2K Views
Tangu sheikh yahaya ajipambanue kwa watanzania kuwa yeye ndiyo mchawi na mlinzi mkuu wa kikwete kwa kutumia majini, si kikwete wala makamba wala kinana wala riziwani wala salma kikwete...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Redio | Mzalendo.net Fungua hapo taarifa ya bahari ya 15:00-16:00 wakihojiwa viongozi haoo baada ya habari. Pia tuma maoni yako hapa JF.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
WIKIQUOTES – Jakaya Mrisho Kikwete Sourced 2005 It's very sad that Tanzania is a poor football country. If elected, I promise to put this country on the world football map. I will make...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Wale wanao sema Tanzania ndio Tanganyika ni kweli maana sijawahi kuskia hata siku moja kuwa Watanganyika wamekaa pamoja kuzungumza masuala yasio ya Muungano au kuwatowa wabunge wa Zanzibar katika...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
CCM imetoa miezi mitatu kwa makada wake wanaotuhumiwa ufisadi wawe wamejitoa katika nafasi walizonazo katika chama. Sasa kama ni hivyo ina maana waendelee kutanua Serikalini na Bungeni? Ingekuwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mimi nasikitika sana kuona sisi kamataifa moja tamaduni moja lugha moja tunakuwa na mawazo yakutengana kwakutafuta sababu eti muungano uvunjwe iwepo serikali ya zanzibar naserikali ya tanganyika...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Written by mkulima // 29/04/2011 // Habari // No comments April 28, 2011 Rais Jakaya Kikwete Zanzibar Daima imepokea barua ifuatayo kupitia njia ya e-mail kutoka kwa anwani iliyojitambilisha kama...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Julius Kambarage Nyerere, kwa moyo wake wote, fikra zake zote, kauli na vitendo vyake alipigania na kutetea Utu wa Taifa la Tanzania. Utu wa Taifa ni heshima ya Taifa, Ni uzalendo wa taifa, Ni...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Makala iliyoandikwa na Ahmed Rajab katika Raia mwema ya wiki hii, ambapo pamoja na mambo aligusia hatua ambayo ilichukuliwa na Baraza la wawakilishi ya kupitisha sheria inayoondoa suala la mafuta...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
na Asha Bani IKIWA mapambano ya kudai katiba mpya yanaendelea, jumuiya na taasisi za Kiislamu Tanzania zimesema katika madai yao kutakuwepo na mapendekezo ya kuishinikiza serikali kuanzishwa kwa...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Wajumbe wenzangu JF: Hivi kweli CCM wataweza kumaliza ufisadi hapa nchini? Inakuwaje tuhuma za ufisadi zachunguzwa na kumalizwa na vikao vya CCM badala ya vyombo rasmi vya sheria? Someni hii...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
  • Closed
Written by mkulima // 30/04/2011 // Habari // No comments...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Jamani mie kila siku nawatafakari Watanzania nashindwa kuelewa sisi ni watu wa aina gani? Je sisi ni sawa na viumbe binadamu kama wengine au tuna mapungufu ya akili ukilinganisha na wanadamu...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Leo ni siku ya pili ninahudhuria semina ya maadili kazini inayp tolewa na taasisi ya maendeleo ya chuo kikuu cha dar es salaam na kufadhiliwana ofisi ya raisi, lengo hasa la semina hii ni...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
MAMIA ya wakazi wa Jiji la Arusha leo wanatarajia kujitokeza kwenda Mahakamani kusikiliza kesi inayowakabili vigogo wa Chadema, wakiongozwa na Mweyekiti wa chama hicho Taifa, Freeman Mbowe na...
0 Reactions
176 Replies
14K Views
Wandugu, nachukuaa fursa hii kuwafagilia CCM kwa hatua inazochukua ambazo zimeendana na utafiti wa kisayansi. Uamuzi uliochukuliwa White House, Dodoma ulikuwa mgumu hatahivyo wa lazima kuendana na...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Napenda kutumia huu mtandao mashuhuri nchini Tanzania wa jamii forums (JF) kufikisha malalamiko yangu kwenu.naamini kabisa hata wamiriki wa mtandao huu (JMCL) watanisaidia kuwafikishieni taarifa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Toka alipokuwa anafanya halakati za kuingia mjengoni, na hatimaye amefanikiwa kuingia mjengoni,sikutegemea lolote toka kwake hasa ukiangalia historia ya ufanisi wake wa kazi huko aliko pitia...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Back
Top Bottom