Hivi vyote hana, JK aliupataje Urais?

Chakaza

JF-Expert Member
Mar 10, 2007
39,758
71,136
Ziko sifa kadhaa ndogondogo za kumfanya mtu aweze kuchaguliwa na wananchi kuwa Rais wao. Lakini kubwa sana zenye ushawishi kwa watu kuweza kumchagua mtu ni hizi hapa;
1. Historia ya utumishi uliotukuka,bidii na maarifa katika majukumu ambayo alikwisha wahi kupewa na taifa lake.
2. Uwezo wa kujenga hoja na kuitetea na kuitekeleza bila mashaka.
Haya Ndio hasa yanawavuta watu kumchagua mtu awe kiongozi wao. Sass mbona JK sifa hizo Hana na bado chama chake kikamteua na watu wakamchagua? Tuweke mbali suala la uchakachuaji matokeo, bado kuna waliompa Kura kwa ridhaa kabisa, jee mini kiliwavuta kumchagua?
 
waliompa kura kwa ridhaa walivutwa na vitu hivi
1. U-ndugu, tukumbuke na yeye ana ndugu na marafiki, hivi unategemea ridhiwani, au salma, au masha au fancy nkuhi walimpa nani kura?
2.Maslahi binafsi, wapo ambao kwa JK kuendelea kuwa madarakani wao wanafaidi, mtu kama rostam we unafikiri alimpa nani kura?
3.Uduni wa elimu, si hata yule kampeni manager wao alisema, kupanuka kwa demokrasia na elimu ndo sababu ya ccm kutofanya vizuri, kwa hiyo upanukaji wa demokrasia na ukuaji wa elimu ya uraia is inversely propotional to number of votes CCM is getting
 
Usisahau udini. Wako watu wengi ambao wanaamini kuwa yote yanayompata Kikwete kutopendwa ni kutokana na dini yake. Kwa hali hiyo waislam wengi wakiongozwa na maneno na hoja za viongozi wao walikuwa nyuma ya nguvu ya kiislam kumtetea Kikwete. Wakumbuke kuwa hata Mkapa alipofanya madudu aliandamwa na shutma bila kujali dini yake. Pia uwepo wa Slaa na uambukizo kuwa yuko kwa ajiji ya Wakatoliki umechangia Waislam kumtetea na kumpa kura Kikwete.
 
Ziko sifa kadhaa ndogondogo za kumfanya mtu aweze kuchaguliwa na wananchi kuwa Rais wao. Lakini kubwa sana zenye ushawishi kwa watu kuweza kumchagua mtu ni hizi hapa;
1. Historia ya utumishi uliotukuka,bidii na maarifa katika majukumu ambayo alikwisha wahi kupewa na taifa lake.
2. Uwezo wa kujenga hoja na kuitetea na kuitekeleza bila mashaka.
Haya Ndio hasa yanawavuta watu kumchagua mtu awe kiongozi wao. Sass mbona JK sifa hizo Hana na bado chama chake kikamteua na watu wakamchagua? Tuweke mbali suala la uchakachuaji
matokeo, bado kuna waliompa Kura kwa ridhaa kabisa, jee mini kiliwavuta kumchagua?

Wewe Chakaza hujui kikwete alipata asilimia 27%????????? Hujui sisiem ni chama cha mafisadi na wazee wasiopenda maendeleo (conservatives and non-progressives) hawa ndiyo waliompigia kikwete kura hizo na kupata 27% Wapenda amani na maendeleo wote walmkataa, ndiyo maana matokeo ya kura yalikuwa yanasomwa na makame at gun point!!!!!!!!!!!!!!!! In short- kikwete alipora utawala (urais) -ndiyo maana alitamka bungeni kwamba mtake msitake mimi ndiye rais wenu-mwenye hekima hawezi kusema haya maneno kwa taifa!!!!!!!!! Matokeo ya haya yote na kukabidhi taifa kwa mashetani matokeo yake ni majanga-majanga-majanga!!!!!!!! na hatimaye taifa linafikia mwisho????????????
 
Ziko sifa kadhaa ndogondogo za kumfanya mtu aweze kuchaguliwa na wananchi kuwa Rais wao. Lakini kubwa sana zenye ushawishi kwa watu kuweza kumchagua mtu ni hizi hapa;
1. Historia ya utumishi uliotukuka,bidii na maarifa katika majukumu ambayo alikwisha wahi kupewa na taifa lake.
2. Uwezo wa kujenga hoja na kuitetea na kuitekeleza bila mashaka.
Haya Ndio hasa yanawavuta watu kumchagua mtu awe kiongozi wao. Sass mbona JK sifa hizo Hana na bado chama chake kikamteua na watu wakamchagua? Tuweke mbali suala la uchakachuaji matokeo, bado kuna waliompa Kura kwa ridhaa kabisa, jee mini kiliwavuta kumchagua?

UJINGA, MARADHI, NA UMASKINI, KWANI YEYE NI TAJIRI, NA ALIMWAGA MIPESA, NA ALISEMA, KASI ZAIDI( YA UMASKINI), NGUVU ZAIDI ( YA KUWANYONYA NYINYI WAPUMBAVU MPAKA MKAUKE), UFISADI MBELE (KULA BILA KIFICHO HAKUNA WA KUHOJI), hapo nitakuwa nimekujibu
 
Wewe Chakaza hujui kikwete alipata asilimia 27%????????? Hujui sisiem ni chama cha mafisadi na wazee wasiopenda maendeleo (conservatives and non-progressives) hawa ndiyo waliompigia kikwete kura hizo na kupata 27% Wapenda amani na maendeleo wote walmkataa, ndiyo maana matokeo ya kura yalikuwa yanasomwa na makame at gun point!!!!!!!!!!!!!!!! In short- kikwete alipora utawala (urais) -ndiyo maana alitamka bungeni kwamba mtake msitake mimi ndiye rais wenu-mwenye hekima hawezi kusema haya maneno kwa taifa!!!!!!!!! Matokeo ya haya yote na kukabidhi taifa kwa mashetani matokeo yake ni majanga-majanga-majanga!!!!!!!! na hatimaye taifa linafikia mwisho????????????

Ndugu yangu umepotoka!!!! asilimia 61% za Kikwete ni halali...! hakuna cha kuchakachua wala cha nini? ni wa TZ ndio walio mpa, we angalia hata wapinzani wetu nao walivyo kuwa wafinyu wa SERA!!! Tz hii uende ukwa waambie wana kijiji ELIMU BURE, AU UTAPUNGUZA BEI ZA CEMENT NA MABATI??? leo hii wanaona Elimu haina maana, kwanza inawapotezea muda, wameridhika kuishi kwenye TEMBE, wapinzania wange fanya kama huyu Jamaa Kikwete yeye anawajua waTZ wajinga, ndo mana alikwenda vjijini aka wa haidi visima vya maji, madawa ya mimea, vivuko, mbolea za mashamba, nk. we nani kakwambia leo hii, Elimu ina maana, kwanza kielelezo cha Elimu ya leo, tulio soma tunazalilishwa kupindukia...!!! watoto kule vyuoni wana andamana hovyo hovyo tu, hawako productive kimawazo kabisa, wasomi walio madarakani ndo WIZI kupindukia, lao mwana kijiji c bora alime tu, hila kwa 61% zinatutokea puani hata wao watakiona cha moto.
 
sina cha kujibu yote mmemaliza labda cha kuongezea eti ni handsome ndio maana wanawake wengi walimchagua, na mwaka ujao ni Luasa maana Sofia simba alimwita Mwanaume wa Shoka sijui halimkata wapi , mie sisemi, ahaaaaaaa!!!tehe... tehee!!?
 
Baadhi ya wanawake walimpa kwa sababu anawavutia utafikiri walikuwa wanatafuta mchumba wa kuaowa.
 
Upeo mdogo wa kuchanganua mambo, primitiveness na uvivu wa kufikiria among majority of Tanzanians ndio kilichompa uraisi. Majority ya watanzania wamo ktk hili group na ambao wapo tofauti na hili group yaani wenye upeo ni wachache na hao hata iweje hawakumpigia kura JK
 
Ziko sifa kadhaa ndogondogo za kumfanya mtu aweze kuchaguliwa na wananchi kuwa Rais wao. Lakini kubwa sana zenye ushawishi kwa watu kuweza kumchagua mtu ni hizi hapa;
1. Historia ya utumishi uliotukuka,bidii na maarifa katika majukumu ambayo alikwisha wahi kupewa na taifa lake.
2. Uwezo wa kujenga hoja na kuitetea na kuitekeleza bila mashaka.
Haya Ndio hasa yanawavuta watu kumchagua mtu awe kiongozi wao. Sass mbona JK sifa hizo Hana na bado chama chake kikamteua na watu wakamchagua? Tuweke mbali suala la uchakachuaji matokeo, bado kuna waliompa Kura kwa ridhaa kabisa, jee mini kiliwavuta kumchagua?

Mzee ebu tujaribu kuunganisha siasa na uchumi na kuweza kutoa mawazo ya kujenga Taifa.Hili la kikwete waliomchagua wanajua kwa nini wamemchagua.Vile vile kama kungekuwa na uchakachuaji ,basi ni dhahiri wananchi wangeandamana kila angle.Mbona ya ubunge asilimia 73 atuongelei ila Urais ambao ni chini ya % za ubunge kila kukicha porojo.Tubadili mawazo na kutoa muelekeo sisi wanaharakati,tumechoshwa na hoja hizi zisizotoa njia bali uanza na kufa bila suruhu.Ndiyo kachaguliwa na ni rais,kuhoji huku juu ya sifa zake sasa is too late my friend.
 
Is too late? angalia swali kwanza. Huoni ni muhimu kujua aliupataje ili kama kuna jambo lisilo la kawaida lisijirudie 2015 kwa wengine? Au nyie wanaharakati mnataka yajirudie ili muwe busy tena kwa hoja hizihizi after 2015?
 
sina cha kujibu yote mmemaliza labda cha kuongezea eti ni handsome ndio maana wanawake wengi walimchagua, na mwaka ujao ni Luasa maana Sofia simba alimwita Mwanaume wa Shoka sijui halimkata wapi , mie sisemi, ahaaaaaaa!!!tehe... tehee!!?

alimkata anakojua yeye. Uji ulizi sofia simba aliwashauri wanawake watz wawanyime unyumba wanaume walioko upinzani? Ama kweli hii ni sirikali ya mahuni!
 
Mafisadi ndio walio mpa urais, wananchi tulimnyima

Nakubaliana nawe NJ. wananchi tulimnyima kura 2010. Mafisadi ambao wamekamata mpaka dola ndo waliompa uraisi. Lakini pia upinzani una matokeo ya vituo vyote kama yalivyokusanywa kutoka katika vituo vya kupiga kura. swali langu ni kwa nini wasiende mahakamani kuomba tamko la mahakama kuwa kutokana na vielelezo vilivyotoka kwenye vituo vya kupiga kura, matokeo ya mwisho yanakinzana na ya vituoni. huendi kuomba tamko kuwa Tume ilimtangaza mshindi ambaye hakushinda, lah. ila unaomba mahakama itamke kuwa matokeo ya vituoni ni tofauti na yale ya kitaifa. huendi kuomba mahakama ibatilishe matokeo yaliyotangazwa na tume, la hasha. tamko tu kuwa matokeo ya vituoni yako tofauti na ya kitaifa itaondoka uhalali wa mtawala aliyopo (legitimacy). wadau mnalionaje hili?
 
Hofu ya vita na uvunjifu wa amani. Propaganda iliyoenezwa sana hasa vijijini (kwenye wapiga kura wengi). Na falsafa ya WAPINZANI ni kuwa watu wanaokwenda kinyume nyume (hasa kwa maeneo ya vjijini) ambako upeo wa kuchanganua mambo ni mdogo. Kuishi kwa mazoea - "Eti kimetutoa mbali" wakilinganisha na kukumbuka CCM ya Mwalimu (watu wazima na wazee). Upenzi wa kijinga. Mfano mtu anapenda chama fulani tu kama vile anavyopenda Simba au Yanga, hana sababu yoyote ya kumchagua huyo aliyemchagua. Rushwa kidogo na influence ya vijana wanaoungwa mono na vijana wasio na kazi hasa kwa kuwatumia wasanii wa mziki wa kizazi kipya (Wasanii wa bongofleva).
 
Ndugu wanaJF, hayo yote tunayajua leo hasa sisi tulobahatika kuandika kwenye kompyuta. Kipindi kile ilikuwa siyo rahisi kujua udhaifu na uimara wa kiongozi yeyote wa chini mpaka uwe karibu naye au watu wa karibu yake. Watu wengi walimchagua kwa demokrasia hafifu iliyokuwepo kipindi kile na dhana duni ya kidumu chama. Kwa hiyo hakukuwa na taarifa za kutosha kwa wagombea wote kwa wananchi ili waweze kuchuja. Nataka kumtahadharisha mtoa mada kwamba asifikirie anayoyaandika hapa yanawafikia watanzania wote. NO. Ni kama asilimia 0.5 tu ya watanzania wanapata taarifa unazotype kwenye keyboard yako. Usijisahau mkuu!!! Lazima njia mbalimbali zitumike kuelimisha wananchi kama kupitia vyama vya siasa e.g CDM. Kwa taarifa yako, CDM imeamusha watanzania wengi sana na ndio iliyofanya CCM ijivue gamba. Jibu ni vyanzo vya habari havikuwepo vya kutosha.
 
Ziko sifa kadhaa ndogondogo za kumfanya mtu aweze kuchaguliwa na wananchi kuwa Rais wao. Lakini kubwa sana zenye ushawishi kwa watu kuweza kumchagua mtu ni hizi hapa;
1. Historia ya utumishi uliotukuka,bidii na maarifa katika majukumu ambayo alikwisha wahi kupewa na taifa lake.
2. Uwezo wa kujenga hoja na kuitetea na kuitekeleza bila mashaka.
Haya Ndio hasa yanawavuta watu kumchagua mtu awe kiongozi wao. Sass mbona JK sifa hizo Hana na bado chama chake kikamteua na watu wakamchagua? Tuweke mbali suala la uchakachuaji matokeo, bado kuna waliompa Kura kwa ridhaa kabisa, jee mini kiliwavuta kumchagua?

si alikuwa ni chaguo la mungu?
 
Usisahau udini. Wako watu wengi ambao wanaamini kuwa yote yanayompata Kikwete kutopendwa ni kutokana na dini yake. Kwa hali hiyo waislam wengi wakiongozwa na maneno na hoja za viongozi wao walikuwa nyuma ya nguvu ya kiislam kumtetea Kikwete. Wakumbuke kuwa hata Mkapa alipofanya madudu aliandamwa na shutma bila kujali dini yake. Pia uwepo wa Slaa na uambukizo kuwa yuko kwa ajiji ya Wakatoliki umechangia Waislam kumtetea na kumpa kura Kikwete.

komeni kuendelea jadili UDINI... mwataka lipeleka wapi taifa hili..
 
Ziko sifa kadhaa ndogondogo za kumfanya mtu aweze kuchaguliwa na wananchi kuwa Rais wao. Lakini kubwa sana zenye ushawishi kwa watu kuweza kumchagua mtu ni hizi hapa;
1. Historia ya utumishi uliotukuka,bidii na maarifa katika majukumu ambayo alikwisha wahi kupewa na taifa lake.
2. Uwezo wa kujenga hoja na kuitetea na kuitekeleza bila mashaka.
Haya Ndio hasa yanawavuta watu kumchagua mtu awe kiongozi wao. Sass mbona JK sifa hizo Hana na bado chama chake kikamteua na watu wakamchagua? Tuweke mbali suala la uchakachuaji matokeo, bado kuna waliompa Kura kwa ridhaa kabisa, jee mini kiliwavuta kumchagua?

naomba utaje na sifa nzuri za JK...
 
Back
Top Bottom