Hii ya mtu kufyatua risasi ktk msiba aliohudhuria Dr. Slaa imekaaje? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hii ya mtu kufyatua risasi ktk msiba aliohudhuria Dr. Slaa imekaaje?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ng'wanangwa, Feb 21, 2011.

 1. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #1
  Feb 21, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,173
  Likes Received: 892
  Trophy Points: 280
  Ni huko Gongolamboto.

  Slaa alikuwa mmoja ya waombolezaji.

  Makongolo na wafuasi wake pia walikuwapo.

  Lakini baada ya Makongolo na watu wake kuondoka, huku nyuma (msibani) zikarindima risasi. Zikafyatuliwa hewani. Taharuki. Watu wakazani mabom.

  Source: Barua ya Wasomaji(Mwananchi)----(kwa hisani ya Anne Makinda)
   
 2. mtu chake

  mtu chake JF-Expert Member

  #2
  Feb 21, 2011
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 3,999
  Likes Received: 1,124
  Trophy Points: 280
  nasikia akaondoka kusikojulikana......

  1.hakukamatwa?

  2.alikuwa na lengo gani?

  3.je kullikuwa hakuna watu wa usalama?hata wanajeshi wenyewe.
   
 3. s

  salisalum JF-Expert Member

  #3
  Feb 21, 2011
  Joined: Oct 27, 2010
  Messages: 379
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Ajabu na kweli!
   
 4. manenge

  manenge JF-Expert Member

  #4
  Feb 21, 2011
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 280
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Inawezekana alikuwa anamtafuta mtu wake sasa baada ya kumkosa kwa hasira akaamua kupiga hewani. Hili ni jambo linatakiwa kuchunguzwa kwa makini. Inawezekana ametumwa.
   
 5. P

  Phillemon Mikael JF Gold Member

  #5
  Feb 21, 2011
  Joined: Nov 5, 2006
  Messages: 8,848
  Likes Received: 2,423
  Trophy Points: 280

  Makongoro anajifanya mafia sana...nimefuatilia hili nimeambiwa na network ya usalama kuwa ...jamaa wa CCM hawakufurahia uwepo wa Slaa msibani ukizingatia tangia haya maafa yameanza wanaataka wao tu ndio waonekane wako karibu na wananchi tatizo ni kuwa wananchi hawawapi attention...

  Sasa baada wale jamaa wameondoka wakapanga kuwa jamaa afuatue risasi hewani ili ...watu wataharuki na kukimbia ovyo na wao wangepata nafasi ya kumdhuru Dr slaa kwa kumuumiza vibaya kwa kumkanyaga au kumgonga na kitu [hasa mkononi] wasingelimuuwa....it was an attack attempt..

  Mungu tu amesaidia kuwa watu hawakutaharuki.....na hata pale kuna watu wengine wa usalama hawakupenda lile jambo kwa kuwa agizo halikutoka kwenye rank za usalama from DG ila lilipenyezwa kwa watu wa usalama pale kimafia na Makongoro akiwa na huyo mbunge Mwaiposa kwa baraka za baadhi ya watu ndani ya CCM na ndio maana wao wakaondoka ...kabisa kabla wakaenda kusikilizia ...Rank za usalama wasingeweza kutoa amri kama ile kwa kuwa tayari hali ya usalama wa nchi ni tete na kuumizwa kwa Dr Slaa pale au kuuliwa kungeleta mtafaruku nchini....

  CHADEMA Wasikubali wafuatilie afisa usalama aliyekuwa field pale na watu wake wawajibishwe kwa kuwa lile tukio halikuwa na baraka za DG.
   
 6. D

  Domo Zege JF-Expert Member

  #6
  Feb 21, 2011
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 687
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  mmmmh hii kali
   
 7. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #7
  Feb 21, 2011
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,630
  Likes Received: 1,386
  Trophy Points: 280

  duuh tumefikia huku lini? hivi ni siasa za namna gani hawa jamaa wanatumia?

  hii inaonyesha wameishiwa kiasi gani... naingojea siku ile ambayo yaja kwa kasi
   
 8. W

  WildCard JF-Expert Member

  #8
  Feb 21, 2011
  Joined: Apr 22, 2008
  Messages: 7,477
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  Mlevi tu alikuwa anatoka msibani akichagizwa na wahuni wa mtaani. Anamiliki vipi silaha ile kwa akili ile ndilo suala la kufanyia kazi.
   
 9. s

  salisalum JF-Expert Member

  #9
  Feb 21, 2011
  Joined: Oct 27, 2010
  Messages: 379
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Dr. Slaa alitonywa mapema kwamba jamaa watafanya hicho walichokifanya.
   
 10. mshikachuma

  mshikachuma JF-Expert Member

  #10
  Feb 21, 2011
  Joined: Dec 2, 2010
  Messages: 2,853
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  He he heeee..... Hii habari hapo juu kama ni kweli basi inatisha na kusikitisha!

  CCM wasijaribu kumdhuru ama kumuua Dr Slaa! Nchi haitakalika wala kutawalika.
   
 11. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #11
  Feb 21, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  hii habari sijui imekaaje.... nashindwa nianzie wapi kwani risasi zinaweza kurindima popote ambapo kuna silaha na trigger
   
 12. Ba Martha

  Ba Martha JF-Expert Member

  #12
  Feb 21, 2011
  Joined: Aug 13, 2010
  Messages: 338
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Wangewasha moto ambao kuuzima kwake yangehitaji maji yote ya bahari ya hindi...peoples power.
   
 13. P

  Phillemon Mikael JF Gold Member

  #13
  Feb 21, 2011
  Joined: Nov 5, 2006
  Messages: 8,848
  Likes Received: 2,423
  Trophy Points: 280
  System inajuwa nguvu ya upinzani na hali ya usalama ilivyo sasa [i mean kwa wataalamu wa usalama analysis sio nzuri ...watu wana hasira na serikali yao]....hawangeweza kutoa amri kama ile ...hii kitu imefanywa na kikundi cha watu wachache ndani ya CCM kina Makongoro na yule mbunge...kwa kuwatumia maafisa usalama waliokuwa pale msibani wasio waaminifu....

  Ndio maana wao waliondoka kabla na pia shangaeni kuwa hata baada ya kufyatua risasi huyo mtu wa usalama ambaye baadhi wanaleta conspiracy hapa kuwa ni ulevi hakutiiwa nguvuni ...na akaondoka zake na pale walikuwapo polisi.....wale vijana waliokuwa wanashangilia ni wakereketwa wa ccm ambao walikuwa wameandaliwa kuchagiza vurugu ....walipoona watu hawakutaharuki kiasi cha kutosha kushambulia ndio waakaanza kufanya mzaha wa kushangilia ...shangaaeni pia nao hawakutiwa nguvuni au kuhojiwa..........

   
 14. P

  Phillemon Mikael JF Gold Member

  #14
  Feb 21, 2011
  Joined: Nov 5, 2006
  Messages: 8,848
  Likes Received: 2,423
  Trophy Points: 280
  Wildcard give me a break fellow...hivi mwambie mtu yeyote alewe pombe aende kwenye kusanyiko alipo makamba au salma nini Kikwete...afyatue risasi ....aone kama hajaozea detention....kuna watu wajinga kama kina makongoro walitaka kuingiza nchi kwenye machafuko kwa kuwatumia maafisa usalama wasio waamiinifu....can you imagine pale wamefyatua risasi ....wameondoka .....polisi pia walikuwapo...na wala hawajashikwa kuhojiwa....kama unamiliki silaha utakuwa unajuwa hata kuionyesha hadharani..bila sababu ni kosa.......pale kulikuwa na vijana wako nao nao hakuna aliyeshikwa wala kuhojiwa....
  CHADEMA wafuatilie hili suala kwa DG ili maafisa wake waliokuwapo pale waaulizwe nani aliwapa amri ile...kama makongoro ..ndio DG mpya tujuwe.....wanastahili adhabu........!!! Kova naye nategemea aulizwe kwanini hakuwatia nguvuni wale watu[maafisa]...?? ..kwanini tunataka kuchezea amani kwa uhuni wa watu wachache??...hali yenyewe ya nchi kila mtu anaiona ,nchi yetu wote ...halafu watu wanaachiwa walete machafuko????..and they walk away with it....
   
 15. Tumsifu Samwel

  Tumsifu Samwel Verified User

  #15
  Feb 21, 2011
  Joined: Jul 30, 2007
  Messages: 1,406
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Dah! Kama ni kweli unayosema philimon, basi tanzania tumefika pabaya.
   
 16. Madago

  Madago Senior Member

  #16
  Feb 21, 2011
  Joined: Feb 7, 2009
  Messages: 116
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kwa kuwa hatuna ushahidi wa hizo nadharia nami pia nitoe yangu: kupiga risasi hewani wakati wa mazishi ni kutoa heshima kwa mtu aliyekufa has akama alikufa kwa udhalimu au kishujaa, ofcourse kuna miogozo yake..pengine huyo mtu aliyepiga risasi juu nae alikua na machungu na walikufa hivyo akawa anatoa heshima kivyake..well, anything goes
   
 17. W

  WildCard JF-Expert Member

  #17
  Feb 21, 2011
  Joined: Apr 22, 2008
  Messages: 7,477
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  Ndicho alichosema huyo mlevi. Misiba ya kijaluo ina vituko vingi. Tunalikuza tu hili. Dr Slaa mwenyewe alikwisha ondoka kitambo wakati huo.
   
 18. P

  Phillemon Mikael JF Gold Member

  #18
  Feb 21, 2011
  Joined: Nov 5, 2006
  Messages: 8,848
  Likes Received: 2,423
  Trophy Points: 280
  In presence ya Polisi ..waliokuwa pale ..wamejaa...., hakushikwa na hata kuhojiwa tu...are missing a point here...!!!....lengo lao halifufanikiwa ...walitaka watu wakimbie ovyo walitimize...
  Mazishi ya kishujaa hasa ya askari hupigwa rifle juu au mzinga ....tena isiyokuwa na madhara na watu huarifiwa wasiogope...sasa Madago hii nchi imekosa rule of law kiasi kuwa unaweza kufyatua tu risasi kwenye halaiki ..ukajiendea kwenye gari ukaondoka na wenzako na wala sheria isichukue mkondo.....sielewi kwa nini mnatetea hili tukio la aibu ...!!
   
 19. W

  WildCard JF-Expert Member

  #19
  Feb 21, 2011
  Joined: Apr 22, 2008
  Messages: 7,477
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  PM,
  Issue yenyewe haikuwa serious kihivyo. Watu walishaanza kuaga na kuondoka. Wazito wote walookuwa pale walishaondoka.
   
 20. Madago

  Madago Senior Member

  #20
  Feb 21, 2011
  Joined: Feb 7, 2009
  Messages: 116
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Phil nimekupata, yote yanawezekana, kuna mambo mengi nchi hii yanakwenda unanswered - we have such unresponsibilized rulers- as such tunabaki tuna guess nini kimetokea- na kwanini-- na consipracy theories nyiiingii- na sio kwamba tunawatetea ama nini- mfano mzuri ni hilo tukio lililosababisha huo msiba wenyewe, hakuna tunachokijua, si wananchi wala watawala wenyewe- bali jeshi ambalo nalo limeahidi uchunguzii--hivyo unconclusive nadharia bado tutazisikia nyingi tu.
   
Loading...