Mbunge Henry Shekifu awapongeza polisi kwa mauaji Arusha!

akajasembamba

JF-Expert Member
Dec 24, 2010
1,012
1,475
Katika Kikao cha Bunge lililopita nilishangazwa kumsikia Mbunge Henry Shekifu akiwasifia bila aibu polisi kwa kuua na kujeruhi katika maandamano huko Arusha, kwa kusema waliovijaribu vyombo vya dola WALIKIONA CHA MTEMA KUNI!hata mikoani vyombo vya dola vina nguvu.

Nilimshangaa Mbunge huyu kusifia MAUAJI na utoaji roho binadamu wenzake, hata viongozi wa chama chake hakuna hata mmoja aliyesifia mauaji walichojaribu ni kutetea tu!

Yeye anakiherehere gani na roho gani sijui
 
Hata mimi nilimshangaa kwa kuingiza ushabeki wa kisiasa kwa mambo yanayohusu uhai wa watu. Kwa maoni yangu kuwepo kwake hapo bungeni ni janga la taifa.
 
Huyu Shekifu ni mmoja kati ya wezi wakubwa hapa Tanzania. Mwalimu Nyerere alishawahi kumuweka ndani kipindi cha kukamata wahujumu uchumi. Ni mtu mwenye tamaa sana na pesa + madaraka. Na ni mmoja kati ya watu wa karibu sana na Jakaya, vipindi vyote vya uchaguzi Jakaya anamtumia kama kampeni meneja wa mikoa ya Tanga, Kilimanjaro na Arusha.

Alitumika sana katika kummaliza Salimu. A. Salimu katika kipindi cha uchaguzi 2005.

Hivyo siwezi kushangaa kabisa kama ataleta upuuzi wake kama huo.
 
Washangaaa hilo tu la ARUSHA.Mbona ushangai la Mabomu Gongolamboto CCM wasema wananchi wamejitakia kujenge karibu na kambi
 
Shekefu alikuwa mkuu wa manyara kabla ya ubunge, sijui kama kunamwininealiyechaguliwa. Yeye ni sehemu na mwendelezo wa mgogoro wa shamba la Mulbadaw ambalo limenunuliwa na Hospitaliya Haydom.Yeye kila mwaka hulimiwa eka mia mbili bila kutoa hata senti tano wala kulikagua au kupalililia. Wakati wa mauzo hupewa hela zote za mavuno hayo. Wataalamu waseme huyu anapewa takrima au vipi. Zaidi matatizo ya ardhi ya mkoa wamanyara yumo. Kumbukeni kuwa wananchi walipoona mahakama haiwatendei haki kwenye maeneo yao waliamua kuchukua sheria mkonononi kwa kuchoma mashamba ya wawekezaji. hawa ndio wakuu wetu wamikoa. Tafakari chukua hatua
 
DSC_0070.jpg


Ukiona mtu anatumbo kubwa Jua kabisa Kichwani hakuna kitu
 
Anaitwa Henry Dafa Shekifu! Jamaa huyu anapenda bia na kula jamani nilishawahi kukutana naye kwenye hafla fulani na ameoa Bukoba! kwakumjua tu kwamba ni fisadi na anaungwa mkono sana na JK kuna wakati alitaka kuzipiga kavu kavu na mbunge wa Simanjiro ndugu Ole Sendeka na wanatoka chama moja. 2015 Manyara ni ya kwetu apende asipende!
 
Anaitwa Henry Dafa Shekifu! Jamaa huyu anapenda bia na kula jamani nilishawahi kukutana naye kwenye hafla fulani na ameoa Bukoba! kwakumjua tu kwamba ni fisadi na anaungwa mkono sana na JK kuna wakati alitaka kuzipiga kavu kavu na mbunge wa Simanjiro ndugu Ole Sendeka na wanatoka chama moja. 2015 Manyara ni ya kwetu apende asipende!

Na katika sakata lake na Ole Sendeka alimwambia kwa kejeli "mimi nimeshakuwa Mbunge kwa miaka mingi usinitishe nitakuweka ndani sasa hivi" Anajitapa keshakuwa Mbunge miaka mingi ameridhika na u RC kumbe alikuwa ana umezea mate Ubunge. Kusema hovyo ameanza zamani sana kumbe, ni mtu wa ajabu kusifia mauaji kwa kejeli bila aibu! Kuna haja ya kuwapima akili wabunge wetu kwa matamshi ya ajabu kama haya
 
Mara nyingi walemavu wa akili hunenepa sana. Na hii kisanyansi ni kutokana na mfumo mzima wa ubongo wao. Hii ina maana kwamba, walemavu wa akili hufikiri kidogo sana ukilinganisha na binadamu wasio na ulemavu.
Kila mara nikimwona huyu jamaa huwa nina wasiwasi na unene wake.
 
Kama ndiye huyo pichani hakuna haja ya kuendelea kumjadili, huyo atakuwa ni mchumia tumbo tu, hakuna cha ziada
 
Na huyo january ni kafisadi fulani hivi kanakochipukia..maana huwezi kuwa na mafisadi muda wote halafu usiwe kafisadi.
 
Jaman mtu kama yule ni wa kumuombea kwan inaonesha si mzima mentally, alaf ana din kweli? Hapana ni mpagan tuuuuuuuuuu
 
Back
Top Bottom