Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mh. Tenda inabidi ujikaze, ur a Man. Angalia Zambia, mwenyekiti wa tume ya Uchaguzi Zambia ni mwanamama na jasiri, anaye simamia kweli Bi Irene Mbililima
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Kufuatia Cdm kuwapeleka puta CCM na CUF huko Igunga, na baada ya CCM kupeleka timu ya kampeni yenye watu wasio na mvuto kabisa mbele ya wapiga kura wa igunga, nadhan Edward LOWASA angekuwa ni...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Chama cha mapinduzi CCM kimedhihirishia umma wa watanzania kwamba wanatumia BUNDUKI MABOMU ktk kutawala na kuongoza nchi. Makada wakuu wafuatao wamewai kutumia vibaya bunduki na mabomu yao-...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Speaking of Zambia Election Results........... Nape was quoted as saying the election outcome was nothing new and could therefore not be of comparison to what the ruling party here in Tanzania...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na kiongozi wa Serikali ya Mpito ya Libya, Mustafa Abdel-Jalil , jijini New York, Marekani, ambako wote wanahudhuria mkutano wa 66 wa Umoja wa Mataifa. Wiki...
0 Reactions
34 Replies
3K Views
Taarifa ya habari ya ITV saa mbili imeonyesha tamko Rasmi la Bakwata kuwataka waislam wa Igunga wasimpigie kura mgombea wa chadema.Nimepata mshtuko mkubwa na kuona taifa letu sasa linaangamia.Hivi...
13 Reactions
200 Replies
18K Views
Kuna mtu jana au juzi alidokeza kwamba wakuu wengi wa wilaya na mikoa ni watu waliotoka JWTZ. Ila sijasikia wala kumuona mkuu wa mkoa au wilaya ambaye kitaaluma ni askari Polisi au Magereza, why...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
France's Burqa Ban: Two Women Fined for Covering Faces - SPIEGEL ONLINE - News - International
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Chama cha mapinduzi CCM kimelipotiwa kuwa na wafuasi wengi wenye kuishi maisha ya bunduki na mabomu.wafuatao wamewai kutumia na kumiliki vibaya silaa nzito nzito zenye kuatarisha usalama wa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Mwandishi Kulwa Karedia wa gazeti la Mtanzania leo jumapili amemuelezea Katibu mkuu wa ccm Wilson Mukama kama mtu aliyepoteza sifa za kuwa kiongozi wa CCM. Mukama ameshutumiwa kwa kutunga uongo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Rais Jakaya Kikwete ( mwenye miwani) ,kushoto ni Askofu wa Jimbo Katoliki Morogoro Mhashamu Telesphory Mkude. Kushoto kwa Rais ni Sista Mkuu Parokia ya Lugoba akifuatiwa na Mfanyabiashara...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Ni katika mkutano wa kampeni Mjini Igunga. Binafsi nimefurahishwa na awareness waliyonayo wana-Igunga. They are well informed. Na pia nawapongeza CDM kwa kuweza kuwaeleza kile kinachotea kwa kina...
2 Reactions
22 Replies
3K Views
Waswahili wanasema: halahala kidole na jicho! Nami natumia msemo huo kwa CCM na Jeshi la Polisi. Haiwezekani Polisi washindwe kuchukua hatua dhidi ya hayo; nimeona kwenye taarifa kwenye TV na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nakumbuka viongozi wa NCCR, walisema hawatasimamisha mgombea Igunga,ila watamuunga mkono,mpinzani anayeonekana ana nguvu. Sasa tumeingia wiki ya mwisho,, Je NCCR,inamuunga mgombea gani Igunga?
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Jana nilisikitishwa na kauli ya Naibu katibu mkuu wa Wizara ya nishati na madini alipokuwa akihojiwa na waandishi wa habari ktk kongamano la wadau wa Umeme. Mwandishi alimuuliza hivi: Mh...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Kiu ya moyo wangu nikufika tu igunga nikaone makamanda wa cdm wakipambana na magamba a.k. Ma **** nibaki tu a town kwetu atakaye idis hii kitu ni **** wa magamba namwaka huu kitaeleweka tu...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kuanzia kampeni za lgunga zianze sijaona Tv wala Sijasikia redio ikiripoti kiufasaha juu ya mikutano ya kampeni ya Chadema lgunga. Tatizo ni nini? Je Tv na redio nyingine zimesha lamba pilau...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Wakuu, M/kiti wa Chadema Taifa, Freeman Aikaeli Mbowe amesema, Chama chake hakitamuogopa kiongozi ye yote atakayekiuka taratibu za Chama, na amepongeza mahakama ya Arusha kwa uamuzi wake dhidi ya...
5 Reactions
50 Replies
5K Views
Nilikuwa naangalia taarifa ya habari leo asubuhi kupitia kituo cha TBC,kuhusiana na mkutano wa waandishi wa habari na viongozi wa BAKWATA huko Igunga. Nilichoshuhudia ni sintofahamu baina ya...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Nimemuona mgombea wa cuf ndugu Leopald Mahona akifanya kampen za nyumba kwa nyumba,mtaa kwa mtaa akiona watu wawili au watatu wamesimama anaomba kura. Je hii inaashiria nini? Maji yamemfika...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Back
Top Bottom