Lowassa yu wapi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Lowassa yu wapi?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by KAUMZA, Sep 25, 2011.

 1. K

  KAUMZA JF-Expert Member

  #1
  Sep 25, 2011
  Joined: Aug 31, 2010
  Messages: 685
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Kufuatia Cdm kuwapeleka puta CCM na CUF huko Igunga, na baada ya CCM kupeleka timu ya kampeni yenye watu wasio na mvuto kabisa mbele ya wapiga kura wa igunga, nadhan Edward LOWASA angekuwa ni chaguo bora kuwa mratibu wa kampen za igunga. Lakin kwa upepo unavyovuma huko igunga, sifahamu nani atashinda ila nina uhakika kuwa CCM haitavunja rekodi ya oktoba 2011 ya kura 35,000. Na kama CCM ikishinda basi itashinda kwa aibu(ushindi hafifu) kitu ambacho ni sawa na ushindi kwa upinzani. Kwa sasa, CCM wanapumulia mashine si igunga tu, bali nchi nzima. LOWASA angeweza kushawishi wale wana igunga waliochukizwa na R.A kuachia ngazi kurudi kundini.
   
 2. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #2
  Sep 25, 2011
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Hizo kura za kujiamulia tu eti 'mara hii tujipe ngapi ili wapinzani wasije wakapiga kelele sana' safari hii watazisikia tu redioni. Hakuna msafi yeyote wa kuweza kukiokoa CCM labda Banduka.
   
 3. M

  Mbopo JF-Expert Member

  #3
  Sep 25, 2011
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 2,532
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Unaishi dunia gani? Waliochukizwa na kujitoa kwa Rostam ni wale kupe waliokuwa wanaishi kwa kumdanganya na ndiyo walikodiwa ili wazimie. Lowassa hana mvuto hata kwenye kata za jimbo lake. Hata hivyo mwenzenu sasa yuko bize kutekeleza masharti aliyopewa na tapeli wa Nigeria.
   
 4. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #4
  Sep 25, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,402
  Likes Received: 738
  Trophy Points: 280
  Waziri mkuu 'mstaafu' kaishiwa mvuto kwa 100%.
  Hawezi shinda hata ujumbe wa serikali ya mtaa...
   
 5. M

  Mbopo JF-Expert Member

  #5
  Sep 25, 2011
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 2,532
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Nadhani hata familia imemchoka lakini hawana jinsi.
   
 6. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #6
  Sep 25, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,971
  Likes Received: 2,967
  Trophy Points: 280
  Yupo Nigeria.
   
 7. HAZOLE

  HAZOLE JF-Expert Member

  #7
  Sep 25, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 1,333
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  lowasa the legend. pengo lake halitazibika
   
 8. Sniper

  Sniper JF-Expert Member

  #8
  Sep 25, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,944
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  atakuwa Nigeria anaombewa
   
 9. Kijuche

  Kijuche JF-Expert Member

  #9
  Sep 25, 2011
  Joined: Aug 26, 2010
  Messages: 419
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Hapo kwenye red naona maluweluwe mkuu.
   
 10. Kwetu Iringa

  Kwetu Iringa JF-Expert Member

  #10
  Sep 25, 2011
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 359
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0

  actually, ccm is a de facto an opposition party at the moment!!
   
Loading...