I Cant Imangine DC Igunga angekuwa Hapa.....

Filipo

JF-Expert Member
Jan 6, 2011
9,335
5,509
Hata huyo dc sio muislam kwakuwa alishauacha na kuhamia ukristo baada ya kupata mafundisho na kufunga ndoa kanisani.
Hata siku ya kukamatwa kwake na cdm alikuwa na ushungi kichwani wala hakuwa amevaa hijab bali sketi fupi.
Zinazoendelea hapa ni propaganda za chama kilichopoteza haiba na mvuto kwa wana wa nchi kupitia baadhi ya viongozi wa dini ili wapate wafuasi.
Ni upuuzi tu!?
 

Jile79

JF-Expert Member
May 28, 2009
17,685
13,198
heeee...huyu CD wa Igunga kawa dhahabu tena....jamani mwacheni alikuwa anatekeleza u=-CD wake he...
 

NewDawnTz

JF-Expert Member
Nov 15, 2010
1,668
362
heeee...huyu CD wa Igunga kawa dhahabu tena....jamani mwacheni alikuwa anatekeleza u=-CD wake he...

heee. . Mkuu ni Dc au Cd? Mmmh!

cd hapa kwetu ina maana CHANGU DOA/KAHABA. So that mumy we think alikuwa....!?


OMG......yaani nikisikia haya maneno namwonea huruma sana mumewe mzee wa kanisa wa watu....lol, maana haya maneno yanawatoka tu vijana hapa na mzee sijui anasimamaje kule kanisani kusoma matangazo na kushauri wake za kondoo anaowasimamia.....lol!!!
 

Filipo

JF-Expert Member
Jan 6, 2011
9,335
5,509
OMG......yaani nikisikia haya maneno namwonea huruma sana mumewe mzee wa kanisa wa watu....lol, maana haya maneno yanawatoka tu vijana hapa na mzee sijui anasimamaje kule kanisani kusoma matangazo na kushauri wake za kondoo anaowasimamia.....lol!!!Sidhani kama anamuda wa kuchungulia jf maana akitoka kanisani anaenda kuangalia mifugo yake huko mbezi! Ni mfugaji mzuri wa kitimoto!?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom