Yanayojiri Igunga; Halahala CCM, halahala Polisi!

Ibrah

JF-Expert Member
Mar 22, 2007
2,729
528
Waswahili wanasema: halahala kidole na jicho! Nami natumia msemo huo kwa CCM na Jeshi la Polisi. Haiwezekani Polisi washindwe kuchukua hatua dhidi ya hayo; nimeona kwenye taarifa kwenye TV na magazeti juu ya yanayotokea Igunga. Ni kesi moja tu imepelekwa Mahakamani pale viongozi wa CDM walipotuhumia kumdhalilisha DC.

Matukio mengine yanayowahusha CCM, Polisi wako kimya hadi wapokee amri toka juu; CCM kumpiga kiongozi wa CUF, Polisi kimya, Rage na silaha, kimya. CCM na Polisi mtawajibika.

Raia tunaona, tutawahukum
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom