Donyongijape
JF-Expert Member
- May 28, 2010
- 1,497
- 811
Ni katika mkutano wa kampeni Mjini Igunga. Binafsi nimefurahishwa na awareness waliyonayo wana-Igunga. They are well informed. Na pia nawapongeza CDM kwa kuweza kuwaeleza kile kinachotea kwa kina katika kampeni zao. CCM hata kama wakitumia vyombo vya habari chakachuuzi kusema wametekwa ni kazi bure..maana wanadanganya watu wa mbali kabisa.. ila walioko huko wako well informed. Kwa kweli wameamka na hawadanganyiki.
Cheki hapa: RCO anaendeshwa na CCM - YouTube
Cheki hapa: RCO anaendeshwa na CCM - YouTube