Sat, Sep 24th, 2011Sat, Sep 24th, 2011 | Tanzania Sat, Sep 24th, 2011
Dr Peter Kafumu
CHADEMA has called for the Igunga returning officer to disqualify the CCM...
Wana jamii.
Nimesoma katika economic forum na kuona BP imeamua kuuza hisa zake zote ilizokuwa inamiliki katika BP Tanzania kwa mwekezaji mwingine na hivyo kujitoa rasmi katika umiliki wa kampuni...
Salama Wakuu,
Kwa muda mrefu nimekuwa nikifuatilia kwa karibu coments zinazotolewa humu ndani hasa hasa coments za Malaria Sugu, Rtz, Mwita25 na Rejeo. Nimegundua kwamba wote hawa coments zao...
Akiongea na waandishi wa Habari mjini igunga meneja kampeni za chama cha mapinduzi Mwigulu nchemba amesema tunahofia kura za mgombea wa Cuf Leopold Mahona alizopata mwaka jana katika uchaguzi...
Tanzania's President Dr Jakaya Mrisho Kikwete addresses the 66th United Nations General Assembly in New York September 22, 2011
Statement Summary:
JAKAYA MRISHO KIKWETE, President of United...
DC Igunga amefichua udhaifu wa CHADEMA?
Godfrey Dilunga, Raia Mwema, 21 Sep 2011 Toleo na 204.
JE, kitendo cha Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kutokemea udhalilishaji dhidi ya...
Ni ukweli usiopingika kuwa tangu 1961 hadi sasa Tanganyika imepiga hatua kubwa kiuchumi hasa ukizingatia kuwa nchi hii imetawaliwa na wakulima na watu wengi wasiokuwa na kazi wala ajira za kulipwa...
Leo nilipokuwa napitia blog ya Issamichuzi nilikutana na habari za Mkuu wetu wa nchi kuwa mgeni rasmi kula Marekani kwenye ufunguzi wa mkutano mkuu wa tatu wa chama cha watanzania waishio huko kwa...
Kwa hali yoyote ile matukio ya Igunga yanayotokana na kampeni za uchaguzi ni mapambano halali dhidi ya ufisadi uliokithiri chini ya mfumo wa serikali ya chama tawala CCM.
Jimbo la Igunga...
Chama cha Maendeleo na Demokrasia kinakua kwa kasi nzuri sana. sera zake na viongozi wake na wabunge wengi wanakubalika kwa Jamii ya tanzania ya leo.
Kuna angalizo muhimu sana linahitajika...
Vazi la Hijab linalovaliwa na wanawake wa Kiislamu na maelezo ya upambanuzi wa vazi hilo
Mvao wa DC Kimario anaodai ni hijab ya vazi la kike la kiislamu
Picha kwa hisani ya Mjengwa blog
TUMEFIKA pabaya naaapa! Mbona haya mambo hatukuwahi kuyashuhudia huko nyuma? Lazima iwepo namna.
Ukiwa mlokole hukawii kusema siku za kiyama zimefika na haya ndiyo yaliyonenwa kwenye maandiko...
FATUMA KIMARIO SIO MUISLAMU- WAISLAMU TUNATUMIKA IGUNGA.
Naomba leo niandike jambo ambalo linawezekana kabisa kwa wengine wakaniona ama nimekuwa na msimamo tofauti kuhusu dini yangu tukufu ama...
Maadili ni kama kingo za mto na binadamu ni kama mto, unaweza kufikiri madhara ya mto unapofurika na kingo zake kuharibika, au uhai wa mto pasipo kingo, nidhahiri kabisa hautokuwa na mwelekeo...
Tunaadhimisha miaka 10 ya uhuru 9 Des., 2011. Sherehe hizi ni hadi Zanzibar?
Jana kuna mwenzangu alisoma kwenye chupa ya bia ya Kili akauliza ' mbona hapajaandikwa ni uhuru wa nchi gani?'...
Habari za ndani za na za kiintelijensia nilizozipata zinasema, Chama Cha Mapinduzi (CCM), kinampango wa kubadili jina hilo, ili kukiletea mvuto wake wa asili kwa wananchi.
Habari hizo zinazidi...
Mwenyeki wa Chadema Taifa Mh. Freeman Mbowe akijibu tuhuma za Katibu mkuu wa CCM Mukama kuwa chama chake kimeingiza makomandoo 33 kutoka nje, ameshangaa na kueleza kuwa kauli za katibu mkuu huyo...
CHADEMA IRINGA YACHANGISHA FEDHA KUMKOMBOA KADA WAKE ALIYEHUKUMIWA KWA KUCHANA PICHA ZA CCM
Mbunge wa viti maalum mkoa wa Iringa Chiku Abwao (chadema)akionyesha fedha zaidi ya Tsh...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.