Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Chadema kimesema kuwa hakiko tayari kujibizana na wanazuoni wa kiislamu bali kinasubiri uamuzi wa mahakama utakaoamua iwapo Mkuu wa Wilaya ya Igunga, Bi. Fatma Kimario alivuliwa hijabu kwa...
14 Reactions
198 Replies
19K Views
Dar es Salaam. The win by the Opposition in Zambia's General Election on Thursday has been described as carrying vital lessons that Tanzanian authorities could learn from to enhance democracy and...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Tafakari fupi kuhusu wajibu wa kiongozi na wajibu wa raia katika taifa. Taifa ni umoja pasipo umoja hakuna taifa, kwa kiongozi yeyote yule makini na mwenye nia ya dhati kwa nchi yake...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Hello everybody, 'The Tanzania We Want' iko Jimboni Igunga kwa ajili ya mdahalo na wagombea ubunge wa CCM, CUF na CHADEMA, mdahlo huu hautakuwa live, utakuwa recorded na baadaye kurushwa na Star...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Nipo Arusha hivi sasa kikazi lakini kwakuwa Jiji hili ni ngome ya makamanda wa CHADEMA sikusita kufanya kautafiti kangu kadogo na huu ndio UWELI. Kwa mujibu wa Bwana Bayo ambaye alikuwa Diwani...
0 Reactions
89 Replies
7K Views
Mkutano wa Bakwata wavunjika! "Katika hatua nyingine 'Vazi la hijab' jana lilivunja Mkutano wa Bakwata na waandishi wa habari baada ya baadhi ya viongozi wa Baraza hilo Kuu la Waislamu...
0 Reactions
6 Replies
8K Views
Ushindi wa CHADEMA kuingia ikulu 2015 umeonyeshwa leo huko Zambia kwani hadi hivi sasa matokeo ya uchaguzi uliofanyika leo huko zambia wa urais unaonysha kuwa chama tawala cha MMD(Movement...
4 Reactions
77 Replies
8K Views
chadematv's Channel - YouTube FUATA HIYO LINK HAPO
0 Reactions
19 Replies
4K Views
wAKUU KITUO CHA VOICE OF AMERICA KINARUSHA LIVE KIPINDI CHA STAIGHT TALK AFRICA LEO WAKIZUNGUMZIA MIAKA HAMSINI YA UHURU WA TANZANIA MNAWEZA TUPIA JICHO HUKO HATA STAR TV WANAONYESHA PIA
0 Reactions
39 Replies
4K Views
Salamu Wanajamvi! katika zile semina elekezi za Rais Jakaya Kikwete tangu mwaka 2006, William Ngeleja, Adam Malima na David Jairo hawakuwepo? Kama walikuwepo, mteule wao JK anauchukuliaje utendaji...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Hii ni kauli mbiu inayotumiwa na wanachama na wapenzi wa chama hicho katika uchaguzi mdogo wa igunga, ni kauli inayoonesha kutumia ubabe, na je? inawezekana aje kuwapo Mashine inayosaga na...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Nawapongeza sana Wazambia kwa kutokuogopa kufanya mageuzi kwa kuchagua Rais toka upinzani Mh Michael Sata! Mimi naona hawa jirani zetu kuwa na uelewa mkubwa kwa kuwa si mara ya kwanza kuchagua...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wamejisahau sana hawa... Bado wanaishi katika ulimwengu wa chama kushika hatamu...wanalewa divai ya ukada mpaka kwenye nyumba za ibada!.. Wanasahau kuwa ulevi nooma!! Haya tuliyajua muda mrefu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hayawi hayawi sasa yamekuwa! AU, S.Africa recognise Libya's NTC ReutersBy Ed Cropley | Reuters JOHANNESBURG (Reuters) - The African Union (AU) recognised the National Transitional Council (NTC)...
0 Reactions
60 Replies
5K Views
MAANDAMANO YA KUMSIKIKIZA KASHINDYE KWENYE GARI LAKE WAKIWEMO KAMANDA SUSAN KIWANGA NA KAMANDA KASAMBALYA. HAWA NI WANAKIJIJI WENYEWE NA SIYO WAKULETWA NA MALORI KUTOKA MBALI.
3 Reactions
48 Replies
9K Views
Ni juma la pili sasa Mbunge wa viti Maalum kutoka Mbeya Dr.Mary Mwanjelwa akijaribu kutafuta "Media Attention"toka kwenye Runinga,Magazeti na sasa kwenye blogs juu ya michango anayotoa kwa jamii...
2 Reactions
64 Replies
7K Views
Akizungumza na vyombo vya habari leo mjini Igunga,katibu mkuu wa ccm Mukama,amejidhalilisha yeye na serikali yake,kwa kusema et chadema wameingiza makomandoo 30 waliofanyiwa mafunzo ya kikomandoo...
12 Reactions
136 Replies
11K Views
Mbunge wa Ludewa Deo Filikunjombe (mwenye furana ya njano kati ) akiwa na viongozi wa wadau mbali mbali wa Ludewa baada ya kumaliza hafla fupi ya kusaini mkataba huo. Nakumbuka mwaka huu...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
CHADEMA nayo imeionya CCM kuacha kupandikiza mbegu za udini kwa kuwatumia waumini wa dini ya Kiislamu katika kampeni za jimbo la Igunga. Onyo hilo lilitolewa na Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA...
5 Reactions
33 Replies
4K Views
Kama tunavyofahamu serikali ya Tanzania kupitia Waziri wake wa Mambo ya Nje, Bernard Membe haiutambui utawala wa sasa unaotawala Libya Nationa Transitional Council (NTC) kwa hivyo bado inautambua...
0 Reactions
0 Replies
911 Views
Back
Top Bottom