Ccm inamiliki bunduki na mabomu

Dec

Member
Jul 13, 2011
66
26
Chama cha mapinduzi CCM kimelipotiwa kuwa na wafuasi wengi wenye kuishi maisha ya bunduki na mabomu.wafuatao wamewai kutumia na kumiliki vibaya silaa nzito nzito zenye kuatarisha usalama wa wananchi-DITOPILE MZUZU, ADEN RAGE, ESTER BULAYA, AESHI HILAL, MWIGULU NCHEMBA wote ni vigogo wakuu NEC TAIFA.

Tunawashangaa sana kusikia wao ndio wakwanza kusifu kwamba Tanzania kuna amani wakati wao na wenzao wanaishi maisha ya BUNDUKI MABOMU NA VIFARU. Tunaendelea kufanya uchunguzi kubaini vigogo wengine wanao tisha wananchi kwa bunduki na mabomu yao.
 
Cha ajabu Polisi hawaoni hayo wanaona wanachadema ndiyo waleta fujo.
 
Wanazikodisha kwa majambazi.wanatishia raia wema,wanajifanya nchi ni yao pekee
 
polisi wa ngazi za juu wameifanya ccm mama yao mzazi.ngoja tuiondoe ccm madarakani tuone watajikomba wapi tena.
 
Haiingii akilini CCM kudai nchi hii ina amani wakati wao wanatembea na silaha viunoni mchana na usiku. Wasidanye amani hakuna nchi yenye amani utabeba silaha ya nini?
 
Nishawambia na narudia tena sheria TZ zimewekwa kuwakandamiza wanyonge na wenye nacho wapo juu ya sheria ila hili lina mwisho wake na mwisho wake wataumbuka
 
Haiingii akilini CCM kudai nchi hii ina amani wakati wao wanatembea na silaha viunoni mchana na usiku. Wasidanye amani hakuna nchi yenye amani utabeba silaha ya nini?

Wameshalewa hao bila kunywa, CDM go on CDM never give up. Peopleeeeeeeeeeeeeees! Poweeeeeeeeeeeeeeeee!
 
Cha ajabu Polisi hawaoni hayo wanaona wanachadema ndiyo waleta fujo.

Na huo ni ukweli, ndo maana Polisi wanatafuta namna ya kuwasafisha, kama suala la hizo silaha lingewahusu CDM tungesikia wamekamatwa na dhamana kunyimwa hadi watakapopelekwa Mahakamani.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom