Kauli Reja-Reja za Nape Nnauye | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kauli Reja-Reja za Nape Nnauye

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ng'wanangwa, Sep 25, 2011.

 1. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #1
  Sep 25, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 9,778
  Likes Received: 529
  Trophy Points: 280
  Speaking of Zambia Election Results...........

  Nape was quoted as saying the election outcome was nothing new and could therefore not be of comparison to what the ruling party here in Tanzania was doing.

  "History shows that PF(Patriotic Front) is the third party to rule Zambia since its independence, so there is nothing new...as CCM we are always aware of what is happening and we are strong"

  Source: The Citizen on Saturday, 24th September 2011.
   
 2. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #2
  Sep 25, 2011
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 19,456
  Likes Received: 277
  Trophy Points: 180
  hajui hata anajibu nini
   
 3. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #3
  Sep 25, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,637
  Likes Received: 204
  Trophy Points: 160
  mwenzao banda kashasoma alama za nyakati sasa hivi mambo swafi sasa huyo jamaa yetu wa pale magogoni..
   
 4. Kabakabana

  Kabakabana JF-Expert Member

  #4
  Sep 25, 2011
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 5,560
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  vuvuzela halijui kuongea zaidi ya kelele
   
 5. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #5
  Sep 25, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,882
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
  U r saluted by me mkuu! Invaluable observation
   
 6. m

  mtanzania1989 JF-Expert Member

  #6
  Sep 25, 2011
  Joined: May 20, 2010
  Messages: 1,637
  Likes Received: 1,055
  Trophy Points: 280
  Banda alikuwa hajaiba kama hawa mafisadi wa Tz ... ,
  Sasa hawa wa Tz watakubali vipi wakati wanajua wakitoka tu magendo yao yote hadharani!
   
 7. Memo

  Memo JF-Expert Member

  #7
  Sep 25, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 2,148
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Rejao na mwita25 wapi wapi wakamweleze boss wao kwamba amechemka, wampe hii simbi hapa chini!!!

  PF was born out of the partial disintegration of the MMD in 2001.
  PF was formed a few weeks before the parliamentary and presidential elections in late 2001 with Michael Chilufya Sata
   
 8. N

  Ngonini JF-Expert Member

  #8
  Sep 25, 2011
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 2,024
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Sasa watafanyaje mkuu maana ndo wamefikia mwisho wa njia?
   
 9. m

  mtanzania1989 JF-Expert Member

  #9
  Sep 25, 2011
  Joined: May 20, 2010
  Messages: 1,637
  Likes Received: 1,055
  Trophy Points: 280
  Ndo wameanza vitisho kufanya mambo ya ajabu
  Kutishia watu hadharani na silaha za moto , kufanya uhalifu wa kitoto ili kupata huruma ya wananchi
  ie ( kujimwagia wenyewe tindikali , kuchoma wenyewe banda la kuku etc)
   
 10. m

  mtanzania1989 JF-Expert Member

  #10
  Sep 25, 2011
  Joined: May 20, 2010
  Messages: 1,637
  Likes Received: 1,055
  Trophy Points: 280
  Hawa watu wamefika hatua mbaya sana
  sitashangaa UWT ukatengeneza tukio hata la kubakwa kwa firstlady , then mpira ukatupiwa CDM !
  Kweli ujinga ndo janga kubwa la binadamu
   
 11. twahil

  twahil JF-Expert Member

  #11
  Sep 25, 2011
  Joined: May 31, 2011
  Messages: 3,222
  Likes Received: 1,608
  Trophy Points: 280
  Nape i do salute you.YOU PROVIDED A GOOD ANALYSIS.UMEKUWA TISHIO KWA CDM SI MCHEZO.NAKUMBUKA SIKU WALIPOTAKA KUKUFANYA MTAJI WAO WALIPOKUVALISHA YALE MASARE YAO YENYE RANGI NYEKUNDU.ENDELEA KUWATIMULIA VUMBI NA 2015 KAMA KAWA.
   
 12. Mumwi

  Mumwi JF-Expert Member

  #12
  Sep 25, 2011
  Joined: Jan 9, 2011
  Messages: 593
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kama kajimbo kaigunga tu ccm roho juu na wabunge wake kutumia bastola je 2015 itakuwaje?
  Itabidi wabunge wote Wa ccm watapewa kila mmoja bastola.
   
 13. P

  Pax JF-Expert Member

  #13
  Sep 25, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 269
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hana lolote huyu kichwani, mweupe peee! Janga la kitaifa kuwa na mtu kama huyu kwenye chama tawala. Hatutakaa tuendelee kwa kuwa na watu kama hawa. Lengo ni moja tu kuwaondoa, hima vijana tukaze mwendo na mapambano.
   
 14. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #14
  Sep 25, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,237
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Nawapenda sana memberz wa JF, huwa wanapigia kelele huku, uchaguzi ukifika wote wanalala majumbani kwao or wanaenda kukipa kura chama chetu tawala.
  Endeleeni na moyo huo huo!
   
 15. mashikolomageni

  mashikolomageni JF-Expert Member

  #15
  Sep 25, 2011
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 1,564
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Nepi huyo hana ajualo
   
 16. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #16
  Sep 25, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 9,778
  Likes Received: 529
  Trophy Points: 280
  ni kweli kabisa, vijana wa Tanzania, ambao wengi wao hawana uhakika na mustakabali wao, iwe walio shule au mashambani; wakati ni huu. tuungane.

  We can do the unthikable. Sooner than later.
   
 17. m

  mtanzania1989 JF-Expert Member

  #17
  Sep 25, 2011
  Joined: May 20, 2010
  Messages: 1,637
  Likes Received: 1,055
  Trophy Points: 280
  Hivi kuhusu Lowasa na Chenge amefikia wapi ? Septemba si ndo inaisha hii ?
  Au ndo wanasubiri waone kitakachotokea Igunga ndo waamue ?
  Kweli hii ndo CCM , kila wanachoongea ujue kuna uchakachuaji unaofuata
   
 18. Felixonfellix

  Felixonfellix JF-Expert Member

  #18
  Sep 25, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 1,681
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Ana matatizo ya kisaikolojia kwa sasa   
Loading...