Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nimeipitia hutuba ya Rais wa Zambia aliyebwagwa katika uchaguzi uliopita nikagundua kuwa wapo baadhi ya viongozi wa Afrika wenye upeo na uzalendo wa hali ya juu kwa nchi zao tofauti na...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
jamani Tanzania ilipata uhuru mwaka 1961,wananchi tunaheshimiana na kupendana na hasa wananchi tunaupendo mkubwa na jeshi letu la wananchi,hiki wanachokifanya waporaji wachache wanataka kuondoa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
1. Nimepata simu kutoka kwa makamanda walioko uwanja wa mapambano, Igunga kuwa mnamo saa mbili na nusu usiku huu, Vigogo kadhaa wa CCM walikuwa wanagawa sare na fweza kwa wanawake waliokusanywa...
0 Reactions
31 Replies
5K Views
Eti Simba Akizeeka anaongeza mbinu za kuwinda? Hapana,Nadhani anaongeza mbinu za kuiba mizoga iliyokwisha uliwa na wenzake,Uzee umeumbwa,Samahani Situkani Wazee,Tatizo huwezi kupeleka vitani...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Tulitegemea kuwa kampeni za Igunga zingetawaliwa na sera za vyama husika ili wananchi maskini wa nchii waweze kutambua ni mgombea yupi anafaa ili aweze kuwahudumia wanachi wa Igunga, badala yake...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Waziri Nchimbi akimbia na sanduku la kura Songea Madiwani warushiana makonde VURUGU kubwa zimezuka jana mjini hapa baada ya baadhi ya madiwani kurushiana makonde na kumlazimu Waziri wa...
0 Reactions
81 Replies
10K Views
Sun, Sep 25th, 2011 Sun, Sep 25th, 2011| Tanzania Inspector General of Police (IGP), Saidi Mwema Tarime traditional elders have thanked the police force for involving them in ending clan...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Sun, Sep 25th, 2011Sun, Sep 25th, 20 Sun, Sep 25th, 2011 Chairman of DP Rev Christopher Mtikila The Democratic Party ( DP) will launch its campaign for Igunga parliamentary seat on...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
*Ni baada ya kulalamikiwa kufanya kazi kwa upendeleo *Walinzi CCM wadaiwa kumtwanga mwandishi wa habari *Habari zake zatajwa kumdhalilisha kigogo wa chama *Aliyepigwa CUF atoka hospitali...
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Kitendo cha huyu mama kuitwa msilamu wakati mkristo kwa kweli ni cha kujiaibisha na hivyo anaitajika kupakwa mafuta ya roho mtakatifu ili aendelee kuishi na mumewe vinginevyo aitajiki kuendelea...
3 Reactions
22 Replies
3K Views
FRIDAY, SEPTEMBER 23, 2011 NAPE AKIWA MWANZA AFUNGUKA KUHUSU CCM. Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye amesema kwamba licha ya madai kuwa chama hicho kimepoteza...
0 Reactions
33 Replies
5K Views
Nimekua nikifuatilia kwa karibu uchaguzi wa Jirani zangu na Wakwe zangu hapo Zambia, hatimae Upinzani wamechukua nchi na hio ndio ishara Nzuri kwamba sasa wanaaminiwa na harakati za Kuapishana...
5 Reactions
97 Replies
9K Views
Baada ya Jumamosi ya 24.9.2011 kuripoti kuhusu Emmanuel Nchimbi kukimbia na sanduku la kura, baada ya mzozo wa kuchakachua kura za umeya, leo amawaita waandishi wa habari na kukanusha kuwa yeye...
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Kwa muda mrefu tumekuwa tukiambiwa kuwa shirika la utangazaji la taifa (TBC) linabadilisha mfumo wa Matangazo kutoka Analog kwenda Digitali, Hapohapo inasemekana wanaohusika kubadili mfumo huo ni...
0 Reactions
29 Replies
4K Views
Mjadala wa muungano ni mkali kweli,wazanzibar wanasema muungano huu ni haramu kwa sababu mikataba haionekani na wala serikali ya Zanzibar haina mikataba zaidi ya picha ya kuchanganya udongo kati...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Wakuu...angelikuwa ni kamanda Lema amefanya aliyoyafanya Rage..... 1) angekuwa yupo segerea saa hizi 2) Shimbo wa jwtz angekuwa ametoa tamko, huku vifaru vichakavu vya jwtz vikitoa moshi kwa...
14 Reactions
98 Replies
8K Views
wadau tunakaribia uchaguz wa madiwani Arusha Kwa navowajua mimi Watu wa Archuga aka Arusha mh Je Tambwe na mapigano yatahapen?↲ Nawasilisha
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wakati uchaguzi mdogo wa Jimbo la Igunga unakaribia vyama vya CUF na CCM vilitutangazia kwamba vitatumia helkopta kwenye uchaguzi huo. Na hii ndiyo ingekuwa kwa mara ya kwanza kwa CUF kutumia...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Na Maggid Mjengwa, KUNA kisa cha bwana mfuga kuku aliyeshangazwa kwa kuku wake mwenyewe aliowafuga kumkataa. Alishangaa iweje kuku aliokuwa akiwapa pumba na mtama, wakala wakashiba, kisha...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Rachel Balama na Anneth Kagenda CHAMA cha NCCR-Mageuzi kimesema vitendo vya vurugu vinavyokumba kampeni za uchaguzi mdogo Jimbo la Igunga ni matokeo ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kushindwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom