Mbowe: Tutamtimua kiongozi yeyote atakayekiuka taratibu za chama

Mikael Aweda

JF-Expert Member
Dec 17, 2010
2,973
3,901
Wakuu, M/kiti wa Chadema Taifa, Freeman Aikaeli Mbowe amesema, Chama chake hakitamuogopa kiongozi ye yote atakayekiuka taratibu za Chama, na amepongeza mahakama ya Arusha kwa uamuzi wake dhidi ya madiwani waliofukuzwa, Tz daima limeripoti Leo. Mbowe alisema Chadema haimwonei mtu lakini haiko tayari kuwa na viongozi wasiofuata taratibu, sheria na kanuni za Chama. Alisema hafurahii kutimuliwa kwa viongozi, lakini Chadema haina nafasi kwa viongozi wasiowatumikia watu. Wakati huo huo waziri wa Tamisemi Gorge Mkuchika alipoulizwa kuhusu maoni yake amesema, hana maoni kuhusu hukumu hiyo. My take.Kwa Mwendo na msimamo huu wa Mbowe na Dr Slaa Chadema inaweza kuingia ikulu ktk wakati usiotarajiwa.
 
waingie Ikulu ipi hao wazinzi! Ashukuriwe Mungu alie mkamata DC FATMA KIMARO hakuwa dokta slaa maanake asingevuliwa hijab peke yake! Padre slaa ni balaa kwa kuvunja Amri ya sita.hivi kichanga chake kinamiaka mingapi?
 
Mwisho wa ubaya ni aibu.Jiangalie upya binti.
 
Huo msimamo wa mbowe ndio unaowaogopesha sana magamba.
Mh.Mbowe endelea hivyo hivyo mungu anakulinda,na watanzania wenye mapenzi mema tupo nyuma yako.
 
waingie Ikulu ipi hao wazinzi! Ashukuriwe Mungu alie mkamata DC FATMA KIMARO hakuwa dokta slaa maanake asingevuliwa hijab peke yake! Padre slaa ni balaa kwa kuvunja Amri ya sita.hivi kichanga chake kinamiaka mingapi?

Usiye na dhambi ya Uzinzi!!!!
 
Huyu bwana anamzungumzia nani hapa, au kamshau jina Rijali Mwigullu Nchemba????????

waingie Ikulu ipi hao wazinzi! Ashukuriwe Mungu alie mkamata DC FATMA KIMARO hakuwa dokta slaa maanake asingevuliwa hijab peke yake! Padre slaa ni balaa kwa kuvunja Amri ya sita.hivi kichanga chake kinamiaka mingapi?
 
Wakuu, M/kiti wa Chadema Taifa, Freeman Aikaeli Mbowe amesema, Chama chake hakitamuogopa kiongozi ye yote atakayekiuka taratibu za Chama, na amepongeza mahakama ya Arusha kwa uamuzi wake dhidi ya madiwani waliofukuzwa, Tz daima limeripoti Leo. Mbowe alisema Chadema haimwonei mtu lakini haiko tayari kuwa na viongozi wasiofuata taratibu, sheria na kanuni za Chama. Alisema hafurahii kutimuliwa kwa viongozi, lakini Chadema haina nafasi kwa viongozi wasiowatumikia watu. Wakati huo huo waziri wa Tamisemi Gorge Mkuchika alipoulizwa kuhusu maoni yake amesema, hana maoni kuhusu hukumu hiyo. My take.Kwa Mwendo na msimamo huu wa Mbowe na Dr Slaa Chadema inaweza kuingia ikulu ktk wakati usiotarajiwa.
Mkuu Aweda chama cha CDM kinaonyesha kuwa ni makini saana!!!! wakiendelea na msimamo huo ikulu mwaka 2015 ni ya CHADEMA, Aluta Continua mapambano ni kusonga mbele!!!!!!!!!!!!!
 
Safi sana lazima tutofautiane sana na magamba kiitikadi,kimalengo,kimikakati,kimitazamo,kimisimamo na kwa mbinu.
Vilaza wa CCM lazima tuwapoteze.
 
Wakuu, M/kiti wa Chadema Taifa, Freeman Aikaeli Mbowe amesema, Chama chake hakitamuogopa kiongozi ye yote atakayekiuka taratibu za Chama, na amepongeza mahakama ya Arusha kwa uamuzi wake dhidi ya madiwani waliofukuzwa, Tz daima limeripoti Leo. Mbowe alisema Chadema haimwonei mtu lakini haiko tayari kuwa na viongozi wasiofuata taratibu, sheria na kanuni za Chama. Alisema hafurahii kutimuliwa kwa viongozi, lakini Chadema haina nafasi kwa viongozi wasiowatumikia watu. Wakati huo huo waziri wa Tamisemi Gorge Mkuchika alipoulizwa kuhusu maoni yake amesema, hana maoni kuhusu hukumu hiyo. My take.Kwa Mwendo na msimamo huu wa Mbowe na Dr Slaa Chadema inaweza kuingia ikulu ktk wakati usiotarajiwa.

vipi ikitokea wao ndo wamefanya madudu?
 
waingie Ikulu ipi hao wazinzi! Ashukuriwe Mungu alie mkamata DC FATMA KIMARO hakuwa dokta slaa maanake asingevuliwa hijab peke yake! Padre slaa ni balaa kwa kuvunja Amri ya sita.hivi kichanga chake kinamiaka mingapi?

" wewe akili zako zinakutosha peke yako, nakufahamu sana" huna jipya zaid!!
 
Uneisha sema kichanga alafu unauliza miaka yake !!Tangulini kichanga kikawa kina miaka au kiswahili sio lugha yako ya Taifa??, mama??
 
waingie Ikulu ipi hao wazinzi! Ashukuriwe Mungu alie mkamata DC FATMA KIMARO hakuwa dokta slaa maanake asingevuliwa hijab peke yake! Padre slaa ni balaa kwa kuvunja Amri ya sita.hivi kichanga chake kinamiaka mingapi?

ipo siku na wewe utabadilika, hata kama ni gamba tu
 
Wakuu, M/kiti wa Chadema Taifa, Freeman Aikaeli Mbowe amesema, Chama chake hakitamuogopa kiongozi ye yote atakayekiuka taratibu za Chama, na amepongeza mahakama ya Arusha kwa uamuzi wake dhidi ya madiwani waliofukuzwa, Tz daima limeripoti Leo. Mbowe alisema Chadema haimwonei mtu lakini haiko tayari kuwa na viongozi wasiofuata taratibu, sheria na kanuni za Chama. Alisema hafurahii kutimuliwa kwa viongozi, lakini Chadema haina nafasi kwa viongozi wasiowatumikia watu. Wakati huo huo waziri wa Tamisemi Gorge Mkuchika alipoulizwa kuhusu maoni yake amesema, hana maoni kuhusu hukumu hiyo. My take.Kwa Mwendo na msimamo huu wa Mbowe na Dr Slaa Chadema inaweza kuingia ikulu ktk wakati usiotarajiwa.

Ningeshangaa sana kama Mkuchika angekuwa na maoni!
 
" wewe akili zako zinakutosha peke yako, nakufahamu sana" huna jipya zaid!!

mtaje kwa jina na sehemu alipo, ili kama yuko karibu yetu tumwepuke kabisa. ni chizi sijui? kiswahili chenyewe hajui, inawezekana mnyarwanda
 
Wanatimua vidagaa tu.

Ulitaka kila mtu atimuliwe hata kama hana kosa? Hawa Madiwani walipewa nafasi ya kuomba msamaha lakini wakajifanya kuwa magamba yangewasaidia kuendeleza uovu lakini wapi! You can fool people for sometime but not always, hivyo vijisenti walivyohongwa na magamba vinawatosha warudi kwenye Chama cha Magamba wakaendeleze ufisadi wao huko!
 
Jiulizeni tu. Madiwani hawa walivunja kifungu kipi cha KATIBA ya CHADEMA au ya JMT kwa uamuzi wao wa kuunda serikali ya mseto na CCM pale Arusha?
 
Back
Top Bottom