Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Jana Maalim Seif, makamu wa kwanza wa rais SMZ, alitua Mwanza airport na kusababisha kama kawaida adha kubwa kwa watumiaji wengine wa barabara, baada ya vipenyo na barabara zote alizopanga kupitia...
0 Reactions
58 Replies
5K Views
Rais Mstaafu wa Tanzania Benjamin Mkapa ni miongoni mwa marais wa kiafrika ambao katika utawala wao yametokezea maafa na vifo vya raia kadhaa huko Zanzibar hivyo ni miongoni mwa marais ambao...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Sina uhakika kama hapa ni mahala pake, ila kwa vile ndiyo sehemu ninayotembelea mara kwa mara, nimeamua kuiweka hapa. Modereta anaweza kuihamishiwa panpahusika. Nimeangalia kwa makini sana mavazi...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kwa Watanzania wengi ambao hatukuwepo miaka kumi na tano baada ya uhuru tunaweza kujifunza kupitia picha. Mwalimu Julius Kamabarage Nyerere na baadhi ya Wanachama wenzie wa TANU wakiendesha...
2 Reactions
25 Replies
27K Views
Wabunge akiwemo ndesa pesa na Madiwani wa Chadema wakiwa katika harakati za kuweka Mji wa Moshi safi...inapendeza kama zoezi hili lingekuwa endelevu na kwa mikoa yote.onyesheni mfano wa...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
WANANCHI wa Manispaa ya Arusha, bila kujali itikadi zao za kisiasa, jana waliandamana kwa amani wakiwa peku huku wamevaa magunia kupinga ongezeko la posho za wabunge na kutishia kuandamana hadi...
2 Reactions
21 Replies
3K Views
leo nataka tukumbushana wana JF. Hivi mnakumbukua chadema waliamua kuondoka bungeni na kumuacha mhe. Rais akilihutubia bunge? Wakadai hawamtambui!! Siku chache baadae wakarudi bungeni kuendelea...
1 Reactions
56 Replies
5K Views
Wakati mgogoro wa ndani ya CUF baina ya Hamad Rashid na makamu wa kwanza wa Rais Zanzibar Maalim Seif ukizidi kushika kasi, hatimaye Maalim Seif amejitokeza na kuonyesha wazi nia yake ya kumpinga...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kikwete ashambuliwa • Mbunge CCM akerwa kuwapa ulaji rafiki zake na Mwandishi wetu Tanzania Daima MWENENDO wa uongozi wa serikali ya Rais Jakaya Kikwete umedaiwa kutowaridhisha...
0 Reactions
69 Replies
7K Views
Kelele nyingi zimepigwa na zitaendelea kupigwa juu ya mapungufu ya serikali hii ya awamu ya nne kwenye kushughulikia mafuriko na uharibifu uliotokana na mvua zinazonyesha dar.....tatizo kubwa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Ama ni marudio. Mi ndiyo kwanza naiona.
0 Reactions
37 Replies
3K Views
Nimepata taarifa kuwa viongozi wa juu wa NCCR Mageuzi leo usiku saa mbili unusu watakuwa kwenye kipindi cha Mlimani TV live wakizungumzia hali ya mambo ndani ya chama chao baada ya kufukuzwa...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Wadau; Serikali yetu inayoongozwa na magamba sasa imedhihirika rasmi kwamba imefilisika. Mwanahalisi leo imeandika kwamba serikali iko hoi kifedha na imetoa nakala ya barua kutoka menejiment...
5 Reactions
86 Replies
9K Views
M. M. Mwanakijiji April 15, 2009 (Tanzania Daima) WANAENDESHA magari mazuri ya kifahari; wanavaa nguo nzuri za kupendeza na majengo ya ofisi zao yananguruma viyoyozi vya kuwapoza huku...
9 Reactions
67 Replies
8K Views
Kutokana na mchakato wa kuandika katiba mpya mie nina 'oni' moja tu nalo ni kuhusu kula kiapo kwa Rais, katika nchi zinazoendelea rais akitangazwa tu jioni kala kiap. Kwa mtazamo wangu hii kwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Julius Mtatiro niko uwanja mdogo wa ndege hapa dar kuelekea mafia kwa ziara ya kichama, nimetoka mwenge saa 12.30 asubuh na kufika airport saa 3.40 asubuhi. Barabarani mnapita kwa kutegeana, kila...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Imekuwa ni wimbo kwa wabunge wetu kudai kulipwa hela nyingi kwani wakienda majimboni kwetu wananchi tunawaombe hela. na hata wananchi wakienda Dodoma wanaomba nauli za kurudia makwao. sasa waTz...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jumapili ya tarehe 18/12/2011 kumefanyika uchaguzi kwenye Kijiji cha Magulilwa Kata ya Magulilwa kwenye Halmashauri ya Iringa Vijijini, na matokeo yalikuwa kama ifuatavyo: CHADEMA - Kura 475...
2 Reactions
67 Replies
7K Views
Kwa muda sasa tangu uanze mjadala wa kutoa siri za chama kwenye vyombo vya habari nimekuwa nikijiuliza ni siri gani ambazo kijana anahukimiwa kuzitoa? Kabla ya hukumu siku chache kwenye magazeti...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Ruhuza adai Tendwa amekurupuka - Mwananchi Send to a friend Wednesday, 21 December 2011 08:44 0diggsdigg Raymond Kaminyoge na Fredy Azzah SAKATA la kuvuliwa uanachama kwa mbunge wa...
0 Reactions
1 Replies
986 Views
Back
Top Bottom