Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kuna wakati tuliambiwa ya kuwa chadema wataanza kusajili wanachama kupitia mitandao ya simu na website yao je mpangu huu umefika wapi ?
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Hiviii!!! Great thinkers wanatakiwa kujadili siasa tu? hivi hamuoni hii trend anayojadili Fredy Macha hapo chini inamaanisha by the time munapata hayo madaraka au viongozi unawapigia kampeni...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA) TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI SALAAM ZA RAMBIRAMBI NA POLE KWA WANAFAMILIA NA WANANCHI KUHUSIANA NA JANGA LA MAFURIKO YALIYOKUMBA JIJI LA DAR ES...
30 Reactions
160 Replies
16K Views
Katika maeneo yaliyo na maji, mfano bahari na ziwa, kuna samaki wakubwa na samaki wadogo(dagaa), na samaki wakubwa siku zote huwaonea samaki wadogo kwa vitendo vya kuwameza. Kwa hiyo visamaki...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Na Saed Kubenea MwanaHALISI CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimemtosa Jaji Joseph Warioba. Kimekana kumiliki kampuni ya CCM Trust ambayo imekuwa ikitajwa kumilikiwa na chama hicho kikongwe cha...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Mmeonesha uzalendo na kusimamia makubaliano ya katiba yenu kwa kufanya maamuzi magumu ambayo watanzania hawajazoea.ila bado kuondoka kwa kafulila si mwisho wa tatizo.unatakiwa kubadikisha siasa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mchana huu nilikuwa napita pale sinza vatican bondeni nikakuta msafara wa magari ya CDM wakiwa na Aikael. Sikuweza kusimama ila nimeona pickup zikiwa na mizigo ya vyakula kwa ajili wa wahanga wa...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Inauma kichwa kidogo. Inawezekana kweli mtu awe bosi wa mhimili lakini akawa hajui haki, wajibu na ukomo wake? Inaingia vipi akilini, eti, Spika wa Bunge, Anne Makinda, apitishe posho kwa wabunge...
3 Reactions
16 Replies
2K Views
HOTUBA YA M/KITI CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO CHADEMA TAWI LA CHUO KIKUU MWENGE-MOSHI BAADA YA KUSIKILIZA MAONI,MAPENDEKEZO NA USHAURI JUU YA AGENDA KADHAA ZILIZOJADILIWA NA WANACHAMA.KATIKA...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Nimesoma magezeti mengi tangu mafuriko ya Dar na mahali kwingineko, yanasikitisha sana. Zaidi ya yote nimefuatilia namna vile viongozi wa ngazi mbalimbali wanavyoshughurikia jambo hili na hata...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jamani hii Xmas nakaribisha mwaliko kutoka kwa binti mrembo mwenye mvuto au familia kwani mimi ni bachela bila kuzingatia umri hata huyo binti awe wa miaka sabini lakini ni mrembo poa tu
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Posted on December 23, 2011 by zanzibaryetu Mwenyekiti wa Chama Cha Wananchi (CUF); Professa Ibrahim Lipumba Na Khalid S Mtwangi Chama cha Wananchi, ama Citizen United Front (CUF), sio chama...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Written by amini // 24/12/2011 // Habari // 1 Comment Friday, December 23, 2011 Makamu wa pili wa rais wa Zanzibar balozi Seif akipatiwa ufafanuzi wa ramani mpya ya utanuzi wa uwanja wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Aliekuwa* Rais* wa Jamhuri* ya Czeck Vaclav Havel alizikwa jana mjini Prague na maalfu ya watu ikiwa pamoja na wanasiasa mashuhuri kutoka duniani kote. Rais Sarkozy wa Ufaransa alikuwa miongoni...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Thursday, 22 December 2011 21:43 A gold reserve. The government plans to re-establish a gold reserve at the central bank. PHOTO | FILE By Ludger Kasumuni The Citizen Reporter Dar es...
2 Reactions
22 Replies
2K Views
Sheikh Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam ametoa tamko la kupinga maandamano yaliyondaliwa na baadhi ya Taasisi za kiislamu kupinga MoU kati ya serikali na kanisa na kushinikiza mahakama ya kadhi. Kwa...
3 Reactions
62 Replies
6K Views
Kila nikiuliza kwa nini Dar es salaam na miji mingine watu wanaishi viwanja visivyopimwa naambiwa gharama za upimaji wa ardhi kubwa serikali haina hela za kupima. Nilikwenda Zanzibar nikauliza ni...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kila nikiuliza kwa nini Dar es salaam na miji mingine watu wanaishi viwanja visivyopimwa naambiwa gharama za upimaji wa ardhi kubwa bajeti haipo.Nilikwenda Zanzibar nikauliza ni mpima ardhi gani...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
HOTUBA YA M/KITI CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO CHADEMA TAWI LA CHUO KIKUU MWENGE-MOSHI BAADA YA KUSIKILIZA MAONI,MAPENDEKEZO NA USHAURI JUU YA AGENDA KADHAA ZILIZOJADILIWA NA WANACHAMA.KATIKA...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kumezuka tabia ya baadhi ya Watanzania kukebehi heshima aliyopewa Mwalimu Nyerere, kama Baba wa Taifa la Tanzania. Kuna wanaodai Mwalimu Nyerere hastahili kuitwa Baba wa Taifa kwasababu...
78 Reactions
846 Replies
63K Views
Back
Top Bottom