CHADEMA na harakati za leo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CHADEMA na harakati za leo

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by novava, Dec 21, 2011.

 1. n

  novava New Member

  #1
  Dec 21, 2011
  Joined: Jul 12, 2011
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  leo nataka tukumbushana wana JF. Hivi mnakumbukua chadema waliamua kuondoka bungeni na kumuacha mhe. Rais akilihutubia bunge? Wakadai hawamtambui!! Siku chache baadae wakarudi bungeni kuendelea kujadili hotuba ya rais. Majuzi walitoka nje ya bunge kususia muswada wa katiba. Siku chache baadae wakaenda ikulu kuongea na rais kuhusu mswada huohuo walioukimbia bungeni. Hivi, hawa wenzetu na tabia zao za kususa, tukiwapa nchi wataweza ? CDM jifunzeni kuwa wavumilivu
   
 2. Babkey

  Babkey JF-Expert Member

  #2
  Dec 21, 2011
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 3,946
  Likes Received: 1,633
  Trophy Points: 280
  ...mh!
   
 3. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #3
  Dec 21, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,153
  Likes Received: 844
  Trophy Points: 280
  Kapimwe akili kwanza wewe this guys are strategic and all the messages sent.
   
 4. Chakaza

  Chakaza JF-Expert Member

  #4
  Dec 22, 2011
  Joined: Mar 10, 2007
  Messages: 21,568
  Likes Received: 15,943
  Trophy Points: 280
  Swali lako limeishia hapo?
   
 5. w

  werewe Senior Member

  #5
  Dec 22, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 196
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Huo mtungi tu lazima! Tena konyagi pori
   
 6. mkibunga

  mkibunga Senior Member

  #6
  Dec 22, 2011
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 196
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  akili yako na ccm ni saawa hawakusema hamtambui ebu jaribi kuwa makini na mfuatiliaji wa mambo pumbafu
   
 7. Mkuu wa chuo

  Mkuu wa chuo JF-Expert Member

  #7
  Dec 22, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,249
  Likes Received: 219
  Trophy Points: 160
  akili yako haina akili!
   
 8. J

  JACADUOGO2. JF-Expert Member

  #8
  Dec 22, 2011
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 931
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Jiandae kukimbia nchi 2015 fisadi mkubwa wewe!
   
 9. K

  Kuntakint JF-Expert Member

  #9
  Dec 22, 2011
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 880
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 60
  Hivi unaitwa nani vile
   
 10. Bitabo

  Bitabo JF-Expert Member

  #10
  Dec 22, 2011
  Joined: Sep 27, 2011
  Messages: 1,895
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Mh nadhani umechemka hapa. CDM Kupitia kwa Aikael na Wilbroad hawakusema kuwa hawamtambui rais. Issue ilikuwa ni mchakato wa kumpata raisi (uchaguzi) ndo walikataa kukubaliana nao na kwa katiba ya sasa huwezi kwenda kupinga rais mteule mahakamani. Ili kuelezea hisia zao ndo maana walitoka bungeni ili ulimwengu ujue kuwa hawakubaliani na mchakato uliomuweka JK ikulu but hawakuwa na ugomvi nae kama rais au kama JK.
  Kuhusu bungeni kama unakumbuka kwenye hii bill ya katiba mpya, baada ya Tundu kusoma hotuba yake, wakina Mnyika walijaribu kuomba mwongozo wa spika lakini ama Makinda akasema wanapoteza mda, thats y wakaamua kutoka maana hawakuwa na jinsi ya kuwasilisha hoja ya kuahirisha bunge ili muswada usijadiliwe.
  Nahisi wewe ni gamba maana ile move ya kwenda kwa rais was a good step. Unajua maandamano huwa ni last solution kama njia zote za kukaa mezani zimeshindikana. Sasa kama walishindwa kwa spika, the last option was the Presidaa ambayo nayo waliitumia bila mafanikio.But at least they tried. Watu ambao sikujua wamefata nini ikulu ni CCM B (CUF) maana walikubaliana bungeni na muswada ukapita. Anyway nimejaribu kuelezea kwa kirefu maana naona umepotoka sana au umeamua kutukwaza wana JF. Usiwapoteze wenzio nadhani thread kama hizi wapelekee UHURU PUBLICATIONS
   
 11. Ng`wanakidiku

  Ng`wanakidiku JF-Expert Member

  #11
  Dec 22, 2011
  Joined: Apr 18, 2009
  Messages: 1,197
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  CDM kinaongozwa na wasomi waliobobea. Hiyo ni marketing!!! Kama ulikuwa hufahamu ndiyo wenzako wanachukua points 2015!!
   
 12. Kiziza

  Kiziza JF-Expert Member

  #12
  Dec 22, 2011
  Joined: Dec 10, 2011
  Messages: 440
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Cha kushangaza posho hawasusi,ila kwa vile wafuasi wao ni vipofu juu yao wanadanganyika.
   
 13. Safety last

  Safety last JF-Expert Member

  #13
  Dec 22, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 4,224
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 160
  Mafuriko yanakusumbua
   
 14. MtamaMchungu

  MtamaMchungu JF-Expert Member

  #14
  Dec 22, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 3,610
  Likes Received: 410
  Trophy Points: 180
  Ndugu upo Bonde lipi, Msasani, kwa mtogole, kigogo au kwa Tumbo? Inaonekana akili imechanganyika na maji ya kinyesi.
   
 15. Kiziza

  Kiziza JF-Expert Member

  #15
  Dec 22, 2011
  Joined: Dec 10, 2011
  Messages: 440
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ha ha haa nisingejali kabisa kuwa huko kwa kuwa wanaishi watanzania kama mimi,ambao wakati
  wa campaign huwa mnawafuata na kwenye hayo
  maandamano yenu ndio wanaotoka.

  Lakini hii haiondoi ukweli kwamba jamaa wako kimaslahi na posho zinaingia kwenye account kama kawa,
  kifupi wale watu ni matajiri na kwenye hili itikadi za vyama zinawekwa pembeni wanakua wamoja
  ila kwa upofu wenu mnadanganywa eti hawapokei sijui hawasaign sijui bla bla gani ujinga mtupu he he heee! Hii ndio BONGO!!!
   
 16. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #16
  Dec 22, 2011
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 15,637
  Likes Received: 8,424
  Trophy Points: 280
  wanapokea posho ambayo nani kaitoa! thubutu kum-analaiz anayetoa hii posho ambayo inaonekana nawe inakukera.
   
 17. Kiziza

  Kiziza JF-Expert Member

  #17
  Dec 22, 2011
  Joined: Dec 10, 2011
  Messages: 440
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  He he kwanza bora umekubali kama wanapokea.

  Anayetoa ni serikali ila hapa haijalishi anayetoa hawa walishajidai hawapokei sitting
  allowance lakini ukweli ni kwamba jamaa wanapokea na hata hii ya laki mbili kabla ya kuibuka mbona walikuwa wanapokea,lazima
  kuchanganya na za kwako (namaanisha akili)
   
 18. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #18
  Dec 22, 2011
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,799
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  tumia nguvu zako kuokoa raia waliokumbwa na mafuriko, upupu wako leta baadae
   
 19. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #19
  Dec 22, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,837
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Una hoja na madai marehemu sana siamini kama wewe ni thinket kweli.
   
 20. c

  cyprian minja New Member

  #20
  Dec 22, 2011
  Joined: Dec 22, 2011
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ukweli napenda ukweli niliungana nao kwenye hili la kupinga posho...lakini kama wamekuwa ndumilakuliwi wanaongea tofauti na wanatenda tofauti. Wamekuwa popo wanatuhadaa naomba kama kuna mbunge yoyote wa chadema aliongelee hili. Huu ni usaliti kuliko wa yule ambae hakuonyesha unafiki na kuchukua posho moja kwa moja.
   
Loading...