Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

jamani kuna mpinzani mmoja wa CCM kutokea kigoma aliwika sana kuichafua ccm anaitwa kaburu yuko wp?.maana naona kuna wanaotaka kumfuata aliko!
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wana JF natafuta hii document .. The constitutional Review act 2011. Bill no 1-2011-1 . Introduction date:11 March 2011 Bill stage : First reading 6 April, 2011. Juhudi ambazo nimefanya ni kupita...
0 Reactions
0 Replies
961 Views
Nawashukuru sana sana vijana wa CCM na wazalendo wengine wote baada ya kutoa wito kushiriki kutoa misaada mbalimbali kwa waathirika wa mafuriko yaliyotokea Dsm, mmejitekeza kwa wingi na moyo...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Thursday, 22 December 2011 20:29 Rais jakaya Kikwete(katika) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mahusiano ya Jamii .Stephen Wasira(kushoto),Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Said Meck Sadik,Meya wa Ilala...
0 Reactions
0 Replies
915 Views
Kama anaitembelea, je ni feedback gani anapata? Nadhani hili ni jukwaa huru la watanzania wasomi kwa mbumbumbu, wake kwa waume wa dini na rika mbalimbali kutoa maoni yao. Mengi yaliyokuwa...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Wana JF hebu tulijadili hili la waathirika wa mafuriko.Nimekuwa nafatilia taarifa za habari naona makampuni na watu binafsi wanajitolea kwa moyo kuwapa msaada wenzetu walioathiriwa na mafuriko. Ni...
1 Reactions
2 Replies
918 Views
SalamuWanajamvi! Prof Shivij, Mh John Mnyika na Aizeck Cheo wako Itv live kwenye Kipima joto wakijadili mswada wa kitiba mpya, sahizi prof shivij anatoa ufafanuzi juu ya mchakato wa katiba mpya na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Prof. Mahalu ameanza kujitetea jana mahakamani katika kesi yake ya Uhujumu uchumi inayomkabili na Kuwataja Mabosi wake enzi hizo akiwa Balozi wa Italy kwamba aliwaarifu kinachoendelea katika...
1 Reactions
22 Replies
5K Views
Namsifu sana Hayati Mwl. J. K Nyerere kwa uzalendo wake kwa taifa lake lakini nasikitika kwamba umetuchia matatizo makubwa sana, kwani viongozi wengi waliopo sasa akiwepo mkuu wa kaya wametokana...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Borders are likely to be remade out of a dire need to survive. Countries threatened with extinction because they have run out of water or energy, will have little choice but to attack those that...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Na Saed Kubenea - Imechapwa 14 December 2011 Naye atakiwa kujiuzulu Waraka mzito wavuja CHADEMA yaitwa ‘mchawi' RAIS Jakaya Kikwete amekaliwa kooni. Wakati chama chake kinakabiliwa na...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Airport workers offload cargo from a plane at Julius Nyerere International Airport in Dar es Salaam. Picture: File By ROSEMARY MIRONDO Posted Sunday, December 20 2011 at 00:00 Tanzania expects...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Leo nilipita kijiwe kimoja nikakuta mjadala mkubwa juu ya kuwepo uwezekano wa watumishi wa serikali kutolipwa mishahara kabla ya sikukuu ya krismasi. Mara Payroll bado, mara hata wanajeshi bado...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Chini ya utawala wa Nguvu yaUmma, Nilikwishawaambia "mawe ni mepesi mkononi, ila ni mazito usoni" sasa leo hii imeanza tarime, mfano ni huu kuanzia sasa, na utaendelea kuwatokea viongozi...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
"Ninachosema ni hivi, kwa mbunge wa kweli ambaye anasimamia maslahi ya wananchi wake, hizo fedha si nyingi. Kwa sababu mbunge makini anahitaji kutoa misaada, kuona malengo ya wapiga kura wake...
0 Reactions
62 Replies
5K Views
Wana Jamii Kuna uvumi kuwa mwenyekiti wa CDM katika manispaa ya Mbeya (Mwambigija)i anashirikiana na mbunge wa viti maalum wa CCM (Bi Mwanjelwa) kwa lengo la kudhoofisha nguvu ya CDM katika jimbo...
0 Reactions
42 Replies
5K Views
GreatThinkers, Ni katika kusaidia kuwapa fikra hawa wazee wetu, kila kitu wanaogopa hata kutoa tamko na kutekeleza. Sasa fanyeni yafuatayo. 1.Majengo yote yaliyo bondeni yabomolewe, kipimo kiwe...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Nimeona kwenye runinga ya K24 rundo la pembe za ndovu zimekamatwa bandari ya Mombasa. Katika maelezo yao wanadai zilikuwa zinasafirishwa kama plastics kutokea TZ kwenda Dubai lakini mwenye mzigo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
(1)Ni dhahiri kuna mambo ya muungano na yasiyo ya muungano, je Pindi Mzanzibari atakapokuwa raisi wa Tanzania nzima, ana uhalali gani wa kuiwakilisha/kutoa maamuzi juu ya mambo yasiyo ya Muungano...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
• POLISI WASUASUA KUKAMATA WALIOHUSIKA na Samwel Mwanga, Meatu WATU wawili wamejeruhiwa vibaya na kulazwa katika Hospitali ya Wilaya ya Meatu, mkoani Shinyanga kutokana na mapigano...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Back
Top Bottom