Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wadau,leo asubuhi nilikua nasikiliza redio MAGIC FM katika kipindi cha morning magic,katika kile kipindi cha zaidi ya habari mwandishi Kibwana Dachi ametuambia leo ni siku ya tatu (3) tangu mafuta...
2 Reactions
33 Replies
6K Views
Tanzania offers good example of press self-regulation GLENDA DANIELS - Dec 20 2011 00:00 The Press Freedom Commission will be able to show the ANC a "highly successful" example of press...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
SERIKALI imetangaza kuwalipa watumishi wa umma mishahara yao kupitia madirishani kwa muda wa miezi miwili. Katika kipindi hicho, itachukua hadhari zote ikiwamo ya kuhakikisha hakutokei uporaji...
1 Reactions
141 Replies
15K Views
Katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania inatambua tu viongozi wawili waandamizi wa serikali ya mapinduzi Zanzibar;nao ni Rais wa serikali ya mapinduzi pamoja na waziri kiongozi. Haya marekebisho...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Mahakama Kuu kanda ya Arusha leo itatoa uamuzi kama CHADEMA watakuwa na Kesi ya Kujibu, kuhusiana na kesi waliyofunguliwa viongozi wa Kitaifa wa chama hicho akiwemo Freeman Mbowe, Dr. Slaa...
6 Reactions
133 Replies
12K Views
Hali ni mbaya sana katika maeneo mengi nchini ambayo mvua inanyesha kwa sasa. Kwa maeneo ya Dar-es-salaam Kigogo, Jangwani, Mkwajuni hali inatisha kwa mujibu vituo vya redio Dar. Maisha ya raia...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Ni takribani mara ya tatu sasa ambapovituo vinavyouza nishati ya mafuta (petrol,diesel) vimesuasua hasa baada ya bei mpya kutangazwa na ewura. Nakumbuka ilikuwa july mwaka huu ambapo mabo yalikuwa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mkutano REDET waibua mpya Mwandishi Wetu Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Vyama vya siasa vyakosa demokrasia, Serikali yatajwa legelege Wanahabari wadaiwa kusaidia kulinda maslahi ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ruhuza adai Tendwa amekurupuka Send to a friend Wednesday, 21 December 2011 08:44 0diggsdigg Raymond Kaminyoge na Fredy Azzah SAKATA la kuvuliwa uanachama kwa mbunge wa Kigoma Kusini...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Ndugu zangu, Kuna mengi yametokea katika siku za karibuni. Ni mengi yenye kuhitaji tafsiri. Nitaanza na hili lililomkumba David Kafulila ambalo kimsingi ni mgogoro unaoendelea ndani ya NCCR-...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
Rais Jakaya Kikwete Mbunge wa Ludewa Deo Filikunjombe kushoto na kulia Mbunge wa Kilolo Profesa Msolla MBUNGE FILIKUNJOMBE NA PROF MSOLLA WAWACHARUKIA MAWAZIRI WA JK MBUNGE wa jimbo la...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
wanajamii, Nimekuwa nikitafakari kwa mapana na marefu juu ya taifa letu kuwa ombaomba duniani ukiondoa Iraq na afganistani yenyewe ndio ya kwanza. Ivi kweli wanajamii even somalia...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Posted on December 20, 2011 by zanzibaryetu Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohammed Shein Kalamu ya 14 Des 2011 KWA kuwa Rais Jakaya Kikwete ameshatia saini muswada wa sheria ya marekebisho ya katiba...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndugu zangu nimekuwa nikifuatilia sakata la Mh. Kafulila jinsi iliyokuwa na hukumu iliyotolewa kuwa amefukuzwa uanachama. Mimi binafsi nawapongeza NCCR kwa kuchukua ule uamuzi ili kujenga...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
NIRA DHIDI YA WAANDISHI IVUNJWE - UHURU WETU ULINDWE (Dhidi ya Mpango wa Serikali kulifungia/kuliadhibu Gazeti la MwanaHalisi) Na. M. M. Mwanakijiji Kwa mara nyingine tena serikali ya...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
toka siri ifuchuke kuwa wabunge wamepandisha posho zao wananchi wengi wamepiga kelele kila mmoja kwa namna yake kupinga jambol hilo. ombi langu kwa watanzania ni kuliangalia jambo hilo kwa makini...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Tunapaswa kujifunza demokrasia upya, najiuliza nini maana ya Freedom of expresion? Tukiwazuia watu kuongea what we call siri katika media ni sawa? Maana kama chama kinarumika na CCM wasiseme...
6 Reactions
51 Replies
7K Views
Kuna msemo mmoja wa kiswahili unaosema hakuna marefu yasiyo na ncha.Kila jambo lina wakati wake na wakati ni ukuta ukishindana nao utaumia.Imenilazimu kutumia misemo hii maarufu ya kiswahili...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Napendekeza ili tume ya kukusanya maoni iwe huru ni vizuri isishirikishe kabisa wawakilishi wa vyama vya siasa,taasisi za dini,NGOs,Vyuo Vikuu na wabunge na viongozi wa makundi kama vijana ,akina...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa mujibu wa star tv new, viongozi wa ngazi zote wilaya ya Dodoma mjini wamemtaka kaitibu mkuu wa chama hicho Maalim Seif kuachia ngazi kwa kushindwa kukikongoza vema chama hicho kwa nafasi yake...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Back
Top Bottom