NCCR Mageuzi Live Mlimani TV leo Usiku

bibikuku

JF-Expert Member
Feb 16, 2011
832
495
Nimepata taarifa kuwa viongozi wa juu wa NCCR Mageuzi leo usiku saa mbili unusu watakuwa kwenye kipindi cha Mlimani TV live wakizungumzia hali ya mambo ndani ya chama chao baada ya kufukuzwa Kafulila. Mmoja wa watakaokuwepo kipindini ni katibu mkuu wa chama hicho taifa
 
wenzao chadema walikuwa wajanja walipotaka kuwafukuza madiwani Arusha kabla ya kuchukua hatua walikimbilia kwa wananchi/wapiga kura waliowachagua lakini NCCR wanaona NEC yao iko juu ya wananchi wa kigoma kusini waliokipa chama hicho ridhaa ya jimbo lao na kuwanyima CCM na Chadema. Leo NCCR wanakimbilia kwenye TV
 
Mbatia anadhani akimfukuza kafulila atasalimika????? unajiokoa kwa kumzamisha mwenzako kwenye kina kirefu cha maji wakati hujui kuogelea mmmmmmmmmmmmmh
 
Alinayofanya John shibuda kule chadema hayana tofauti na David kafulila na anayoyafanya Hussein bashe na James Malaya kule CCM ni hayo hayo bila kusahau ya Hamad Rashid kule CUF lakini CCM, CUF na chadema wanafikiri deep kuliko NCCR
 
wenzao chadema walikuwa wajanja walipotaka kuwafukuza madiwani Arusha kabla ya kuchukua hatua walikimbilia kwa wananchi/wapiga kura waliowachagua lakini NCCR wanaona NEC yao iko juu ya wananchi wa kigoma kusini waliokipa chama hicho ridhaa ya jimbo lao na kuwanyima CCM na Chadema. Leo NCCR wanakimbilia kwenye TV

Si kweli, Chadema walikwenda kwa wananchi baada ya kuwatimua madiwani kule Dodoma. Baana ya kamati kuu kuwahoji madiwani wale na kuwatimua uanachama ndipo wakaandaa mkutano wa wana-Arusha kuelezea why chama kimechukua maamuzi yale. hawakwenda kwa wananchi kabla ya kuwatimua
 
halafu huyo Ruhuza akikodoa mimacho utadhani ana ile jinsia nyingine
 
..Kafulila alitaka kupeleka siasa za chuo kikuu ndani ya NCCR.

..nadhani hili litakuwa funzo kwake kama anataka kuendelea na siasa.

..mimi nilimuona huyu kijana ni mtu wa hovyo-hovyo pale alipoungana na CUF kuwashambulia CDM bungeni.

..huwezi kuanzisha harakati za kumng'oa mwenyekiti wa chama nje ya taratibu na vikao vya chama.
 
Nimepata taarifa kuwa viongozi wa juu wa NCCR Mageuzi leo usiku saa mbili unusu watakuwa kwenye kipindi cha Mlimani TV live wakizungumzia hali ya mambo ndani ya chama chao baada ya kufukuzwa Kafulila. Mmoja wa watakaokuwepo kipindini ni katibu mkuu wa chama hicho taifa
Taarifa zako za kificho, Ukweli ni Kwamba NCCR walikuwa wanapata Kigugumizi kutoa barua za kufukuzwa akina hashimui Rungwe Juzi Hashimu Rungwe aliandika barua kushinikiza wapewe ili aende mahakamani sasa leo tumepata taarifa kuwa Wameandika sasa kama una nia nzuri kwa nini usieleze haya???

Ukwni Kwamba NCCR inakufa bila kujijua Hakuna Mbunge anayeweza kugombea kupitia NCCR akashinda ni Mpaka Mbatia aondoke!!!

Soma Kantuni ya leo kwenye gazt la Mwananchi utajua ukweli!!
 
Wew hujapata taarifa ni kwamba umetumwa ulete humu ili kufanya kama tangazo hata hivyo nakuunga mkono!!!
 
..Kafulila alitaka kupeleka siasa za chuo kikuu ndani ya NCCR.

..nadhani hili litakuwa funzo kwake kama anataka kuendelea na siasa.

..mimi nilimuona huyu kijana ni mtu wa hovyo-hovyo pale alipoungana na CUF kuwashambulia CDM bungeni.

..huwezi kuanzisha harakati za kumng'oa mwenyekiti wa chama nje ya taratibu na vikao vya chama.
Mbona wabunge na makada wengu ni wanafunzi kutoka vyuo vikuu, unataka kutenganisha siasa na vyuo vikuu???
Pale Mlimani Kuna political science mulize vizuri Prof Baregu !!

Hata hivyo Mbatia alifukuzwa hapo na kwenda nje kusomea Injinia wa Maji!!!

Sasa unataka wote wawe kama Mbatia????
 
..Kafulila alitaka kupeleka siasa za chuo kikuu ndani ya NCCR.

..nadhani hili litakuwa funzo kwake kama anataka kuendelea na siasa.

..mimi nilimuona huyu kijana ni mtu wa hovyo-hovyo pale alipoungana na CUF kuwashambulia CDM bungeni.

..huwezi kuanzisha harakati za kumng'oa mwenyekiti wa chama nje ya taratibu na vikao vya chama.
Mimi nimemuona ni mtu dhalili baada ya kuangua kilio na kufuta viatu vya Mbatia. Mpiganaji gani asiyeweza hata kusimamia kile anachokiamini.
 
Taarifa zako za kificho, Ukweli ni Kwamba NCCR walikuwa wanapata Kigugumizi kutoa barua za kufukuzwa akina hashimui Rungwe Juzi Hashimu Rungwe aliandika barua kushinikiza wapewe ili aende mahakamani sasa leo tumepata taarifa kuwa Wameandika sasa kama una nia nzuri kwa nini usieleze haya???

Ukwni Kwamba NCCR inakufa bila kujijua Hakuna Mbunge anayeweza kugombea kupitia NCCR akashinda ni Mpaka Mbatia aondoke!!!

Soma Kantuni ya leo kwenye gazt la Mwananchi utajua ukweli!!
Mbona ilshakufa zamani sana! Nani asiyejua kuwa hata huo ubunge wa kina Kafulila walipewa na kina Zoka?
 
Mimi nimemuona ni mtu dhalili baada ya kuangua kilio na kufuta viatu vya Mbatia. Mpiganaji gani asiyeweza hata kusimamia kile anachokiamini.
Kafulila amefanya kazi nzuri sana ya kubomoa NCCR na Mbatia angalia alivyosuka zile njama hata Marando hakuweza kufanya hivyo , lakini kama alikuwa analia , ukweli ni kwamba hata angeachwa Ndani ya NCCR Kafulila hawezi kunyamaza kimya ni Lazima aendeleze Kubomoa NCCR hivyo kulia kwake kunaweza kuwa na tafri kuwa anataka abaki ili amung'oe kabisa Mbatia!!!

Hata asiyejua mambo haya Kafulila hawezi kuelewana na Mbatia tena hapa ni kwamba NCCR imeungua kwa asilimia 80% haiwezi kuinuka tena !!!

Jimbo la Kigoma kusini haliwezi kwenda NCCR wala Jimbo la Kawe!!

Katika Wabunge waliobaki hakuna anayeweza kugombea Kupituia NCCR akashinda nina uhakika watakimbia kabla ya Mda!!!

Hatujui Huenda Mkosamali akarudisha kadi!!
 
tumechoka na siasa za bongo now, nikifika home wala sitakuwa na muda wa kuwaangalia wapuuzi kina mbatia, ntawasha laptop nacheki movie...tena bora niangalie movie ya commedy kuliko wajinga hao.
 
Back
Top Bottom