Mtatiro kuleeeee! Facebook | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mtatiro kuleeeee! Facebook

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by rosemarie, Dec 22, 2011.

 1. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #1
  Dec 22, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  [h=6]Julius Mtatiro
  [/h][h=6]niko uwanja mdogo wa ndege hapa dar kuelekea mafia kwa ziara ya kichama, nimetoka mwenge saa 12.30 asubuh na kufika airport saa 3.40 asubuhi. Barabarani mnapita kwa kutegeana, kila gali inaogopa kutumbukizwa mitaroni. Mafuriko everywhere. Na ndio nimepata wazo, vipi mungu akikasirika akashusha gharika siku 7 peke yake, inanyesha 24 hrs, sehemu ipi itasalia? Na nuhu wetu atawaombea msamaha watu wangapi? Kwa kweli kati ya nchi za dunia ya tatu nilizofika, tanzania tuna miundombinu mibovu sana, tutakoma wenyewe ktk nchi yetu! ccm inadumu tu! Haya, kalagabaho.[/h]
  Hamis Hamad and 4 others like this.

  • [​IMG]


   Josephat Msanga Mjema ndo bongo yetu
   Wanaoumia siku zote ndo wanaoikumbatia ccm na wabishi kuleta mabadiliko 2 hours ago · LikeUnlike


  • [​IMG]


   Uronu Tumaini Pole sana kiongozi................. 2 hours ago · LikeUnlike


  • [​IMG]


   AL Zanzibar Ile helcopta mliyoitumia uchaguzi mdogo igunga iko wapi leo kwenda kuokoa raia na mali zao!!!??? 2 hours ago · LikeUnlike · [​IMG] 2


  • [​IMG]


   Peter Mgata Mbona haziulizwi helikopta za ccm, na ndio wanaoshikilia dola, CUF, CHADEMA sio wanaosimamia sera za ccm na ubovu wake, ndio maana hata kusimamia miundombinu ni tatizo, 75% ya mafuriko ni ubovu wa miundo mbinu! 2 hours ago · LikeUnlike · [​IMG] 1


  • [​IMG]


   Samwel Nchagwa Magoiga CCM inashindwa kubadilika kwa sababu Baadhi ya mawazo ona Ushauri Inaupata CCM B yaani CUF,,,,,,,,,,, 2 hours ago · LikeUnlike


  • [​IMG]


   Bakari Kasubi Safari njema kiongozi Achana na wasiojua siasa ccm b wanaijua na sio CUF about an hour ago · LikeUnlike


  • [​IMG]


   AL Zanzibar kukodi helcopta kutafuta kula na kukodi helcopta kwenda kuokoa raia na watoto wachanga ipi inathamani zaidi?@ about an hour ago · LikeUnlike · [​IMG] 1


  • [​IMG]


   Godfrey Godi Justine Mafia hakuna mashamba ya kulima? Hao unaowapelekea siasa wakati wa masika unataka kuwaua kwa njaa? Unapeleka siasa? Sikuungi mkono. Ungekuwa unapeleka matrekta, hapo tungekuwa pamoja. about an hour ago · LikeUnlike · [​IMG] 2


  • [​IMG]


   Ahmadi Machaku Mzazi nakukubali sana, upo makini ila maalim seif lazima 2mng'oe, kakirudsha chama nyuma sana kama mi coach Arsenal wenger about an hour ago · LikeUnlike


  • [​IMG]


   Mtabazi Sahini Helkopta zilikodiwa kuwafikia wananchi katika muda ambao hawakuzihitaji. Sasa zinahitajita, zikodiwe. about an hour ago · LikeUnlike · [​IMG] 2


  • [​IMG]


   George Faraja Mimi nakuunga mkono ila cha msingi muungano wa vyama.Nikuulize kati ya CUF na Chadema ni chama kipi kinaweza kukitoa CCM madarakani? Kama unakichukia CCM basi utajiunga na hicho chama lkn kama bado unakipenda CCM basi utaendelea kukaa kwenye chama kisichokuwa na nguvu.Ila cjui ni chama kipi kati ya hivo! about an hour ago · UnlikeLike · [​IMG] 1


  • [​IMG] Rosemary Kimaro kwani nyie mlivyofunga ndoa na ccm mlitaka kutuonyesha nini?endeleeni kuwaunga mkono na kuwalinda ccm kwa kuwa nyie cuf hamna future
   42 minutes ago · LikeUnlike · [​IMG] 1


  • [​IMG]


   Eng Denis Hyera dont understand how and why mtatiro joined CUF,siamini kama kweli sera za cuf zilimvutia,there must be sometime else ambacho hatukijui. 42 minutes ago · LikeUnlike · [​IMG] 1


  • [​IMG] Rosemary Kimaro mtatiro ni mmojawapo wa wanasiasa wa kiafrica wanaofanya kazi kwa kuganga njaa'utakumbukwa kwa lipi haswa wewe?unafiki?au nini'hujui unachotakiwa kufanya kwa muda huu'kazi yako ni kupiga kelele kwa kuwa umezoezwa hivyo'nakushauri jiunge na ccm ukaendeleze soga kule'
   Nchi yetu inahitaji wazalendo waliojitolea kuikoa'sio wewe!
   36 minutes ago · LikeUnlike · [​IMG] 2


  • [​IMG]


   Ali Baraka ‎@Samweli Nchangwa, CCM B ni CHADEMA kila mwenye akili timamu timamu hilo analijuaa. Kuna ushahidi wa kutosha tu unaonyesha CHADEMA ni chama m,badala wa ccm. Ni hivi karibu tu UVCCM walisema wazi kuwa umoja wao ukivunjwa watahamia wote CHADEMA. Vigogo wa ccm wakigombana wanakwenda CDM. Jee ni kwa nini wasiende vyama vyengine? Kwa sababu wanajua wazi ufisadi wao wanaweza kuuendeza ndani ya CDM, ndani ya CUF mianya yote ya ufisadi imezibwa. 9 minutes ago · LikeUnlike

   
 2. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #2
  Dec 22, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Haya bhana,
   
 3. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #3
  Dec 22, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  mimi nasoma tu na kunyamaza,tehee teheeeeee
   
 4. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #4
  Dec 22, 2011
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  CHADEMA nao kama wana uchungu na wananchi watoe helcopta yao kufanya shughuli za uokoaji. Isiwe ni kwa matumizi ya kuombea kura tu.
   
 5. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #5
  Dec 22, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  kweli lakini mkuu,wakiomba kura wanairusha,kwenye shida hawairushi,matatizo matupu
   
 6. TOWNSEND

  TOWNSEND JF-Expert Member

  #6
  Dec 22, 2011
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 2,597
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  huwa wanamuomba ndesamburo ni helkopta yake binafsi usihusishe cdm na mali ya ndesa,jk alikuwa na tatu kwa kodi zetu mbona husemi

   
 7. TOWNSEND

  TOWNSEND JF-Expert Member

  #7
  Dec 22, 2011
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 2,597
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  wameshindwa kupanga miji tu eti yule mama alisema atapanga miji aliingia kwa mbwembwe wizarani speed zake hazionekani tena juzi nilimuona kupitia tbc yupo na museveni eti wameenda kujivunza kilimo ug ....du masikini nchi yetu
   
 8. Pipiro

  Pipiro JF-Expert Member

  #8
  Dec 22, 2011
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 307
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Lakini msisahau kuwa shughuli ya uokoaji ina mafundisho yake... Sidhani kama hao wa CDM wana mafundisho ya uokoaji...

  Na sidhani kama serikali imesema imepungukiwa vyombo vya uokoaji hivyo kuwaomba raia na asasi zisizo za kiserikali kujitolea vyombo vyao kama helikopta ili visaidie kwenye uokoaji...

  Shughuli ipo, ila Mungu atatusaidia maana tusitegemee serikali kutusaidia.. Ndio nasema MUNGU na si SERIKALI maana serikali haina uwezo huo wala nia hiyo... Wanajua kuzembea na kufuja fedha za wananchi. Eti kusheherekea miaka 50 ya uhuru wa nchi ambayo haipo (Tanganyika) serikali bila aibu inathubutu kutumia Tshs Billioni 64.

  Tumelaaniwa, na tutakuwa hivi daima mpaka wananchi watakapoona haya haya na kuamua vinginevyo. Hata wakihongwa lakini bado wana nafasi ya kuamua tofauti.

  Nakumbuka nilipokuwa jeshini tulienda kucheza mechi uraiani, basi ikawa kana kwama refa anapendelea timu ya uraiani maana magoli yetu matatu yalikataliwa. Kamanda wetu, kocha akasema wala msijali, nendeni fungeni tuu tuone kama wanaweza kukataa magoli 15. Ndio nimetoa mfano huu nikiwa na maana waacheni waibe lakini hawawezi kuiba kura zote kila mahali.

   
 9. M

  Mgongo wa paka JF-Expert Member

  #9
  Dec 22, 2011
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 486
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  mwacheni kijana mtatiro achanje mbuga endelea kukaza wanaoichukia cuf una waumiza kwani hawapendi kuona cuf iki suvival. Viroho vya korosho
   
Loading...