Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Akiripoti kupitia redio free Africa! Anjelo Mwalekwa anaripoti ya kwamba Tendwa ametoa onyo kwa jeshi la police ya kwmb wawe makini wakati wa kampeni itakayoanza tar 9/03/2012 na hata siku ya...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Wakuu mniwie radhi kwa kuwa kulikuwa na post kutoka kwa Director hapa jamvini siku za nyuma kumuhusu huyu Mkuu Mtatiro lakini nimeitafuta kwa update sikuweza kuipata,kwa hiyo nimeamua kufungua...
1 Reactions
26 Replies
3K Views
Sasa tunatambua kwamba Taifa linaundwa na watu wa aina mbalimbali kama nilivyoongea katika andiko la kwanza, Sehemu ndogo ikiwa familia, niliandika umuhimu wa familia katika ujenzi wa Taifa imara...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
[MODS TAFADHALI MSIFUTE HII MADA] ! Kinachoendelea nchini Tanzania ni chimbuko la machafuko makubwa isipodhibitiwa. Haya yalitokea Libya, Tunisia na Misri. Nina maana ya kwamba kuna ubaguzi...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Siku chache baada ya kuchakachuliwa hatimae vijana wawili Elirehema Kaaya na Wiliamu Sarakikya watangaza nia ya kuhamia Chadema kama uchaguzi hautafanyika upya. Walisema uchaguzi uliofanyika...
12 Reactions
195 Replies
16K Views
Kuzuia chakula kwenda nje sio sahihi badala yake wenzetu wanapokuwa na njaa ndo fursa ya sisi kuzalisha kwa wingi ili kutosheleza soko. Watu wengi hasa wanaoishi vijijini wanashindwa kuzalisha...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Napenda kutangaza nia ya kugombea jimbo la Mama Anna Makinda 2015. Mama naona kashindwa kazi, tangu aingie madarakani hamna chochote alichokifanyia jimbo letu. Kama mwanamke mwenzake, natumai wana...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Katika kikao cha NEC ya CCM kilichofanyika hivi karibuni kulizuka mjadala mkali juu ya mabadiliko ya katiba ya ccm, huku mkongwe wa siasa na mshauri wa rais, Kingunge Ngombale- Mwiru katika hali...
0 Reactions
51 Replies
6K Views
Ndugu zangu, Mhariri wa gazeti la Uhuru anaitwa Jaqueline Liana. Hakika anastahili pongezi kwa kazi yake njema kwa taifa. Niweke wazi, katika magazeti yote niliyoyapitia siku ya jana...
3 Reactions
36 Replies
3K Views
Waungwana wakati vijana wa vyama vingine wakiwa hoi, Baraza la Vijana la Chadema BAVICHA leo limefungua rasmi ofisi zao zilizopo mtaa wa Togo Kinondoni. Hii ni ishara ya vijana hawa kuendelea...
9 Reactions
76 Replies
6K Views
Viongozi mashuhuri wa CUF wamejitoa katika chama hicho leo.Viongozi hao ni aliyekuwa meneja kampeni wa Urais wa Lipumba Bw Said Miraji na aliyekuwa mgombea ubunge wa jimbo la Temeke kupitia CUF Bw...
9 Reactions
110 Replies
8K Views
nipo hapa viwanja vya shycom kwenye mkutano wa mh pinda kiukweli hakuna watu kabisa zaidi ya wanafunzi wa uhuru sekondari waliolazimishwa kuja leo ni ajabu ingawa kuna burudan na naona lori moja...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Gazeti la udaku la Uhuru lanalotumiwa na magamba limeripoti kuwa, wazee wa kimila wilayani Arumeru hawako tayari kuonana na Mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema kwa ajili ya kuombwa msamaha kwa...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Ninawasalimu wana JF! Nimefuatilia sana ziara ya Naibu katibu mkuu wa Chadema mh. ZITTO Z. KABWE Mkoani Tanga na kugundua somo kuu ni uzalendo. Mambo ni mengi ya uzalendo, lakini kubwa ni...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
LONDON - FEBRUARY 23: Delegates pose for a group photo during the Somalia Conference at Lancaster House on February 23, 2012 in London, United Kingdom. Britain's Prime Minister David Cameron has...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Si mwingine ni Mwigulu Mchemba. Alichokifanya Igunga kinajulikana. Na sasa ameshaanza kampeni katika jimbo la Arumeru Mashariki hata kabla ya muda uliotangazwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi...
3 Reactions
108 Replies
11K Views
Nakupa pole kwa safari ndefu ya ulaya na baadae botswana,katika safari hizi moja ilkuwa ni kuhudhuria kikao na nyingine kuhudhuria sherehe,binafsi niko tofauti kimtizamo,ninatafakari umakini wako...
0 Reactions
1 Replies
928 Views
Sakarati mauti ni nin?
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Lessons from Uganda on oil agreements with investors Saturday, 25 February 2012 10:17 By George Wachira The Citizen Correspondent Nairobi. Earlier this month Uganda announced...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom