Tendwa atoa onyo kwa jeshi la polisi kuhusu uchaguzi jimbo la Arumeru Mashariki!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tendwa atoa onyo kwa jeshi la polisi kuhusu uchaguzi jimbo la Arumeru Mashariki!!

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by LiverpoolFC, Feb 27, 2012.

 1. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #1
  Feb 27, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Akiripoti kupitia redio free Africa!

  Anjelo Mwalekwa anaripoti ya kwamba Tendwa ametoa onyo kwa jeshi la police ya kwmb wawe makini wakati wa kampeni itakayoanza tar 9/03/2012 na hata siku ya uchaguzi tar 1/04/2012

  Akiongea kwa msisitizo Tendwa alitoa kauli kali sana kwa jeshi la polisi ya kwamba mambo ya mabomu hayafai nyakati hii kwa Taifa letu!

  Nikatamani nimwambie wao wenyewe ndio wanafanyaga mabomu yaanze pale wanapokosa kura na wanaanza uchakachuaji kwa kupiga mabomu!

  Source:RFA!
   
 2. msnajo

  msnajo JF-Expert Member

  #2
  Feb 27, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 2,458
  Likes Received: 331
  Trophy Points: 180
  Tendwa yupo chama gani?
   
 3. M

  Molemo JF-Expert Member

  #3
  Feb 27, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Tapeli tu huyo
   
 4. Mwana Mpotevu

  Mwana Mpotevu Platinum Member

  #4
  Feb 27, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 3,295
  Likes Received: 333
  Trophy Points: 180
  Huyu Tendwa si alisema washili watamuua Lema akienda huko Arumeru? kwanini asiwaonye washili kwanza??
   
 5. Ndoa

  Ndoa JF-Expert Member

  #5
  Feb 27, 2012
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 985
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Mbona mambo ya msajiri wa vyama kuwa na sauti kwenye mambo ya uchaguzi yapo tanzania tu?
   
 6. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #6
  Feb 27, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 8,020
  Likes Received: 911
  Trophy Points: 280
  kumbe tendwa hajui meru!!!?hakuna polisi anayeweza kuzuia fujo za wameru.ni bora akaongee na NEC wasosababishe fujo.
   
 7. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #7
  Feb 27, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Magamba ya kobe
   
 8. WAFU FM

  WAFU FM Member

  #8
  Feb 27, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 49
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Yeyote ajae mbele ya chombo cha kudai haki aje na mikono misafi! Vipi Tendwa mikono yake ni misafi...?!!! Nikipata nauli ntakuja mjomba
   
 9. Puppy

  Puppy JF-Expert Member

  #9
  Feb 27, 2012
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 2,276
  Likes Received: 663
  Trophy Points: 280
  Hao polisi wanawajua wameru? Round hii wakaazime mpaka Alshabaab
   
 10. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #10
  Feb 27, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Mkubwa!

  Huyu kweli atakuwa na mikono misafi?
  Mi simwamini hata punje!
   
 11. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #11
  Feb 27, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Kobe hupata ujasiri pale anapotoa kichwa nje!
   
 12. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #12
  Feb 27, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Lakini hata polisi wa hapa A town wanawatambua Wameru kbs kwa 100%
  Labda kweli wakawaazime hawa jamaa wa Al-Shabaab ama Boko Haram pale Lagos!
   
 13. Losomich

  Losomich JF-Expert Member

  #13
  Feb 27, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 373
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Tendwa mikono yake ni michafu sana, yamejaa magamba mazito yanayoficha uchafu mwingi mpaka ananuka. Tendwa ni hovyo sana, Dr. Slaa alishawahi kusema Tendwa ana kichaa, nami nasadiki kwa asilimia 100%.
   
 14. F

  FJM JF-Expert Member

  #14
  Feb 27, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Pengine Tendwa anataka polisi wam-tip kabla hawarusha mabomu ya machozi kama wazee wa kimeru walivyom-tip kuhusu nia yao ya kudhuru Lema?
   
 15. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #15
  Feb 27, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Nina hofu Andengenye anaweza akam-tip kabla ya kampeni haijaanza!
   
 16. marejesho

  marejesho JF-Expert Member

  #16
  Feb 27, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 6,539
  Likes Received: 830
  Trophy Points: 280
  Tafadhalini sana nyie wahesabu kura na watangazaji matokeo!!Tunataka haki!!Mziki wa Wawameru hata polisi hawauwezi!!!!
   
Loading...