Vigogo Mashuhuri wajitoa CUF | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vigogo Mashuhuri wajitoa CUF

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Molemo, Feb 26, 2012.

 1. M

  Molemo JF-Expert Member

  #1
  Feb 26, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Viongozi mashuhuri wa CUF wamejitoa katika chama hicho leo.Viongozi hao ni aliyekuwa meneja kampeni wa Urais wa Lipumba Bw Said Miraji na aliyekuwa mgombea ubunge wa jimbo la Temeke kupitia CUF Bw Kadawi Lucas Limbu.Viongozi hao kwa pamoja wamesema wanajitoa CUF rasmi leo kutokana na vurugu kubwa zinazoendelea ndani ya chama hicho na pia wasingependa kuona chama hicho kikizikwa wakiwa bado wanachama.SOURCE: CHANEL TEN
   
 2. Idimulwa

  Idimulwa JF-Expert Member

  #2
  Feb 26, 2012
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 3,384
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Ama kweli"wakati ni ukuta..."CUF ndiyo inakufa hivihivi!...Ninapo jaribu ku recall enzi za NGANGARI na NGUNGURI ya IGP Mahita...siamini.RIP CUF.
   
 3. m

  mwikumwiku Senior Member

  #3
  Feb 26, 2012
  Joined: Jul 15, 2011
  Messages: 153
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwani Cuf haijafa tu? Lipu lipu lipu lipu lipumba!!!!!! Yuko wapi vile!
   
 4. OSOKONI

  OSOKONI JF-Expert Member

  #4
  Feb 26, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 10,798
  Likes Received: 3,883
  Trophy Points: 280
  nini mustakabali wao kisiasa au wameamua kuachana na siasa kabisa!! CUF is a dying horse!!it kicks very hard!!
   
 5. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #5
  Feb 26, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,481
  Likes Received: 12,757
  Trophy Points: 280
  Wamehamia wapi jama wafanye fasta waje huku kwetu

  kwetu pazuuuri nimeshapakumbuuka
   
 6. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #6
  Feb 26, 2012
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Masahihisho kidogo, ni Kadawi Lucas Limbu, aliyegombea Temeke.
  Lakini bado utamsikia mtatiro akijibodoa kwamba bora wameondoka wenyewe kwakuwa baraza kuu lilikuwa na mpango wa kuwafukuza.
  Ukimsikiliza ismail justa atakwambia hao ni wakristo ndio sababu wameamua kujiengua!

  Cuf kinakwenda kaburini, la sivyo maalim seif aachie ngazi kama anakipenda chama chake!
   
 7. M

  Makamuzi JF-Expert Member

  #7
  Feb 26, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 1,157
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  Mtatiro mapovu yanazidi kumtoka,hongereni kwa kujitoa CCM B ila mnafuata Hamad kwenye chama chake kipya.
   
 8. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #8
  Feb 26, 2012
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  unamaanisha kufa?
   
 9. D

  DOMA JF-Expert Member

  #9
  Feb 26, 2012
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 946
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 45
  Tunahitaji tukifika 2015 tuwe na vyama viwili tu, cdm kama chama tawala na ccm kama chama cha upinzani
   
 10. mshikachuma

  mshikachuma JF-Expert Member

  #10
  Feb 26, 2012
  Joined: Dec 2, 2010
  Messages: 2,853
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Rip Cuf....wananchi tulikupenda sana lakini mungu amekupenda zaidi!
  bwana alitoa na bwana ametwaa.....jina la bwana lihabudiwe daima!
   
 11. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #11
  Feb 26, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Maalim seif anatakiwa kutoka mafichoni kuokoa chama. Naona ukimya wake na huu mwendelezo wa kujitoa kwa wanachama hautakiwi kuachwa bila ufumbuzi. Kufikia 2015 chama cha CUF kinaweza kisiwepo tena.
   
 12. Mlengo wa Kati

  Mlengo wa Kati JF-Expert Member

  #12
  Feb 26, 2012
  Joined: Feb 16, 2011
  Messages: 2,733
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  R.I.P CUF nduguyo Chadema atakufuata pia!
   
 13. mshikachuma

  mshikachuma JF-Expert Member

  #13
  Feb 26, 2012
  Joined: Dec 2, 2010
  Messages: 2,853
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Ha wapi! BIG NO....Chadema ni chama makini na kina watu makini
   
 14. Father of All

  Father of All JF-Expert Member

  #14
  Feb 26, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 3,093
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Hao wameamua kuchana na aibu na kashfa ya kugeuzwa nyumba ndogo ya CCM. Heri wamuachie Seif Sharriff aibu yake na mtu wake Ismail ****.
   
 15. M

  Molemo JF-Expert Member

  #15
  Feb 26, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Nakushukuru mkuu nimeshafanya masahihisho
   
 16. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #16
  Feb 26, 2012
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Clear wishful thinking.
   
 17. M

  Molemo JF-Expert Member

  #17
  Feb 26, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Hakika CUF inakwenda kaburini
   
 18. Idimulwa

  Idimulwa JF-Expert Member

  #18
  Feb 26, 2012
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 3,384
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Keep on dreaming.
   
 19. M

  Molemo JF-Expert Member

  #19
  Feb 26, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Ndugu wa CUF ni CCM ndivyo vyama shirika vinavyoongoza serikali.
   
 20. Eliphaz the Temanite

  Eliphaz the Temanite JF-Expert Member

  #20
  Feb 26, 2012
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 2,836
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  RIP CUF ngangari!
   
Loading...