Anna Makinda: Nakuja Kugombea Jimbo Lako 2015 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Anna Makinda: Nakuja Kugombea Jimbo Lako 2015

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Muke Ya Muzungu, Feb 27, 2012.

 1. Muke Ya Muzungu

  Muke Ya Muzungu JF-Expert Member

  #1
  Feb 27, 2012
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 3,451
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  Napenda kutangaza nia ya kugombea jimbo la Mama Anna Makinda 2015. Mama naona kashindwa kazi, tangu aingie madarakani hamna chochote alichokifanyia jimbo letu. Kama mwanamke mwenzake, natumai wana CCM wataniunga mkono kulikomboa chama kutoka mikononi mwa mafisadi waliomteka mama yangu nje na ndani ya Bunge
   
Loading...