Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mgombea wa ubunge ccm aliyeshindwa kura za maoni Bw Anthony msami amehamia na ameomba kugombea ubunge kupitia chadema. Katibu wa chadema wa Wilaya ya Meru bw Totian Ndonde amethibitisha kuwa Msami...
3 Reactions
106 Replies
9K Views
Mhariri wa gazeti la Guardian la tarehe 26 Februari 2012 ametoa maoni mazuri na yenye nguvu juu ya vitendo vya mauaji vinavyofanywa na Jeshi la Polisi bila kuchukuliwa hatua yoyote. Ni vema kama...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Sheria Namba 8 haiwezi kuwa Juu ya Katiba ya Zanzibar. Written by Harith Ghassany // 15/02/2012 // Habari // 1 Comment Na, Vijana wa Umoja wa Kitaifa – Zanzibar. Sheria ya Mabadiliko ya...
3 Reactions
18 Replies
2K Views
Hatari ninayoitabiri ambayo inaweza kuleta maangamizi kwa nchi yetu ni juu ya matumizi ya sheria mbalimbali zinazovunjwa na mhimili mmojawapo wa dola ili kukidhi matakwa yake binafsi au kuonyesha...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwakuwa mheshimiwa umekuwa unatufariji mara kwa mara hasa kwenye misiba iwe ya raia ua viongozi bila kuja kujali itikadi za vyama vyetu; tunakuomba uwakumbuke na wananchi wa Songea hasa...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Katika moja ya miswada iliyopelekwa Bungeni na Wabunge kwa umoja wao kutoipitisha ni ule unaohusu "KUPUNGUZA USHURU BIDHAA YA MAJI" Wabunge waliipinga kwani haina manufaa kwa mlaji badala yake...
2 Reactions
57 Replies
4K Views
Rais Jakaya M Kikwete amekuwa na hulka isiyovutia. Linapotokea tukio ambalo yeye kama Rais anatazamiwa kuonyesha njia yeye hutingwa na safari tena za nje ya nchi. Matukio ninayoyakumbuka kuwa...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Polisi mkoani DODOMA leo wamebatilisha kibali cha kufanya mkutano wa hadhara wa chama cha democrasia na maendeleo-CHADEMA.Mkutano huo ulikuwa ufanyike katika kata ya Chang'ombe eneo la standi kwa...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
salamu kwenu wana jf ! Nimekaa na kutafakali nimegundua kuna watu wana uroho wa madaraka na itakuwa kawaida sana kuona bunge letu likikosa mabadiliko kila baada ya miaka 5, hivyo nimeona ni vyema...
0 Reactions
118 Replies
9K Views
Baada ya kupita miezi kadhaa tangu bwana Kafumu atangazwe mshindi katika jimbo la Igunga hatimaye leo tar 26 Feb chama kinasherehekea rasm katika viwanja vya Samora. Gari la matangazo linapita...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Kwa siku kazaa kumetokea majibishano concern Arumeru je mmeshafanyia hizi tafiti na mkajua mtashinda? 1. Kuboresha Daftari la wapiga kura Ikumbukwe hili ndilo jambo la msingi kabla ya kuingia...
9 Reactions
42 Replies
4K Views
Kada wa CCM Arumeru atimkia CHADEMA MAMBO ndani yaChama Cha Mapinduzi (CCM) yameendelea kuwa tete baada ya mmoja kati yawalioshiriki kinyang’anyiro cha kuomba kuteuliwa kugombea ubunge wa Jimbo...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
HIli neno "huyu anakubalika" ni neno la kitapeli ambalo lengo lake ni kumtaka mtu ampigie kura au ampende mtu ambaye hana sifa za kutawala au kuwa mbunge. Utakuta mtu anakuambia au uvumi unaenea...
0 Reactions
1 Replies
952 Views
Kuna tukio la uvamizi wa mgodi wa North Mara lilitokea na kupelekea mauaji ya raia kufanywa na jeshi la polisi wilayani Tarime.Tukio lile lilisababisha rabsha nyingi kama polisi kuvamia chumba cha...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Naibu Katibu mkuu wa CUF Julius Mtatiro amesisitiza ulazima mkubwa wa kujengwa viwanda vya Tumbaku Tabora nalaani vikali vitendo vya polisi kunyanyasa raia na kuwanyang'anya raia mifugo yao.Nae...
0 Reactions
37 Replies
6K Views
Mawaziri 13 kutupwa nje Na Jacob Daffi - Imechapwa 15 February 2012 Mwanahalisi RAIS Jakaya Kikwete aweza kufanya mabadiliko katika Baraza la Mawaziri wakati wowote sasa, imefahamika. Taarifa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wana JF kitendo cha Msajili wa vyama vya siasa Jonn Tendwa kazungumza na Waandishi wa habari na kusema kuwa katika tathimini yake katika uchaguzi wa Arumeru Wazee wa kimila wamemwambia kuwa...
1 Reactions
350 Replies
29K Views
Sioni wanachokifanya haw watu zaidi ya kutuongezea gharama tu sie walalahoi. Tubaki tu na hao makatibu wakuu ambao kimsingi ndio watendaji na wanaojua kila kitu wizarani. Isitodhe tuna manaibu...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI), Robert Manumba Jeshi la Polisi linakwepa kutoa tamko la kukataa au kuthibitisha madai yaliyotolewa na Naibu Waziri wa Ujenzi, Dk. Harrison...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Tunawatathmini vipi Wanaharakati NCHINI na vuguvugu la kisiasa (Live on Star TV) 12 FEBR 2012Habari za JUMAPILI wanaJF; Leo tunaangazia harakati za makundi ya Wanaharakati NCHINI katikati ya...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Back
Top Bottom