CHADEMA kama mnataka kushinda Arumeru Mashariki kuweni makini na huyu jamaa! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CHADEMA kama mnataka kushinda Arumeru Mashariki kuweni makini na huyu jamaa!

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by Mkeshaji, Feb 24, 2012.

 1. M

  Mkeshaji JF-Expert Member

  #1
  Feb 24, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,264
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Si mwingine ni Mwigulu Mchemba.
  Alichokifanya Igunga kinajulikana.
  Na sasa ameshaanza kampeni katika jimbo la Arumeru Mashariki hata kabla ya muda uliotangazwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi haujafika.

  Leo asubuhi alikuwa katika eneo la Tengeru akifanya "fitna" kwa waendesha bodaboda wa maeneo hayo.
  mchemba2.jpg


  mchemba3.jpg mchemba1.jpg
   
 2. mamaWILLE

  mamaWILLE Senior Member

  #2
  Feb 24, 2012
  Joined: Jul 27, 2011
  Messages: 152
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Upo sawa kabisa. Igunga nilikuwepo alitoa hadi laki moja kwa kila kijiwe cha vijana. Chadema meru kuweni makini sana na huyu ***** wa kutegemea rushwa.
   
 3. M

  Mkeshaji JF-Expert Member

  #3
  Feb 24, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,264
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  [​IMG][​IMG][​IMG]
   
 4. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #4
  Feb 24, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Ataishia kuwamega wake za watu tu huyo! Arumeru si Igunga!
   
 5. F

  FJM JF-Expert Member

  #5
  Feb 24, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  CHADEMA hamasisheni vijana ili wachukue hela kwa huyu bwana maana ni kodi zao.
  Kula CCM, piga kura CHADEMA!
   
 6. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #6
  Feb 24, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,474
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Hakuna haja ya kumuhofia huyo, nadhani vijana watatumia tu hizo pesa wanazopewa ila wakati wa kupiga kura wanajua watampigia nani.
   
 7. e

  evoddy JF-Expert Member

  #7
  Feb 24, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 302
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Siyo kwamba Igunga walishinda pamoja na kutoa pesa ila waliiba kura kwa kuunda vituo feki.
  Acha atoe fedha mwisho siku CHADEMA itashinda
   
 8. Kaliua urambo

  Kaliua urambo JF-Expert Member

  #8
  Feb 24, 2012
  Joined: Apr 21, 2009
  Messages: 606
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Jamaa ni noma kwa kampeni
   
 9. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #9
  Feb 24, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  cm ya nyrere ilishakufa siku nyingi,hii ccm ya rushwa na sumu mwisho wake uko karibu.
   
 10. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #10
  Feb 24, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,768
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  Arumeru itakuwa ngumu,,Mkuu hakya mungu pale wale watu wanamzidi akili kwa mbali sana,yaani hata kabla hajaongea watakuwa walishajua anataka kuongea nini
   
 11. N

  Ngoiva JF-Expert Member

  #11
  Feb 24, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 236
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wameru watakula hela na kura hapati!
   
 12. chitambikwa

  chitambikwa JF-Expert Member

  #12
  Feb 24, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 3,940
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Tendwa hakuliona hilo kama tatizo, CHADEMA TUNAANZA KESHO KAMPENI
   
 13. M

  Mkeshaji JF-Expert Member

  #13
  Feb 24, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,264
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Anchokifanya hapo sidhani kama ni kampeni kwa tafsiri halisi ya neno.
   
 14. ndenga

  ndenga JF-Expert Member

  #14
  Feb 24, 2012
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 1,695
  Likes Received: 428
  Trophy Points: 180
  Siasa ya Tanzania ni mbaya sana. Hasa pale hata msajili wa vyama naye anaamua kuingia front kupiga kampeni kwa ajili ya chama tawala, kweli katiba mpya ni muhimu..
   
 15. S

  Shembago JF-Expert Member

  #15
  Feb 24, 2012
  Joined: Aug 20, 2011
  Messages: 332
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mchemba huyu mchumi feki,analeta hongo hapa,Piga chini magamba hayo
   
 16. Likwanda

  Likwanda JF-Expert Member

  #16
  Feb 24, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 3,854
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Jamani kama ni Mbinu nzuri kwanini msiige? Kama kweli anagawa rushwa muandalieni mtego akamatwe na takukuru kuliko kupiga makerere bure, siku hizi hata watu wanatembea na vitabu vya Dini wakiwakuta watu wanawahubiria habari njema kisha nyumba za ibada zinajaa.
   
 17. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #17
  Feb 24, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  kitakachotoa ushindi hoja sio mwigulu.
   
 18. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #18
  Feb 24, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,182
  Likes Received: 10,531
  Trophy Points: 280
  kavaa skafu ya tanzania kwa maana angevaa skafu ya ccm kwa hakika angeshalazwa mount meru...jamaa mjanja sana..

  Mkuu nakumbuka hata mimi nilikula buku kumi ya batilda buriani kipindi cha kampeni mwisho wasiku siuliona mwenyewe au sio....
  sasa hivi hela imekuwa ngetwa wacha vijana wajipatie fedha za bure hakuna tatizo hapo..
   
 19. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #19
  Feb 24, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  lema apigwa marufuku kukanyaga arumeru kwa kufanya vurugu kwenye mazishi ya sumari
   
 20. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #20
  Feb 24, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Utakuwa uko au umetoka chooni halafu hujajitawaza vizuri ndiyo maana una kurupuka tu.....
   
Loading...