JK and Somalia, alihitajika kweli? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JK and Somalia, alihitajika kweli?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Lole Gwakisa, Feb 24, 2012.

 1. Lole Gwakisa

  Lole Gwakisa JF-Expert Member

  #1
  Feb 24, 2012
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 3,962
  Likes Received: 403
  Trophy Points: 180
  [​IMG]

  LONDON - FEBRUARY 23: Delegates pose for a group photo during the Somalia Conference at Lancaster House on February 23, 2012 in London, United Kingdom. Britain's Prime Minister David Cameron has invited US Secretary Of State Hilary Clinton, UN Secretary General Ban Ki Moon and representatives from over 40 governments to participate in the London Conference on Somalia, to discuss the rebuilding of Somalia and the tackling of piracy, terrorism and famine.

  My Take:
  Please look at the picture carefully and if you are lucky you may be able to spot our dear JK.
  He is in the THIRD ROW back in the non essential invitees, while Kibaki and Museveni have stayed their ground in the front row.
  Je najiuliza , ilikuwa lazima kwenda huko kama hakuna mchngao wowote wala umuhimu wowote.
  THIRD ROW BACK nafikiri ni kujidhalilisha na kudhalilisha Watanzania.
  Hata kwa mambo madogo duniani Tanzania tulikuwa tunajulikana sana kwa msimamo unaoeleweka na dhabiti.
  Kikao hiki cha Somalia, THIRD ROW ingemfaa zaidi Waziri Membe.


   
 2. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #2
  Feb 24, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Mkuu mbona namuona President Pierre Nkurunzinza yupo mstari wa nne. Kumbukumbu zinaonyesha kwamba Burundi ina majeshi yake huko Somalia kama sehemu ya Majeshi ya Afrika (UNISOM) ina maana kwa Nkurunzinza kusimama mstari wa nne basi alikuwa ni non essential invitee?
   
 3. Lole Gwakisa

  Lole Gwakisa JF-Expert Member

  #3
  Feb 24, 2012
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 3,962
  Likes Received: 403
  Trophy Points: 180
  Mkuu kwa political and diplomatic clout hatuwezi kuwa sawa na Burundi.
  Tatizo letu ni sawa na la Goodluck Jonathan (Nigeria), vile vile Third Row, ambaye Boko Haram wanamwendesha.
  Tatizo langu ni JK kwenda huko wakati hana contribution ya maana, san sana ni kufikisha quorum kazi ambayo ingeweza kufanywa vizuri sana na Waziri Membe.
   
 4. Mtumishi Mkuu

  Mtumishi Mkuu JF-Expert Member

  #4
  Feb 24, 2012
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 260
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  The same with Goodluck Jonathan. Mwenye kofia. Au macho yangu yanaona vibaya?
   
 5. Mabwepande

  Mabwepande JF-Expert Member

  #5
  Feb 24, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 230
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Ha ha! Wamemtupia Kapuni! Aibu kweli kweli!!
   
 6. Mabwepande

  Mabwepande JF-Expert Member

  #6
  Feb 24, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 230
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  kweli kabisa kaka, membe peke yake alitosha kutuwakilisha, hata kama ulichek picha jana membe ndiye aliyekuwa anasign mkataba. Jk alikuwa amesimama nyuma Anakenua meno tu.
   
 7. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #7
  Feb 24, 2012
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  kweli aibu jamani...khaaaa ..mh huyu wa ethiopia ana akili hatari yaani akiulizwa swali na waandishi wa habari ana flow vibaya sana...sasa kazi kwa huyu wa kwetu anaulizwa mambo ya economics yeye anasema urefu wa barabara wakati wa uhuru ulikuwa kilometa 50...mara hand to mouth agriculture yaani anaokoteza okoteza tu maneno mradi yalete sentensi ya kizungu ....hahaaaaa mwanakwetu jk weeee kazi unayo
   
 8. F

  FJM JF-Expert Member

  #8
  Feb 24, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  mmmmm... afadhali hata JK yuko 3rd row. Nkurunzinza nyuma kwa wasambaza chai na ma-file.! Lakini aliyeniacha hoi ni huyu kijana Goodluck Jonathan. Amekaa mkao wa kujifichaficha sana sijui anahofia Boko Haram watamuona? Kama sio hayo maguo yanayofanana na wale 'maaskofu' wetu na mikofia yake asingekuwa incognito!
   
 9. Wun

  Wun JF-Expert Member

  #9
  Feb 24, 2012
  Joined: Jun 16, 2008
  Messages: 353
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Kazi kweli kweli akipika picha yupo line mbele anauza sura akipika yupo line ya nyuma anadhalilisha taifa...
   
 10. ipogolo

  ipogolo JF-Expert Member

  #10
  Feb 24, 2012
  Joined: Aug 15, 2011
  Messages: 4,096
  Likes Received: 2,972
  Trophy Points: 280
  Somalia na tanzania ni nchi jirani kwa ukanda wa bahari, meli za kisomali(maharamia) zimeshafukuzwa pwani ya dsm mara kibao, tanzania na south africa na mozambique zimeingia mkataba wa kupambana na wasomali. Tz ni nia ya wasomali kupita. pale mtaa wa kongo dsm kuna wasomalia kibao tena wanaongea kiswahili kukushinda wewe mzawa.
  my opinion: hiyo picha is just a pose haina protocal concept. Simuoni Hilary mstari wa mbele. Mtoa hoja umetuharibia siku tu kwa leo.
   
 11. BINARY NO

  BINARY NO JF-Expert Member

  #11
  Feb 24, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 1,782
  Likes Received: 591
  Trophy Points: 280
  Nimesikia kua eti TANZANIA imekubali maharamia wa SOMALIA wanaokamatwa washitakiwe TANZANIA...sipati picha kwanza hao maharamia wenyewe wanateka meli za nchi nyingi na hasahasa za ULAYA,UK,US JAPAN ASIA nk....sasa kwanini sie ndo tuwe na kiherehere cha kukubali washitkiwe kwetu? kwanini wanaowakamata wasiwashitaki ktk nchi zao? lazima tuelewe Somalia hii hali hawaipendi wamekua bila serikali miaka 17 hawana kazi,shule wala huduma za afya na moja ya sababu ni km LIBYA jinsi ilivyogombanishwa na wazungu na hatujui hatima yake kwani ata juzi LIBYA wamedundanda tena....my take JK ya Somalia waachie umoja wa mataifa na sio kutugombanisha na alshabab jifunze Nigeria Boko-haram wanavyowafanya
   
 12. O

  OPTIMUS TZ JF-Expert Member

  #12
  Feb 24, 2012
  Joined: Jan 30, 2012
  Messages: 391
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jk taifa stars imemshinda mziki wa shaabab atauwezea wapi mwacheni ale bata iko siku ataruka ashwinde kutua
   
 13. t

  timbilimu JF-Expert Member

  #13
  Feb 24, 2012
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 4,782
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Ilikua muhimu JK kuhudhuria ktk mkutano huo. Watanzania wenzangu tutambue kwamba Somalia yenye vurugu inasababisha eneo lote la Afrika Mashariki kukosa amani na kuathiri uchumi.
   
 14. MchunguZI

  MchunguZI JF-Expert Member

  #14
  Feb 24, 2012
  Joined: Jun 14, 2008
  Messages: 3,623
  Likes Received: 590
  Trophy Points: 280
  Tatizo la huyu ni safari ya Ulaya! Siyo kuhusika au kuwa na mchango wowote. Ni wapi ameweza kutoa mchango wa maana?

  Asingeweza kubaki wakati anaelewa mkutano uko London.
   
 15. M

  Malova JF-Expert Member

  #15
  Feb 24, 2012
  Joined: Apr 21, 2011
  Messages: 777
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Bora angetoka tu. Anaharibu picha yao
   
 16. Lole Gwakisa

  Lole Gwakisa JF-Expert Member

  #16
  Feb 24, 2012
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 3,962
  Likes Received: 403
  Trophy Points: 180
  Ndiyo nasema kazi hiyo anaweza kuifanya Membe at a cost benefit advantage, kwa hivi sasa tuna expose our lack of diplomatic clout kwa kumpeleka Mh Rais kwa mambo ambayo hana mchnga wa dhariri.
  Pengine kama kuna kitu ambacho hatuambiwi, lakini kwa kukaa nyuma ya viongozi wengine inaonekana wazi kuwa Tanzania tunaenda jaza quorum tu.
   
 17. n

  ngwendu JF-Expert Member

  #17
  Feb 24, 2012
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 1,967
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  mkuu unajibishana na taahira wa nini. kwake hata mistari inamatter.
   
 18. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #18
  Feb 24, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,918
  Likes Received: 2,348
  Trophy Points: 280
  Huu ndo tuaita umbumbu wa diplomasia na protokali,hata Rais wenu akidharauliwa ugenini watu mnachekelea kama mataahira wa ukweli.
   
 19. Mauza uza

  Mauza uza JF-Expert Member

  #19
  Feb 24, 2012
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 2,068
  Likes Received: 785
  Trophy Points: 280
  ina maana JK kamchukua na Mwakyembe kwenye msafara wake ili akatibiwe london maana mkofia mweusi huyo jamaa wamefanania na dr. mwakyembe au ni macho yangu..
   
 20. Lole Gwakisa

  Lole Gwakisa JF-Expert Member

  #20
  Feb 26, 2012
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 3,962
  Likes Received: 403
  Trophy Points: 180
  Kwa wale mliokuwa mkifikiri nafanya utani na analysis ya picha hii hebu mjipatie copy ya gazeti la East African ya leo tar 27 Feb 2012. Page 6, body language ya picha.
  Analysis ya picha inasema kweli JK alikuwa msindikizaji tu.
  Jamani tuaaibika kimataifa.
   
Loading...