Gazeti la Uhuru laandika; Wazee wa kimilia Arumeru Hawataki Kumuona Lema!

reformer

JF-Expert Member
Jul 22, 2011
387
101
Gazeti la udaku la Uhuru lanalotumiwa na magamba limeripoti kuwa, wazee wa kimila wilayani Arumeru hawako tayari kuonana na Mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema kwa ajili ya kuombwa msamaha kwa dharau alizowaonyesha wakati wa mazishi ya J. Sumari kama ilivodaiwa na J. Tendwa.

My take:
Huu ni mwendelezo wa propaganda za kitoto, uongo na uzushi wa CCM kupitia gazeti hili.

Nimesikia kuwa mkuu wa hili genge la kimila ana mahusiano na familia ya marehemu Sumari...na inasemekana kuwa hili genge limegawanyika..kuna waliogundua kuwa mkuu wao anawazunguka na kutaka kulinda maslahi ya chama cha mapinudzi...na ndio maana tunasikia habari tofauti tofauti...

huyu mkuu wa hili genge ni janga kwa Taifa...Inasemakana huyu mkuu wa hili genge alitaka kuitisha sherehe ya kuwashukuru wananchi kwa kushiriki kwenye msiba kwa kuandaa chakula cha kula wananchi wote..baadae ikasemekana hiyo ni rushwa,ndio hili genge likakubaliana kuipeleka hiyo shukrani kanisani.

Hili naliita genge tena la maharamia wanaotaka kuchafua amani yetu,kama watawala wanania ya dhati ya kujenga amani basi wawe wa kwanza kuwakemea hawa wazee.
 
kumbe gazeti la uhuru bado liko kwenye soko eeh? sijaona hata wakifungia chapati!
 
Unaweza kuthibitisha kwamba hizi ni propaganda za kitoto, uongo na uzushi wa CCM?
 
kumbe gazeti la uhuru bado liko kwenye soko eeh? sijaona hata wakifungia chapati!
hawa watu wote wanaohusika na 'ujenzi wa Babeli' wamechanganyikiwa wote, maana hakuna anayetaka kushuhudia jinsi unavyoporomoka na inabakia kila mmoja kama kawaida kusema la kwake. Kazi kweli
 
Nathibitisha Kuwa Hizo ni Propaganda za Kitoto kwani hii Nchi ni Huru! Na Hakuna Mtu na Utashi wake au Kundi Fulani linaweza Kumsimamisha Mtu fulani kwenda sehemu fulani kwa Utashi wao Binafsi!! Ila nadhan Mwisho wake utakuwa baada ya Huyo dogo Kupigwa chini na Magamba then hao wazee hawatakuwa na personal Interest
 
nyere alisema haka kanchi kananuka rushwa alipokkuwa hai,leo hii angekuwa hai angesema haka kaJOHN TENDWA kananuka rushwa,mkaogope kama ukoma.. ccm inasaidiwa na vyombo vingivya serikali,.msajili wa vyama vya siasa,tume isiyo huru ya uchaguzi,polisi,mahakama,jeshi la kulinda taifa
 
Nimesikia kuwa mkuu wa hili genge la kimila ana mahusiano na familia ya marehemu Sumari...na inasemekana kuwa hili genge limegawanyika..kuna waliogundua kuwa mkuu wao anawazunguka na kutaka kulinda maslahi ya chama cha mapinudzi...na ndio maana tunasikia habari tofauti tofauti...

huyu mkuu wa hili genge ni janga kwa Taifa...Inasemakana huyu mkuu wa hili genge alitaka kuitisha sherehe ya kuwashukuru wananchi kwa kushiriki kwenye msiba kwa kuandaa chakula cha kula wananchi wote..baadae ikasemekana hiyo ni rushwa,ndio hili genge likakubaliana kuipeleka hiyo shukrani kanisani.

Hili naliita genge tena la maharamia wanaotaka kuchafua amani yetu,kama watawala wanania ya dhati ya kujenga amani basi wawe wa kwanza kuwakemea hawa wazee.

Pamoja na haya yote, kwanini Lema atoe maneno ya kashfa kwenye msiba? mdomo wake huwa unatoa maneno kabla ya ubungo kuyafanyia kazi?
 
Hao ni wazee wa mila potofu, wana akili mbofu mbofu, wamechanganyikiwa kwa kukosa matibabu, lakini msijali, vijana watarekebisha kukengeuka kwa hivyo vishili.
 
Ninavyojua Lema atakuwa anatokea kwenye mikutano, sasa kama hao wazee hawataki kumuona, mbona ni rahisi tu? Wasiende kwenye mikutano ambayo Lema atakuwapo, watakuwa wamefanikiwa kutomuona Lema. Sasa kama mtu hutaki kumuona mwenzako, kuna haja ya kutangaza gazetini, si unajifungia ndani tu?
Mkuu ni bahati kuktana na baadhi ya wazee nikawatupia swali hili walishangaa maana wengine hata hawakujua kwa mara ya kwanza walisikia kutoka kwa Tendwa na wale wazee wana chama chaowame ahidi kukutana tarehe 29.02.2012 kutoa kauli ya pamoja...tusubiri tuone nini kitatokea
 
mimi nadhani sio sawa kupoteza muda kuliandama gazeti la uhuru. wote tunajua kwamba hilo ni la propaganda za ccm kama ambavyo sisi la kwetu ni tanzania daima na la cuf ni al nuur.
 
Gazeti la udaku la Uhuru lanalotumiwa na magamba limeripoti kuwa, wazee wa kimila wilayani Arumeru hawako tayari kuonana na Mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema kwa ajili ya kuombwa msamaha kwa dharau alizowaonyesha wakati wa mazishi ya J. Sumari kama ilivodaiwa na J. Tendwa.

My take:
Huu ni mwendelezo wa propaganda za kitoto, uongo na uzushi wa CCM kupitia gazeti hili.

:smash:
 
Back
Top Bottom