Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

...Tangu mwaka 1992; pale, mfumo wa vyama vingi vya siasa (maarufu kama, demokrasia ya vyama vingi vya siasa) uliporuhusiwa kwa Sehria Na. 4 ya mwaka 1992, vyama vimekuwa vikianzishwa na au...
0 Reactions
1 Replies
892 Views
nape kupitia katika simu yake ya mkononi amesema CCm lazima kishinde Arumeru , kwani ni chama makini na kama kikishindwa ujue kimeanza kufa, nayeye anaamini chama hiko bado kipo imara hivyo...
0 Reactions
65 Replies
7K Views
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha (RPC).Thobias Andengenye akipanda mti wa ukumbusho wa uzinduzi wa kituo cha polisi cha Mto wa Mbu kilichopo Wilaya ya Monduli Mkoani Arusha baada ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kutokana na taifa letu kuwa ICU kifwdha kwa sasa, tunamuhitaji mtu mchapakazi ambaye atazalisha zaidi. Haijalishi kama atatumia 60 baada ya kuzalisha 100, kwani 40 alobakisha itawafanyia...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wakazi 69 wa Halmashauri ya Manispaa ya Songea Mkoani Ruvuma wamefikishwa Mahakama ya Wilaya ya Songea kujibu mashitaka ya kushiriki katika mkusanyiko usio wa halali na kuharibu mlango mmoja wa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ripoti uozo TBS yaiva- Njama za kuizima zaandaliwa Kamati ya Bunge ya Mahesabu ya Mashirika ya Umma ( POAC) imebaini matatizo mengi ndani ya TBS yakiwemo ukaguzi wa bidhaa usiokidhi viwango...
0 Reactions
0 Replies
996 Views
Pinda ashtushwa askari kuishi nyumba za tope WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda juzi alishtushwa na nyumba za tope wanazoishi askari Magereza katika Gereza la Kanegere lililopo Kata ya...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Sat, Feb 25th, 2012 Tanzania | Zitto Kabwe (Kigoma-North, Chadema), who also doubles as chairman of the Parliamentary Committee on Public Organizations Accounts Committee (POAC). The...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wanabodi.. Mwenendo wa kisiasa, kati ya watani wa jadi CCM na Chedema sasa umeanza kuzua mijadala ndani ya jamii. Wananchi wanahoji iko wapi kasi na upepo wa mabadiliko ilikuwa nao Chadema...
5 Reactions
168 Replies
13K Views
Naibu katibu mkuu wa CUF Julius mtatiro ameitaka serikali kuacha kupuuza suala la mfumuko wa bei, kwani limekuwa janga kwa wananchi na kwamba, linaweza kuleta athari kubwa kwa uchumi wa nchi...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
  • Closed
Kwanza mlisema ni propaganda za kisiasa,lakini tukashuhudia mzee James mapalala akiondolewa,hatimae akafuatia Wilfred Rwakatare. Tumeshuhudia mara kadhaa kwenye kampeni zenu majukwaani jinsi...
0 Reactions
29 Replies
2K Views
Leo kutakuwa na baraza la kawaida la madiwani (full council) katika manispaa ya kinondoni saa 5 asubuhi hii. katika baraza hilo kuna mambo mengi yatakayojitokeza, ikiwemo miradi mingi ambayo...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Kelele Zote ambazo Zitto,mnyika,pro-cdm mulizokuwa munapiga kuhusu mkonge nilijua wananchi wa Tanga wapo upande wenu kumbe kimbelembele chenu ndicho kilichokuwa kinawasumbua. Wananchi wa Tanga...
2 Reactions
174 Replies
18K Views
Na Nasra Abdallah na Asha Bani MTANDAO wa Mashirika ya Haki za Binadamu Kusini mwa Afrika (SAHRiNGON), umemtaka Rais Jakaya Kikwete, kuwawajibisha Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma na Kamanda wa Polisi...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
UMOJA wa Vijana wa CCM (UVCCM) Jimbo la Arumeru Mashariki umeomba Kamati ya Utekelezaji ya Wilaya na Mkoa ya Vijana kumchukuliwa hatua za kisheria Kennedy Mpumilwa kwa madai ya tabia ya kuharibu...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
  • Closed
Mkulu haachi kitu sasa hivi anahudhuria sherehe za miaka 50 ya Chama cha Kidemokrasia nchini Botswana....amabapo hata Mzinduzi angweza kwenda. Madelina Albright aliwahi kunukuliwa...
2 Reactions
38 Replies
4K Views
Wadau mimi napendekeza CDM kumpitisha J. nassary kupeperusha bendera ya chama huyu kijana yupo fiti namfahamu
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Mkuu wa Jeshi la Polisi, Said Mwema, amesema amesikitishwa na kusononeshwa sana na mauaji ya watu wanne yaliyofanywa hivi karibuni katika mji wa songea na vijana wake askari wa jeshi la polisi...
2 Reactions
71 Replies
7K Views
Naamini mnakumbuka kuwa uchaguzi 2010 jimbo la Nzega H. Kigwangala alishindwa kwenye kura ya maoni lkn alipitishwa tu kwa mizengwe. Baada ya kushinda uchaguzi mkuu akaanza kazi kwa mbwembwe...
3 Reactions
67 Replies
7K Views
Wa JF kuna post moja nilisoma humu JF ikisema kuna leo jumamosi kuna mkutano wa chadema kimara bonyokwa. Pls mwenye taarifa anijuze kama kuna mabadiliko yoyote kwani nimejiaanda vema kusikia...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Back
Top Bottom