Zitto Kabwe na uzalendo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Zitto Kabwe na uzalendo

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by TEMILUGODA, Feb 24, 2012.

 1. T

  TEMILUGODA JF-Expert Member

  #1
  Feb 24, 2012
  Joined: Feb 11, 2012
  Messages: 1,367
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Ninawasalimu wana JF!

  Nimefuatilia sana ziara ya Naibu katibu mkuu wa Chadema mh. ZITTO Z. KABWE Mkoani Tanga na kugundua somo kuu ni uzalendo.

  Mambo ni mengi ya uzalendo, lakini kubwa ni wananchi kupendana na kuaminiana katika mambo ya msingi kwa manufaa ya ujenzi wa nchi yetu Tanzania bila kujali dini zetu, kabila na rangi zetu.

  AMETOLEA MFANO WA HOJA YA ZAO LA MKONGE LILIVYOCHANGIWA NEGATIVELY NA WABUNGE WA TANGA KWA ITIKADI ZA KISIASA BADALA YA UTAIFA [UZALENDO].

  HIVI NDIVYO NILIVYO MIMI JAPO KWA UCHACHE.
   
 2. m

  mwana wa africa JF-Expert Member

  #2
  Feb 24, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 490
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  nilikuwepo pale kwenye uwanja wa tangamano na nilimsikiliza na kumsoma vizuri na kutambua kuwa chadema wana bahati ya kuwa na mwanasiasa ambaye anaweza kuwakilisha vizuri na kwa ufasaha malengo ya chama chake na dhamira yake binafsi ndani ya chama na kuwa lengo kuu ni kuwasemea wananchi wanyonge wasio na sauti kwa kuwakilisha mawazo yao sehemu husika (bungeni) zitto ni kieelelezo cha uzalendo na mtetezi wa kweli wa wanyonge. hoja zake za kufufua kilimo cha mkonge na kororosho zinastahili kuungwa mkono na kila anayeitakia mema nchi hii.
  the gay is potential. live long zito!
   
 3. doctorz

  doctorz JF-Expert Member

  #3
  Feb 24, 2012
  Joined: Aug 10, 2010
  Messages: 907
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Kinyume cha UZALENDO ni UFISADI.
   
 4. Halfcaste

  Halfcaste JF-Expert Member

  #4
  Feb 24, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 973
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 45
  Umeteleza jamani Not Gay(shoga).think Guy
   
 5. T

  TEMILUGODA JF-Expert Member

  #5
  Feb 25, 2012
  Joined: Feb 11, 2012
  Messages: 1,367
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Unajua kuna wengine UFISADI NI ITIKADI YAO?KWA HIYO HAO SI WAZALENDO ANAOSEMA MH.ZITTO,HIVYO MTU ANAYESHINDWA KUTUMIA AKILI VIZURI ALIZOFUNDISHWA KWA KODI YA WANANCHI NAYE NI FISADI NA SI MZALENDO KWA MFANO MAJIMAREFU,NASRI,DR BANA,EL,VIJICENT,OLE SENDEKA,ANAKILANGO NA WENGINE WENGI.
   
 6. M

  Mkandara Verified User

  #6
  Feb 25, 2012
  Joined: Mar 3, 2006
  Messages: 15,443
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Zitto ameyazungumza haya kwa niaba ya chama na UZALENDO kwa nchi yetu ni mgumu sana kupatikana ikiwa vijana hamtaweza kuwaunga mkono watu kama Zitto na nadhani inatokana na weledi mfinyu wa hali halisi..

  Sijui ni watu wangapi wanaelewa jinsi mashamba ya Mkonge yalivyouzwa ama kuchukuliwa na Wachina huko Kilosa na kwingineko. Na bila shaka tayari serikali pengine ina mpango wa kuyauza hata mashamba ya tanga na sehemu nyinginezo maana serikali haina fedha za hata kuiendesha, kama Mkapa walivyouza mashirika yetu kukidhi matumizi yao makubwa.

  Nakumbuka vizuri sana mpango wa Millenium wa Bush ambao ni ahsante kwa serikali yetu kuwapa Barricks mradi mkubwa wa dhahabu karibu na bure tukapewa vijisenti kuendeleza mabarabara yetu nchini. Hapo Wabunge wengi wakaunda mashirika ya ujenzi wa barabara kwa kutumia jamaa zao na kuchukua tenda za serikali, jambo ambalo fedha tulizopewa zimekwisha hali mabarabara hayakujengwa ama yamejengwa kwa kiwango cha chini kabisa... Ni Ufisadi, Ufisadi Ufisadi kila kona tunaliwa kama tasi aliyechomwa Kawe club..

  Kama kweli wananchi mnaitafuta change basi wakati ni huu, pasipo kujali vyama vyenu, imani zenu, Unazi, makundi na mengineyo mnatakiwa nyote kuungana na vijana hawa iwe ktk jukwaa la CDM ama CCM kuonyesha nguvu ya UMMA dhidi ya utawala mbaya tulokuwa nao maana aibu sii ya JK na CCM tu bali Tanzania nzima kwa ujumla wake.
   
 7. m

  mopaomokonzi JF-Expert Member

  #7
  Feb 25, 2012
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 312
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  aache kwanza kupokea hela tokea mashiriks ya umma. Ningetumwa kumchukua kijana mmoja mwenye uwezo wa kupokea rishwa kubwa bila aibu, ni zito kabwe. Watanzania rahisi sana kudanganyika. Zito! Zito? Anatofauti gani ns chenge? Anatofauti gani na el? you guy you very miopic. Mtoto wa mjane ana magorofa ana hummer ana mamilion, amewachenga kidogo tu mnashangilia kama mazuzu
   
 8. T

  TEMILUGODA JF-Expert Member

  #8
  Feb 25, 2012
  Joined: Feb 11, 2012
  Messages: 1,367
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Kama kweli hizo ndizo fikra zako basi inatakiwa upelekwe Mirembe maana ungempeleka mahakamani kwa ufisadi au ushtaki kwa namna nyingine ile.LAKINI KAMA NI INDIVIDUAL DIFFERENCE KATI YAKO NA ZITO BASI HAPA SI MAHALI PA KUMBEZA KWA NAMNA ANAVYOLIJENGA TAIFA HILI FOR Future sustainability.CHA MSINGI UNGANA NA TIMU YA UZALENDO HATA WEWE MLETE UNAYEONA NI ROLEMODDLE TUCHUKUE FALSAFA YAKE TUITANGAZE KWA WANANCHI WENZETU KWA UJENZI WA TANZANIA TUITAKAYO.KULALAMIKA NA WIVU WA KIJINGA SI TIJA BALI TIJA NI UMOJA NA UCHAPAJI KAZI NDIO UZALENDO.
   
 9. L

  Ludewa JF-Expert Member

  #9
  Feb 25, 2012
  Joined: Mar 9, 2009
  Messages: 215
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  "Masaburi" yako.
   
 10. M

  Mabewa Senior Member

  #10
  Feb 25, 2012
  Joined: Oct 30, 2011
  Messages: 128
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kaka acha kulalamika..weka hivyo vitu hapa tujadili pamoja kuliko kulalamika,hata kama yy unamwita fisadi lkn anaonyesha njia,pia tutofautiane utajiri si ufisadi inategemea huo utajiri umeupata kwa njia gani?juwa yule ni kiongozi anamalengo yake ya maisha pia
   
 11. nice 2

  nice 2 JF-Expert Member

  #11
  Feb 27, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 746
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Inaonyesha hujafuatilia kwa karibu mambo Zitto alikuwa anazungumzia uko Tanga... kwa taarifa yako amesema atakuwa mstari wa mbele, akihamasisha na viongozi wengine waweke fomu za mali na madeni yao kwenye mtandao ili wananchi wote tuweze kujua mali wanazomiliki. Hii itakata kiherehere cha watu kama nyie mnaosema anamiliki mali nyingi, kwa sababu mtatakiwa kuthibitisha maneno yenu au kutoa vielelezo ili viongozi hao waweze kuchunguzwa na ikibainika wanadanganya waweze kushughulikiwa.
  Kwa hili nampongeza sana Zitto maana atakuwa amekata mzizi wa fitina na vizabizabina.
  Zitto ni mzalendo kweli kweli, whether you like it or not, you have to swallow.

   
 12. OLESAIDIMU

  OLESAIDIMU JF-Expert Member

  #12
  Feb 27, 2012
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 19,193
  Likes Received: 182
  Trophy Points: 160
  It is too risky to trust a too smart politician........................
   
Loading...