Wana JF naomba mtu mwenye data kamili kuhusu washiriki na MATOKEO Yao ya ubunge (percentage) wa ARUMERU mashariki anijuze.
I know things are dynamic and can not be used solely to Predict outcome...
Kumezuka mgogoro ndani ya UVCCM arusha kuwa mhe mwigulu nchemba amekuwa akifanya ziara arumeru mashariki ambayo haikuwa na baraka za chama. Mmoja ya vigogo wa UVCCM mkoa wa arusha amesema huyu...
Nahodha: Sijui DCI Manumba alikoitoa ripoti ya Mwakyembe
Send to a friend
Monday, 27 February 2012 19:55
digg
Waziri wa Mambo ya Ndani,Shamsi Vuai Nahodha
ASEMA UCHUNGUZI BADO UNAENDELEA...
Niseme tu machache, ambayo yanahusiana na nchi yetu Tanzania. Awali ya yote Mimi mtanzania ninaeishi ughaibuni. Naandika hii page ikiwa ni ujumbe mzito kwa raisi wetu. Pia nataka waTZ wenzangu...
Mchakato wa Katiba mpya bado ni mjadala endelevu hadi hapo itakapopatikana.
Mwishoni mwaka 2011 Wabunge hasa wa CHADEMA hawakuridhika na maamuzi ya Bunge kuupitisha mswada huo. Walitoka nje...
Makamu wa Rais Dk.Mohammed Bilal amepita muda si mrefu eneo la Mwanjelwa jijini Mbeya akiwa na msafara wake wenye magari kadhaa.
Kilichoshitua watu wengi ni ile kasi ya mbio za mwenge...
Uraia wa SIOI utata mtupu,CCM kutangaza mgombea mpya ARUMERU leo.
Chanzo:magazeti ya leo.
============
Updates:
Wakuu nimerudi na taarifa kamili sasa.
Taarifa kamili ni kwenye GAZETI LA...
Wakati kukiwapo na waraka wa Serikali unaopiga marufuku magari ya yake kutembea baada ya saa za kazi bila kibali maalumu, magari hayo sasa yanaonekana kwenye baa na kumbi za starehe nyakati za...
Niko songea muda huu, polisi wanarusha mabomu ya machozi ovyo.
Kuna taarifa ambazoo sijazithibitisha kuwa mtu mwingine ameuwawa mchana huu, na nyingine zinasema wananchi wamekamata wauwaji...
Vuguvugu la kuwapata wagombea watakaochuana na hatimaye kupigiwa kura kujaza nafasi ya Ubunge iliyoachwa wazi wa marehemu Jeremiah Sumari inashika kasi.Ninachowaomba wana-Arumeru Mashariki...
Mwanzo » Habari
Mama Maria ataka wake za viongozi kutambua dhamana zao
Na Mwandishi wetu
26th February 2012
Mke wa Hayati Baba wa Taifa, Mama Maria Nyerere amewataka wake...
Na Reginald Miruko - Imechapwa 15 February 2012
MPANGO wa kuzima wabunge kugombea ujumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) nusura umwengue Rais Jakaya Kikwete...
Imefika mahala sasa kwa kila mtu makini kuielezea hali halisi ya TZ katika the most critical and extreme way possible maana hali halisi ya sasa TZ haielezeki otherwise. ..Tunaona versions tofauti...
Jana mji wa Tabora mjini (viwanja vya salama)ulizizima baadaya mkutano mkubwa uliofanywa na CUF ukihutubiwa na Naibu katibu mkuu bara Mtatiro Julius na Mbunge wa Tabora viti maalum CUF Magdalena...
aliyekuwa mhariri wa family mirror, bwana Musendo
Ilikuwa siku, wiki mwezi na miezi na hatimaye miaka mitatu na miezi kadhaa ilikwisha, Zephania Musendo alijikuta kuwa mtu huru tena juzi...
Wanajamii;
Kwa wafuatiliaji wa habari bila ya shaka watakua wamegundua kuwa Makamu Wa Rais Mh. Dk Bilali kwa kipindi kirefu sasa amekuwa katika ziara za kikazi mikoani na wilayani na kupewa kipau...
Baada kuwa na ziara katika mikoa ya Rukwa na Mbeya hatimaye leo ameanza ziara ya siku tatu huku kama kawaida ya mkasi wake ataendelea na ufunguzi miradi mbalimbali na hatimaye kuhitimisha ziara...
Mzimu wa kufukuzwa uanachama kwa Mbunge wa Wawi, Hamad Rashid Mohamed, na wenzake 10, umezidi kukiandama Chama cha Wananchi (CUF), baada ya wanachama wake 136, mkoani Tanga, akiwamo aliyegombea...
Poleni na msiba wa mzee wetu mpendwa na mnyenyekevu wanajamvi wenzangu........kuna tetesi nyingi sana kuhusiana na chanzo cha ajali iliyosababisha kifo cha hayati Sokoine,mojawapo ikiwa ni kwamba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.