Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wanabodi.. Mgogoro mkubwa unakinyemelea Chadema wilayani Arumeru baadhi ya wananchama na wagombea waliochukuwa fomu za kuomba nafasi ya kupeperusha bendera ya chama hicho. Wagombea pamoja na...
3 Reactions
139 Replies
12K Views
Inashangaza kuona mkulu amerilax sana kuhusu Mwakyembe. Watanzania wameona jinsi viongozi wakuu waandamizi wanavyotofautiana lugha hasa DCI, Waziri wa mambo ya ndani, Waziri wa afya na hata Mzee...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
MVUTANO mkali unadaiwa kuibuka katika kikao cha Kamati ya Siasa ya CCM mkoani Arusha baada ya baadhi ya wajumbe kupinga uongozi wa chama hicho Wilaya ya Arumeru, kumpitisha Sioi Sumari kugombea...
3 Reactions
66 Replies
8K Views
Unakumbuka ulimsingizia Mzee mtei kuwa alikuomba ugombee ubunge kupitia Chadema ukakataa kuwa ni chama cha Wachaga. "Tena uandike kabisa, mimi ndiyo ninao ushahidi wa wao kunitaka nikagombee...
3 Reactions
42 Replies
5K Views
Kila la kheri.Tunaamini ushindi ni kwa Joshua Nassary
0 Reactions
38 Replies
4K Views
Waziri wa Mambo ya Ndani,Shamsi Vuai Nahodha ASEMA UCHUNGUZI BADO UNAENDELEA NA MATOKEO ATATANGAZA YEYE, ATAKA MANUMBA AULIZWE MWENYEWE CHANZO CHA TAARIFA YAKE Ramadhan Semtawa WAZIRI wa...
0 Reactions
79 Replies
7K Views
Nimejionea leo hii kwenye habari ya jioni ya ITV.Pale wale waathirika wa mafuriko ya jangwani waliorundikwa kwenye jengo la kiwanda cha maziwa Ubungo,kwa miezi mitatu sasa,wanawake,watoto na baba...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Bibi Amina Saidi Mrisho kuwa Kamishna wa Sensa ya Mwaka 2012. Aidha, Rais...
4 Reactions
56 Replies
9K Views
Dr. Mwakyembe amekuwa mmoja kati ya wale wachache wanaolengwa na mafisadi kunyamazishwa kwa njia yeyote ile. Bahati mbaya sana amekamatika na tayari afya yake imezurika kwa kiasi kikubwa sana. Rai...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Katika kuelekea uchaguzi mdogo Jimboni Arumeru Mashariki vimbwenga vingi vimeshaanza kuonekana na vingi vinasikitisha kutokana na makundi yaliyojitokeaza mengi yakitamani yule wao wanaomtaka ndiye...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Kinadharia ni rahisi kusema kwamba Katiba iandaliwe au itokane na mawazo ya wananchi, lakini ki uhalisia, jambo hili linakuwa gumu na linahitaji jitihada za wananchi wenyewe ambao ndio hasa wenye...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
BARAZA la Wanawake wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), mkoani Kilimanjaro (Bawacha), limemtaka Msajili wa Vyama vya Siasa Nchini, John Tendwa, kuacha siasa na badala yake awaamuru...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
...Tangu harakati za kuwania kiti cha ubunge katika jimbo la Arumeru-Mashariki kuanza,kumekuwa na kila aina ya njia za kuhakikisha kuwa vyama vinavyoliwania jimbo hilo vinalipata.Njia hizo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Huyu Kigwangalla anatumia muda mrefu kwenye vyombo vya habari ikiwemo JF yenyewe kuzungumzia hoja ambazo ni moja ya sera za CCM kwa mfano suala la ajira kwa vijana pamoja na makazi bora inajieleza...
5 Reactions
28 Replies
3K Views
Dear friends, I was shocked by Mama Makinda provocative speech over the Office of the Parliament as she tried to defend the heft allowances that was to be given to the MPs! This made me try to...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wanabodi, Baada ya JF kunasa na kurusha TETESI ya mpango wa awali CC (Mapendekezo ya Mwigulu) ya CCM ambao ulikuwa na lengo la kuwatosa WANNE wa kwanza na kurudia kura kwa WAWILI wa MWISHO, sasa...
2 Reactions
38 Replies
5K Views
MAWAZO YANGU! Kwanza nimpongeze sana baba yangu Rev.CHRIS MT,Sifa zake nazifahamu hasa aliponifanya niwachukie magabachori.sifa ya kusikia ni pale alipokuwa machachari wa kujenga...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
BENKI Kuu ya Tanzania (BoT), imeanza mchakato wa kufanyia mabadiliko ya noti mpya ya Sh500, ili iwe ya sarafu baada ya kujiridhisha kuwa inachakaa kwa haraka zaidi. Akizungumza na gazeti hili...
12 Reactions
100 Replies
8K Views
Yule kibabu aliyepata kuwa katibu mkuu wa CCM Luten Yusuf Makamba ameibuka baada ya kimya cha mda mrefu na kuwaasa watanzania waache kufikiri kwamba wanaishi peponi kwa kulalamika kila siku kuwa...
1 Reactions
78 Replies
8K Views
Wana JF naomba mtu mwenye data kamili kuhusu washiriki na MATOKEO Yao ya ubunge (percentage) wa ARUMERU mashariki anijuze. I know things are dynamic and can not be used solely to Predict outcome...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Back
Top Bottom