CUF yakumbwa na Sakarati Mauti

Sakaratul-mauti,
Ni hali ya ukingoni anayokuwanayo mwanaadam wakati akikata roho. Kwamba anakuwa yu ama mfu au hai (katikati), hali hii hudhihirika kwani mtu akatapo roho 'hutapatapa'.
Ukiimanisha hali hiyo na CUF, ni minajili na tafsiri hizo hapo juu. Sakaratul maut, ni neno la kiarabu na linafahamika sana na waislam. Mtu awapo katika hali hiyo (ktk uislam), basi husomewa surat-Yaasin yote tena kwa ukamilifu.
 
Hang over za week end zina tabu sana!!kwani huwezi kutafuta kiswahili kizuri kinachoeleweka??
 
Sakaratul-mauti,
Ni hali ya ukingoni anayokuwanayo mwanaadam wakati akikata roho. Kwamba anakuwa yu ama mfu au hai (katikati), hali hii hudhihirika kwani mtu akatapo roho 'hutapatapa'.
Ukiimanisha hali hiyo na CUF, ni minajili na tafsiri hizo hapo juu. Sakaratul maut, ni neno la kiarabu na linafahamika sana na waislam. Mtu awapo katika hali hiyo (ktk uislam), basi husomewa surat-Yaasin yote tena kwa ukamilifu.

Mkuu Asante sana kwa kunifumbua, kweli SAKARATI MAUTI INAONDOKA NA CUF!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom