Bavicha hiyooooooooo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bavicha hiyooooooooo

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Scolari, Feb 25, 2012.

 1. Scolari

  Scolari JF-Expert Member

  #1
  Feb 25, 2012
  Joined: Aug 4, 2008
  Messages: 273
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Waungwana wakati vijana wa vyama vingine wakiwa hoi, Baraza la Vijana la Chadema BAVICHA leo limefungua rasmi ofisi zao zilizopo mtaa wa Togo Kinondoni. Hii ni ishara ya vijana hawa kuendelea kujiimarisha kisawa sawa na hii ni hatua muhimu katika mapambano.

  Pongezi za dhati kwa hatua hii BAVICHA.
   
 2. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #2
  Feb 25, 2012
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  Kinondoni tena????
  Hebu tafuteni maeneo mengine, tumeshawachoka huku kwetu!!
   
 3. marejesho

  marejesho JF-Expert Member

  #3
  Feb 25, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 6,539
  Likes Received: 830
  Trophy Points: 280
  Hongereni sana vijana!!!
   
 4. DIALLO

  DIALLO Member

  #4
  Feb 25, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 63
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 15
  ongereni sana ila iwe tz nzima na haswa zile sehemu ambazo upinzani ni mgumu
   
 5. Scolari

  Scolari JF-Expert Member

  #5
  Feb 25, 2012
  Joined: Aug 4, 2008
  Messages: 273
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kwenu!!!!!!

  Kwenu na nani?
   
 6. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #6
  Feb 25, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,705
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 280
  Bigup Bavicha, but unatakiwa uweke picha hapa 2shuhudie maswaga ya bavicha koz kuna wa2 humu wa chama cha baba mwanaasha huwa hawaamini mpaka waone.
   
 7. M

  Mayuka Member

  #7
  Feb 25, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 47
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Safi sana vijana mapambano muda wote! Viva Chadema.
   
 8. EasyFit

  EasyFit JF-Expert Member

  #8
  Feb 25, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 1,244
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Umewachoka wewe na nani.... mkeo??
   
 9. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #9
  Feb 25, 2012
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  Mambo ya mke hapa yanatoka wapi? Jadili kilichopo!
   
 10. p

  pilu JF-Expert Member

  #10
  Feb 25, 2012
  Joined: Dec 16, 2011
  Messages: 488
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  umeibeba kinondoni mgongoni mwako?
  Kinondoni ni yako?
   
 11. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #11
  Feb 25, 2012
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  Watafute maeneo mengine, siyo kila ofisi ya CDM iwe kinondoni.
   
 12. p

  pilu JF-Expert Member

  #12
  Feb 25, 2012
  Joined: Dec 16, 2011
  Messages: 488
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  huna adabu!
   
 13. p

  pilu JF-Expert Member

  #13
  Feb 25, 2012
  Joined: Dec 16, 2011
  Messages: 488
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  We ni nani hapo kinondoni na unamamlaka gani?
   
 14. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #14
  Feb 25, 2012
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  Kila mtu ameshachoka kuisikia CDM kinondoni kinondoni...kama Kodi za pango za maeneo kama Ilala zinawashinda, tuambie tutawachangia
   
 15. mshikachuma

  mshikachuma JF-Expert Member

  #15
  Feb 25, 2012
  Joined: Dec 2, 2010
  Messages: 2,853
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Mkuu unavuta shuka wakati kushapambazuka? tene kwa taharifa yako mwaka 2015 ilo jimbo linachukuliwa na CDM
   
 16. p

  pilu JF-Expert Member

  #16
  Feb 25, 2012
  Joined: Dec 16, 2011
  Messages: 488
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Weka ushahidi wa kuonyesha kua kila mtu amechoka kuisikia Cdm kinondoni, plz!
   
 17. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #17
  Feb 25, 2012
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  Kukusaidia..majimbo ya Kawe na Ubungo yapo chini ya CDM
   
 18. p

  pilu JF-Expert Member

  #18
  Feb 25, 2012
  Joined: Dec 16, 2011
  Messages: 488
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ni hatua nzuri!
   
 19. mshikachuma

  mshikachuma JF-Expert Member

  #19
  Feb 25, 2012
  Joined: Dec 2, 2010
  Messages: 2,853
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Hilo nalijua....ndiyo maana nakuambia uchaguzi ujao tunalichukua ilo jimbo la kinondoni kiulaini kabisa! chezea cdm wewee
   
 20. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #20
  Feb 25, 2012
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 359
  Trophy Points: 180
  Kinondoni kwenu? umeonyesha utoto wa hali ya juu, nyie ndio matapeli mnaowauzia watu mskiti kwa kudanganya ni nyumba ya urithi.
   
Loading...