Mh:Rais kuhudhuria sherehe,misiba na kwenda kwenye vikao bado si maendeleo

naninibaraka

JF-Expert Member
Oct 13, 2011
910
668
Nakupa pole kwa safari ndefu ya ulaya na baadae botswana,katika safari hizi moja ilkuwa ni kuhudhuria kikao na nyingine kuhudhuria sherehe,binafsi niko tofauti kimtizamo,ninatafakari umakini wako kwenye mambo ya msingi,nchi yetu ina matatizo mengi sn wananchi wanalilalamika,ni kweli ingekuwa ni safari zako binafsi usingeweza kugharamia ila kwa kuwa ni kodi la wavuja jasho wa watz ndo mana hujali,rais wangu umekua mtalii zaid kuliko kuwatumikia wananchi waliokuchagua,kusafiri na kufanya vikao si maendeleo wananchi wanayotegemea, lililowazi ni kuwa watz wa sasa kimawazo wamepanuka,wanahoji gharama za safari zako za nje na faida ambayo nchi inanufaika nayo,kimsingi ukilinganisha mafanikio na gharama za safari hata wewe binafsi una majibu,la msingi ukae chini achana na safari za nje angalia namna ya kutatua kero za watz,ahadi ulizowapa watz ni nyingi na ambazo hazitekelezeki,umekuwa mtu wa kuahidi zaidi kuliko kutenda,uongozi wako legelege utaligharimu taifa letu na vizazi vyetu baadae..

waliokuzunguka hawakuambii ukweli,ikulu imewekwa kupumzika baada ya kazi nzito ya siku cha ajabu ikulu imekuwa sehemu ya kufanya vikao vya chama hii haikubaliki hata kidogo,bado nasisitiza una deni kubwa kwa watz simama imara weka maslahi ya taifa mbele..

nawasilisha
 
Back
Top Bottom