Nimeona itv wanafunzi wa muhimbili wakiwa wizarani kwa Mkurugenzi kwa madai ya kulazwa njaa kwa siku saba. Mungu wa hivi wizara ya Afya ina bundi gani? au cdm imezuia chakula?
JK: Polisi aliyetinga disko na SMG afutwe
Send to a friend
Tuesday, 06 March 2012 20:54
Chanzo: Mwananchi
Rehema Matowo, Moshi
Rais Jakaya Kikwete amesema matendo ya utovu wa...
mgomo wa madaktari ni zaidi ya migomo ya kada zingine zote. inahusu uhai wa watu eti! mwalimu akigoma.....wanafunzi hawatapoteza maisha, wafanyakazi wengine wakigoma, wataathiri uchumi wa nchi...
Katika kupitia magazeti hapa na pale nikakutana nakauli iliyotolewa na CUF kumtaka KIKWETE kuvunja baraza la mawaziri kwa uozo lililonao.Mwananchi 16/february,2012.juzi chadema nao wakarudia...
kauli za mh. waziri mkuu
Jambo hili ni la Rais. Hivi ifike mahali tumpe Rais saa 72 kwa sababu eti umebeba maisha ya watu? Mimi hilo siliafiki hata Rais hawezi kuliafiki. Hata angekuwa mtu...
Wanajamii ule msafara wa ccm kumsindikiza Siyoi kuchukua fomu umejikuta katika aibu kubwa baada ya kujikuta ukizomewa njia nzima na wakazi wa maeneo walipopita kwa kwenda na kurudi huku wakazi hao...
Waziri kivuli wa afya kajificha huku raia washaanza kufa kutokana na mgomo wa madaktari
sasa cha kujiuliza kwa nini amekuwa invisble bila sababu za msingi?
Kwa kukaa kimya inamaana anatekeleza...
Rais wa chama cha Madaktari Tanzania (MAT), Dkt. Namala Mkopi ametangaza kuanza kwa mgomo wa Madaktari usio na ukomo, kote nchini Tanzania.
Mgomo huo unaishinikiza Serikali kuwafukuza kazi...
....Kwa wale wanaoamini katika Mungu..yaani waislamu na wakristo watakubaliana nami kuwa Mungu hakubaliani na watu wanakandamiza haki za watu wengine hasa maskini...kwa wale wakristo kama mimi...
KWA WANACHADEMA WOTE NA WAPENZ WA SIASA..TUtarudisha form siku ya alhamisi na tutazindua rasmi
kampeni zetu siku ya jumamosi kwa mujibu wa
mapendekezo ya ratiba ya awali. Wale mlioko ndani ya...
Wakuu wanaJF
Leo ndiyo ile siku ambayo madaktari waliweka wazi kuwa watagoma endapo serekali itashindwa kuwasimamisha kazi mawaziri wa afya. Napost uzi huu ili kujua hali ikoje kwa wale walio...
Hali ya nchi hivi sasa inaelekea siko kufuatia mgomo mpya uliotangazwa na Madaktari. Wataalamu hawa ambao wamesomeshwa kwa gharama kubwa na serikali walimtikisa pinda kipindi kilichopita kiasi cha...
:welcome:Habari zenu wadau,
Napenda kuchukua nafasi hii, kutoa maoni yangu kuhusiana na pantoni zetu za Dar na hata za mikoani.
Wahusika mpatapo mawazo haya ni vema mkayafanyia kazi kwa yale...
Tunavyozungumza wananchi wa kata za moshono na mlangarini wapatao 5000 Wanaandamana kuelekea ofisi ya mkuu wa mkoa arusha kufuatia kunyanga'nywa ardhi yao na JWTZ bila fidia kama walivyoafikiana...
Naomba kwanza usome maelezo yote kabla ya kuchangia lolote!
Kutokana na mabadiliko ya technlojia kwa sasa 2012 tungependa kuona kila jambo linaloendana na TECH linafanyika au likishindikana...
Leo asubuhi nimeona msafara wa magari manne yaliyojaa askari na gari la maji ya kuwasha yakielekea njia ya Chalinze-Segera nilipofuatilia nimegundua ni askari wa Ukonga na wengine wa Pwani na...
kuna mdau kaanzisha mada kwenye jukwaa la siasa ambayo kwa maoni yangu ilibidi iwe huku,ili ijadiliwe hapa badala ya jukwaa la siasa
naomba tuijadili vizuri
iko hapa...
Mbunge wa Jimbo la Ubunge Kupitia Chama Cha Demokrasia na maendeleo ( CHADEMA) Anashambuliwa, Anatuhumiwa, Anashauriwa.
Wanaomshambulia ni Vijana wa CCM "Eti Wakijidia kwamba wao ni CDM". Nadhani...
Gazeti la Mwananchi,
Tuesday, 06 March 2012 20:51
MBIO za uchaguzi mdogo wa ubunge Jimbo la Arumeru Mashariki zimefikia patamu, baada ya mgombea ubunge kwa tiketi ya Chama cha Democratic...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.