Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ni vema tukijikumbusha kuwa,Katika Uchaguzi mkuu 2010,tulikua na takribani vyama 21 vilivyokua vinashiriki ktk nyanja tofauti.Lakini leo ukimwomba mtu akutajie vyama anavyovijua havizidi...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
SALAAM wanabodi Mwenyekiti wa UWT Bi Sofia Simba amesema kuwa kilichofanya siku za nyuma UWT kuomba viti vya uwakilishi Bungeni ni kutokana na wanawake kutojua fitina za siasa, ubaguzi wa...
0 Reactions
0 Replies
832 Views
Habari zilizotanda magazeti mengi leo: Mgomo wa madakitari waendelea na wazidi kutanda nchi nzima! Walimu waipa serikali siku 14 kama madai yao hayatatekelezwa watagoma! Walimu 746...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Tunasubiri outcome ya mgomo wa madaktari. Ukifanikiwa kumtoa Mponda na Lucy, utafuatia Mgomo wa wanasheria, wakishinikiza Kombani na Chande wajiuzulu. Wahusika watakuwa majaji, mahakimu na...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Unawezaje kuja na wazo la kuajiri madaktari kutoka Russia na Cuba? Je una madaktari wangapi? (Kwanza hawatoshelezi) Labda shilingi ngapi? (Kodi zetu) kama mishahara mpaka leo unashindwa kulipa kwa...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Maoni ya katuni Kuna kila dalili kwamba madaktari wa hospitali za umma wataanzisha mgomo mwingine kesho kama hatua za haraka hazitachukuliwa kuzuia hali hiyo kutokea. Uwezekano huo unatokana na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Asema haikubaliki, matatizo si yao Mgomo wa madaktari hauepukiki Waziri Mkuu, Mizengo Pinda Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, amesema sharti la madaktari la kutaka Waziri wa Afya na Ustawi wa...
0 Reactions
0 Replies
973 Views
Kuna tetesi nzito kuwa kikao cha baraza la mawaziri cha dharula usiku huu. JK mwenyewe yuko Moshi lakini kaagiza kifanyike chini ya uenyekiti wa Makamu wa Rais. Agenda kuu ni mgomo wa madaktari na...
11 Reactions
97 Replies
11K Views
Inasikitisha kuona tanzania ya leo viongozi wake uwezo wao wa kufikiria umegota ukingoni, hawatambui majukumu yao, na wala jinsi ya kutimiza wajibu wao.. Zaidi ni kuangaliana usoni na kulindana...
0 Reactions
0 Replies
894 Views
napata mashaka na jitihada za viongozi wa juu wa kisiasa Tanzania kujionesha wasafi mbele ya macho ya mataifa mengine wakati hali ndani ya nchi kiutendaji si shwari na ni uozo kila kona unayo...
0 Reactions
0 Replies
957 Views
Pinda amekamilisha mkutano na waandishi wa habari hivi punde na meseji ya kubwa kwa madaktari ni kuwaambia kuwa serikali haiwezekani kushinikizwa na madaktari na kuwafukuza mawaziri Mponda na...
0 Reactions
69 Replies
6K Views
Leo ni siku ya pili wanafunzi wa chuo kikuu cha Muhimbili (IHAS) hawajaingia madarasani au wodini kufundishwa kwa kile kinachodaiwa kuwa chuo hakina chakula kwa ajili ya wanafunzi. Chuo...
4 Reactions
46 Replies
5K Views
....kama jibu lako ni "NDIYO" then chagua kipi bora kati ya haya mawili (na ukumbuke kuwa sekta ya afya - kama zilivyo karibu sekta zote - ni kuwa inakaribia ku-collapse kabisa kutokana na uongozi...
8 Reactions
22 Replies
2K Views
Jamani acheni kutafuta mchawi; chanzo cha mgomo mrefu ukiacha ule wa mwanzo wa interns ni Posho za Wabunge! Kwa kuwa chanzo hicho kinajulikana; solution pia inajulikana. Wabunge waondoe mpango wa...
6 Reactions
28 Replies
4K Views
Johnson Mbwambo SIKU hizi nina muda wa kutosha kufuatilia majadiliano mbalimbali katika tovuti kadhaa kubwa duniani zinazozungumzia masuala ya Afrika na watawala wetu. Baadhi ya mijadala hiyo...
16 Reactions
55 Replies
5K Views
CCM na Kikwete hamna huruma kiasi hicho? Take a break and think of your God father Slogan MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA. Yes you have failed BUT SHOW UP YOU ARE GOOD HUMAN BEING. Thank you Mr...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
ukimsikiliza waziri mponda unaweza kukadiria uwezo wake wa kielimu na kisiasa sio mkubwa.haonyeshi kuwa ni mtu wa kujiamini na kutetea kile anachokisema.kwa taarifa zisizothibitishwa ,mponda ni...
1 Reactions
55 Replies
4K Views
Ndugu zangu, Mwalimu Nyerere alipong'atuka alipata kumwelezea rafiki yake Rashid Kawawa. Alitamka; " Huyu Rashid huyu sidhani kama kuna mtu mwingine anayeweza kufanana naye." Mwalimu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimesoma makala Mzee Tegambwage leo ikanibidi niandike kuishauri CHADEMA. Mzee huyu anasema vipo virusi vya CCM ndani ya Upinzani, anasema ili kutambua virusi hivyo ni pale ukamwona mtu ambaye ni...
3 Reactions
16 Replies
2K Views
Leo nilikuwa kata ya makiba wilayani arumeru,sijaamini kuona maafisa wa takukuru wakiwa wamevaa sare za ccm wakiranda mitaani huku mitego ikiwa mingi kinoma.sisi kama chadema tulikuwa ktk harakati...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Back
Top Bottom