Waziri kivuli wa Afya ajificha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waziri kivuli wa Afya ajificha

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Game Theory, Mar 7, 2012.

 1. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #1
  Mar 7, 2012
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  Waziri kivuli wa afya kajificha huku raia washaanza kufa kutokana na mgomo wa madaktari

  sasa cha kujiuliza kwa nini amekuwa invisble bila sababu za msingi?

  Kwa kukaa kimya inamaana anatekeleza ilani ya uchaguzi ya chama kipi?

  Kwa nini huyu waziri kivuli amekuwa na tabia za ki CCM CCM ?
   
 2. P

  Pelege Senior Member

  #2
  Mar 7, 2012
  Joined: Mar 1, 2012
  Messages: 137
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Acha unafiki wewe ugamba unakusumbua,mambo yamewashinda nyie serikali legelege na dhaifu ya CCM mnataka sasa muwabakizie lawana Chadema,kama msimamo wa mapendekezo,Chadema walishatoa kabla na baada ya mgomo wa madaktari,na kwenye magazeti ukawekwa na humu Jf ukawekwa na watu wakapongeza hayo mapendekezo.

  Lakini kwasababu serikali yako ya CCM si sikivu hawakuona haja ya kuchukua ushauri huo,sasa wamekutuma wewe mke wao mdogo kuna kuwalaghai watanzania,watanzania wa leo hamuwapati,mmeula wa chuya, haya nenda ukachukue posho ofisi za CCM baada ya kumaliza kazi uliyotumwa ya kuandika upuuzi! Kijana hovyo, unawaza kwa kutumia makamasi badala ya ubongo akili umefungia kabatini.
   
 3. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #3
  Mar 7, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,469
  Likes Received: 5,847
  Trophy Points: 280
  Hii kali......goli ajifunge beki aliye uwanjani lawama apewe alie kwenye benchi?
   
 4. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #4
  Mar 7, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Haaaaaaaaaaaaaaaaaa msamehe ashachanganyikiwa huyu.
   
 5. M

  MAMENGAZI JF-Expert Member

  #5
  Mar 7, 2012
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 781
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  sasa wewe unamsema waziri kivuli wakati raisi wako ambaye ni real sio kivuli kakaa kimyaa kama kamwagiwa maji, anza na huyo kwanza.
   
 6. Chakaza

  Chakaza JF-Expert Member

  #6
  Mar 7, 2012
  Joined: Mar 10, 2007
  Messages: 23,666
  Likes Received: 21,889
  Trophy Points: 280
  Safari hi kali ya wiki,CCM wanajaribu sana kulihusisha hili na siasa wameshindwa.Wanasubiri*CDM itoe kauli japo moja tu ili wapate kuihusisha na mgomo.But CDM are smart guys for this
   
 7. REMSA

  REMSA JF-Expert Member

  #7
  Mar 7, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 2,569
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Nadhani wa kuanza kulaumiwa kuwa kakaa kimya ni Rais wako JK,maana Pinda
  alishasema suala la mawaziri atalishughulikia JK,lakini mpaka leo kimya.
   
 8. k

  kitero JF-Expert Member

  #8
  Mar 7, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 563
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sasa unataka waziri kivulia awafukuze kazi au? Unataka afanye nini yeye kama waziri kivuli? Chama chake kilisha toa tamko baraza la mawaziri lijiuzulu bado tuu unataka mengine ?
   
 9. brazilian

  brazilian JF-Expert Member

  #9
  Mar 7, 2012
  Joined: Feb 10, 2012
  Messages: 607
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Huyu anaita ndoto ya mchana. Waziri kivuli afanye nini sasa?
   
 10. I

  IFRS 9 Senior Member

  #10
  Mar 7, 2012
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 168
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwan waziri kivuli anaitwa nani vile?
   
 11. 1800

  1800 JF-Expert Member

  #11
  Mar 7, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 2,217
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Unafikiria sawa sawa kweli mkuu au?
   
 12. Gwalihenzi

  Gwalihenzi JF-Expert Member

  #12
  Mar 7, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 5,117
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  Mheshimiwa Nape, nakushauri uwapeleke mafunzoni hawa jamaa ulio wapa ajira humu, maana badala ya kukuletea ujiko wanazidi kukuaibisha tu hapa jamvini. Sasa hii thread wewe mwenyewe unaiona ina mashiko kweli?
   
 13. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #13
  Mar 7, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 5,134
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  Aisee tehetehete hahahahahaaaaaaaaaaa .........imenibidi nicheke tu maaana...thread nyingine usipocheka utakuwa na matatizo......kwa kikwetu husema hivi..........."Ekitakushekye, Nyoko agwe eilalu" ikimaanisha kuwa kitu pekee kisichoweza kukuchekesha ni pale utakapokuta mama yako kawa mwehu.
   
 14. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #14
  Mar 7, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Waziri Kivuli wa Afya,

  tafadhali tangu sasa kajiwekee utaratibu wako wa kuto kufuatilia mambo yanavyoendelea katika hospitali kuu zote nchini na kutoa taarifa kwa jamii mara kwa mara juu ya athari zinazojitokeza na kutolea msimamo kila tukio kwamba kama ofisi yetu rasmi ya upinzani katika eneo hili mnafikiri serikali ifanye nini ili kuboresha mambo kwa faida ya umma.
   
 15. Bukanga

  Bukanga JF-Expert Member

  #15
  Mar 7, 2012
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 2,863
  Likes Received: 714
  Trophy Points: 280
  Magamba yanaruka na kukanyagana lol..
   
 16. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #16
  Mar 7, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Akachukue wakati kuyumba kwa uchumi wa serikali na ccm nao hawana kitu labda wamlipe kwakumteua dc au rc
   
 17. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #17
  Mar 7, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  ha ha haa i like it
   
 18. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #18
  Mar 7, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Labda kafunga kuongelea masuala yaliyoshindikana na sugu ktk serikali yake kipindi hiki cha kwarezma
   
 19. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #19
  Mar 7, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Usimshangae kabaka mambo huyu
   
 20. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #20
  Mar 7, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Jambo la kwanza ni kuwaondoa huyu waziri wa afya na naibu wake kwakushindwa kutimiza wajibu wao
   
Loading...